Mkuu mtu kama Biden unaweza kumchukia au kumpenda au kutojali. Ila tukijadili mambo mazito nashangaa kusikia maneno ambayo hayana uhusiano na hali halisi. Wapi huyu mzee alijitangangaza kuwa shoga? Akijificha - umeona nini kuthibitisha ukweli huu? Ninavyoona alimwoa mwanamke akazaa watoto naye, yule mama alikufa mapema, akaoa mara ya pili na hadi leo yuko pamoja na mke wake. Sijawahi kusikia kwamba kuna matatizo katika ndoa hiyo. Hivyo nilimwuliza mwenzetu kwenye msingi gani anamwita Biden "shoga", halafu jina au matusi yale anatusaidia nini kuelewa hali ya vita tunayoangalia?Wanajitangaza wenyewe na wameweka sheria na sera nyingine wanazipenyeza hadi kwenye nchi za wengine hasa wakati wa hitaji fulani...sasa wewe unawafichia kwenye wanalolipigania waziwazi unataka kumaanisha nini? Nini lengo lako?
Kwa silaha anazo zalisha mrussi kwa sasa hadi kipindi icho wanajeshi wa ukrain na nato kwenye uwanja wa vita watakuwa wanapigwa bila hata ya kumwona adui
kumradhi..kumekucha endelea na elimu Tafadhari.Somehow nikukatishe kitu bro,
Kwenye trading hasa hii ya foreign exchanges (Forex) kuna kitu inaitwa trade pair.
Pair ni just between two, ya tatu ni uongo.
Lel say tunabadil Mtama na Mchele, kwamba 4Kilo Mtama kwa 1 Kilo Mchele. Hii is what we call Trade Pair.
Kutoka kwenye maelezo yako hapo juu ni kama umetaja trade pair zaidi ya moja
Kwamba TSH/USD
then USD/INR
Mwisho ndio iwe TSH/INR
Hilo binafsi nasema linawezekana kwa kuzungumzika tu ila practicality ni zero na kitu ambacho hakiwezekani. Kila pair ulio taja ina involve fees.
Ukituma TSH to someone in India inakuwa exchanged moja kwa moja to Indian Rupee INR bila kuipeleka to USD first. Kinachofanyika online ni kama kinachofanyika manual kwenye zile Bureau Exchange zetu za kawaida.
Kwani ulishawahi kwenda Bureau Exchange unataka fedha ya kenya wakabadilisha kwanza to dollar then wabadilishe tena to KES ndio wakupe? Si kweli.
The exchange to USD, I mean trade pair ya TSH/USD Itafanyika if and only if utakua unahitaji dollar unless utakua na jambo lako binafsi.
Nikupe mfano mwingine wa kuelekezana hili kwa mapana. Hope bank umeingia mara nyingi... zile rates umezisoma sana ukutani. Always bei ya kununua na bei ya kuuza iko tofauti. Bei ya kuuza ikiwa chini huku bei ya kununua ikiwa juu. Sasa hiki kishike vizuri af tutumie number kuupima mtizamo ulio nao.
Kubadili TSH to USD means unafanya ununuzi so bei itakua juu... lel say ni 15 kwa 1. So kama unahitaji 10 utakua umetoa 150TSH ili upate USD hizo 10. Then uje awam ya pili kuzitoa hizo 10 USD kuzipeleka katika Rupee... USD to INR. Maana ake itakulazimu ufanye ununuzi wa mara ya pili ambapo napo bei itakua juu. Na of course hii ni biashara kichaa hakuna bank inayoweza kufanya hivi.
That's why leo hii unawezs open bank account ya currency tofauti tofauti zaidi ya moja. Mfano unaweza ukawa na account ya bank in Tsh only, ama ukawa na account with Multi currencies like Euro, Yuen, Ruble, USD etc. Main purpose ya account kama hizi ni ku'hold values na kuepuka exchanges fees when you need them.
Kwa mfano wale wenye shughul za mara kwa mara nje ya nchi akiwa na account yake lel say in Yuen hahitaji kuingia gharama za Exchanges akiwa China.
So instead zipo trade pair kwa kila currency ya nchi duniani kote. Hata leo hii ukifika tu mpaka wa Rwanda, unaweza badil fedha zako za TZ upate za Rwanda bila dalal wa kati anayeitwa dollar. Sio lazima uwe na Dagaa ili uweze fanya mabadilishano ya Nazi na Maharage.
It's not that hard to ditch away mdudu dollar, na haijaanza jana wala juzi. Ilianzia kitambo tu Europe wenyewe tangu kuanzishwa kwa EURO, before that US dollar ilikuwa na global share of almost 90%, 1999 ilishuka hadi 71%... 2021 ilikua inasoma 57% na kwa mwendo huu yajayo yanafurahisha.
Hapa bongo tuna msemo wetu, mbwa ukisha mjua jina hakusumbui. This is what China and Russia wanamfanyia US... Wanamjua nje ndani. United State sio taifa la kale enzi za akina Nuh, ni la juzi tu. Ni taita ambalo lime take Global Power baada ya Vita ya pili ya dunia na kuanguka rasmi kwa USSR. Hapa tusisungumzie akina nani walio kua behind those two world war!
In short they know much zaidi ya kile tunachokiona nje. Umegusia Petro Dollar, umesahau au unakumbuka ila umepotezea kujiuliza how "Petro-dollar" imekuja into existence.
Unasema kila kitu lazima kinunuliwe kwa dollar, maybe its true... but why we are forced to do so? Of course ni ku-keep demand high ili aongeze supply kwa ku-print more dollars afanyie shughul zake. In some case you don't need to say terms kama "Stable", "Trust"... It's a joke, unasemaje "Trust" ilihali unapigwa pini ukienda kinyume na matakwa ya mhusika?
Anyway usiku umekwenda niweke kituo nikalale zangu 💤💤💤💤
NATO hawajawahi kuingilia mambo ya Libya. Libya ni ubaguzi na maugommvi ya koo za waarabu ndiyo yaliisambaratisha nchi yao.
Mbinyo anaofanyiwa RUSSIA nimkubwa sana hili kila mtu anajua nimjinga tu ama mwenye ushabiki atapingana na huu ukweliKuogopa kuifanya hii vita kuwa ya dunia na kufanya mkakati wa Urusi kutoka Ukraine ni mambo mawili tofauti. Mbinyo inayofanyiwa Urusi ni mkubwa sana na kiuhalisia athari zake ni kubwa sana.
No signs of Russian oil production cut – BloombergYaani huu mchezo Umepata mchrzaji
EU inakula kwao yaani Wamevuruga Uchumi wao Kwa Kufikiria Wanamkomesha Mrusi kumbe Bado Wana Mneemesha Huyo huyo Mrusi
Wameacha kununua Mafuta kwa wingi kutoka Urusi eti wanapunguza kununua Kisha wanaenda kununua kwa Msaudia
Ambaye Naye Anayanunua kwa Wingi kutoka Urusi kisha Anawauzia hao hao EU!!
Yaani Unaruka Mkojo unaenda Kukanyaga Kinyesi!!
The EU that has destroyed and sabotaged its own economy because of a silly political proxy war stopped diesel imports from Russia
Saudi Arabia (Russia allies) is now buying tons and tons of Diesel from Russia and will sell it back to Europe
Listen! It's going to be FUN! 
Uzuri nikwamba ukija na hoja ntabishana na wewe kwa hojaNATO hawajawahi kuingilia mambo ya Libya. Libya ni ubaguzi na maugommvi ya koo za waarabu ndiyo yaliisambaratisha nchi yao.
Kabisa sababu dola inapewa nguvu kubwa sababu yauhitaji wake na kutumiwa kwakeOoh, inamaana unachomaanisha kuondoka kwa utawala wa dola ni kukaribisha utawala wa currency nyingine..
Narudia tena kuwa NATO haihusiki na kushambuliwa kwa huo msafara wala kujihusisha na mambo ya LIbya kijeshi. Wakati huo NATO walikuwa wako bize na mambo ya Afghanstan!Uzuri nikwamba ukija na hoja ntabishana na wewe kwa hoja
Ukija kwa vihoja nakupeleka unavyotaka sababu kote nakuweza
NATO hawakupeleka vikosi LIBYA msafara ulokua umembeba GADAFI ulishambuliwa na madege ya kina nani
Ndege zipi zilikua zinatumika kupeleka silaha kwa waasi wa LIBYA
Kilichofanywa IRAN kinahalalisha kinachoendelea UFARANSAMOTOCHINI huyo Hassan Mafi angeona ukatili wa Polisi wa maadili Iran walikokuwa wanafanya dhidi ya waandamanaji baada ya kifo cha Mahsa Amini, nadhani angekufa kwa mstuko.
Okey,, Sasa hii inayosemwa semwa kuwa kila nchi ifanye biashara kwa fedha yake bila mzani wa fedha moja yenye nguvu unaizungumziaje?Kabisa sababu dola inapewa nguvu kubwa sababu yauhitaji wake na kutumiwa kwake
Kukiwa nanjia mbadala ya DOLA basi DOLA itatuacha haraka sana
Ingawaje hizo karens zengine kupatikana sio rahisi ingawaje inawezekana
Hata RUSSIA haihusiki na kuivamia UKRAINE sababu waliivamia mwanzo wakati wanasilaha kwasasa UKRAINE inashambuliwa na alienNarudia tena kuwa NATO haihusiki na kushambuliwa kwa huo msafara wala kujihusisha na mambo ya LIbya kijeshi. Wakati huo NATO walikuwa wako bize na mambo ya Afghanstan!
Kama Ufaransa ndiyo wakiukaji wakubwa sana wa Demokrasia ni kwa nini maelfu ya waarabu wanaogombana huko kwao badala ya kukimbilia kwa waarabu wenzao wa jirani wao hukimbilia Ufaransa!!UFARANSA mkiukaji mkubwa sana wa wanayoiita DEMOKRASIA
Kwasababu wanaenda kutumia mali zao walizoibiwa wakati wa ukoloniKama Ufaransa ndiyo wakiukaji wakubwa sana wa Demokrasia ni kwa nini maelfu ya waarabu wanaogombana huko kwao badala ya kukimbilia kwa waarabu wenzao wa jirani wao hukimbilia Ufaransa!!
Ukiamua kuiweka fedha moja yenye nguvu tayar tutarudi tena kule kule kwenye USd nyengine isiokua ya US badala yake prngine itakua ya UCHINA au RUSSIA JAPAN IRAN nk nkOkey,, Sasa hii inayosemwa semwa kuwa kila nchi ifanye biashara kwa fedha yake bila mzani wa fedha moja yenye nguvu unaizungumziaje?
Kumjibu mtu kama huyo ni sawa na kujibizana na punda wa KimasaiComent kama hii ya Huyu bado mtaendelea Kumjibu mtu huyu sikujipotezea Muda tu!!
Yaani huyu Hana Alijualo zaidi ya Ushabiki
Marekani akiona dollar inakufa .....lazima atalitibua tukose woteWatu wanashindwa kutambua kwamba Dollar ni sarafu kama zilivyo sarafu zingine. Nikiwauliza swali hivi dollar ilipitishwa na nani mpaka iwe sarafu ya kimataifa huwezi pata jibu, ni ujanja tu wa US.
Tunaweza leo hii kuamua Euro/yuan ziliplace dollar na hakuna tatizo lolote litakalo tokea. Nawakumbusha wakati Europe wameunda sarafu yao ya Euro 1999, demand ya dollar iliporomoka sana. US baada ya kuona hivo akafanya njama UK akajitoa EU, US alishaona dominance ya dollar inakwenda potea na ofcoz Euro ilishakua yamoto.
Kinachofanyika sahv nikwamba wahuni wameamua kuachana na dollar katika kufanya trade kuna habari nimesoma Russia na China 2/3 ya trade wanafanya kwa sarafu zao. Saudia amepunguza bond za dollar kwa asilimia kubwa sana.
Saudia na China wanaingia makubaliano ya kutumia yuan katika manunuzi ya mafuta. Rais wa Indonesia amesema taifa lake linatakiwa kuachana na matumiz ya dollar maana hawako salama. Yanayotokea sahv kuanguka kwa bank zao sababu demand ya dollar inazidi kushuka siku na siku. Inflation inazidi kuwa juu .