Coment kama hii ya Huyu bado mtaendelea Kumjibu mtu huyu sikujipotezea Muda tu!!NATO hawajawahi kuingilia mambo ya Libya. Libya ni ubaguzi na maugommvi ya koo za waarabu ndiyo yaliisambaratisha nchi yao.
Nipe taarifa ya uhakika basi.Hajafa huyu mkuu..
Kwa moto mkuu,wana haki.Zelensky anatoa watu wake kafara kwa Shetani.
We unaishi dunia gani?Mungu anaibariki Urusi. Kivipi??
Hawa ni wapinzani wa jadi wa Marekani. Inaeleweka!!Naona Vietnam wanaunga Juhudi
Safi sanaView attachment 2561453
Dunia inaweza kuwa ni moja lakini kila mmoja wetu akawa anaishi kwenye ulimwengu wake tofauti! Sioni baraka zozote wanazobarikiwa Urusi kwa kuivamia Ukraine!!We unaishi dunia gani?
Nguvu ya nchi zaidi ya 30 inaumia dhidi ya Nchi mbili tuYaani Hawa Jamaa ni wapumbavu kwelikweli
yaani Urafiki wa Urusi na China Kwao Tatizo yaani Inawauma sana wakati wao wapo 40+ Tena kutwa Vikao mikakati
Sasa Poland Amwambie kipi Mchina?!!
The visit of Chinese President Xi Jinping to Russia has caused concern in Warsaw, said the Polish Prime Minister
According to Morawiecki, "the China-Russia axis is "unsafe." "We are trying to convince China not to support Russia," he added..
Kama id ni jina lako halisi jaribu kuficha uji... . Watakudharau mpaka wakwe zakoKuogopa kuifanya hii vita kuwa ya dunia na kufanya mkakati wa Urusi kutoka Ukraine ni mambo mawili tofauti. Mbinyo inayofanyiwa Urusi ni mkubwa sana na kiuhalisia athari zake ni kubwa sana.
Ok mkuu, nimeelewa. Na ni changamoto zipi zilipelekea tukakubaliana na mfumo uliopo?Mkuu
Point 1: Sio kweli kwamba kuna currency inabidi iwepo ili iwe au itumike kama mzani. Hapana.
Point 2: Gold ndiyo ilikuwaga inatumika kama mzani. Ndio maana hata USD ilipoanza kutumiaka kama International settlement currency, ilikuwa backed na Gold. Gold Standard. Lakini baadae wakaja kutoa hiyo Standard
Point 3: Nchi zitakubaliana exchange rates za pesa zao na biashara zitafanyika. Mbona zamani before USD biashara zilikuwa zinafanyiaka.?
Hata sisi Tanzania na India tutaanza kufanya Biashara kwa kutumia sarafu zetu.Saudia na China wanaingia makubaliano ya
Ooh, inamaana unachomaanisha kuondoka kwa utawala wa dola ni kukaribisha utawala wa currency nyingine..Sijui kama ntakua nimekuelewa vyema ama vp
Ila karens ya mchina c itapimwa kwa karens nyengne ambayo sio lazma iwe dola
Kiufupi nikwamba karens itakuepo ila watu hawataki lazma yuan ama tsh ithaminishwe na dola sababu pesa zipo mingi
Yuan yen dirham lira rupia ksh tsh dolar yuro kwacha nk nk
Sasa hapo ujinga ni upi. Halafu ujinga ni kawaida ya binadamu. Hebu nipe elimu ili ujinga unitoke!!Kama id ni jina lako halisi jaribu kuficha uji... . Watakudharau mpaka wakwe zako
Ipe Hadhi Tiki ya Bluu JFSasa hapo ujinga ni upi. Halafu ujinga ni kawaida ya binadamu. Hebu nipe elimu ili ujinga unitoke!!
Mbona mnaleta leta maneno kama ya mafumbo. Yaani kuamini Urusi haina nguvu mnayoamini inayo ndiyo kosa!!??Ipe Hadhi Tiki ya Bluu JF