Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nenda Google Translate ukatafsiri kwa kiswahili?
Hizi basic knowledge zinakuzingua utaweza kujadili international matters?
Umri wako ni miaka mingapi?
Umri na kuelewa mambo havina uhusiano. Wewe unayedhani kwamba unaelewa kama inashindikana kujieleza ueleweke, hilo litakuwa ni tatizo lako siyo langu. "Basic Knowledge" kwa nani??

Ninachojua ni kwamba Mataifa mengi duniani China na Urusi zikiwemo yanaitegemea Marekani na Marekani inayategemea mataifa hayo. Chuki kwa Marekani haiondoi ukweli kwamba kwa sasa yenyewe ndiye kinara wa uchumi na kijeshi duniani!!
 
Mpaka sasa unapayuka tu.
Nimekuuliza maswali yamefika matatu sasa unahaha kuonesha fillings zako tu hapa JF.

Mdogo wangu don't be subjective always sometimes be objective.

Ukiulizwa jamba jibu kilingana na ulichoulizwa.
 
Kweli ni "Invest-gate" mbona hampeleki pua kumkamata..mnavizia aende mahali, hakuna rais anaeenda taifa fulan bila mwaliko, na hakuna siku rais Putin anaingia taifa fulan bila ulinzi mkali, tutajie ni taifa gani askari wake atamgusa Putin japo mkono wa shati tuu na arrest warranty yake akabaki salama...unaweza kuitaja hapa..hizi ni kelele za west kupokonywa mnofu mdomoni
 
Mpaka sasa unapayuka tu.
Nimekuuliza maswali yamefika matatu sasa unahaha kuonesha fillings zako tu hapa JF.

Mdogo wangu don't be subjective always sometimes be objective.

Ukiulizwa jamba jibu kilingana na ulichoulizwa
Sipo hapa kujibu maswali yako. Kama wewe unajua mambo ya "Foreign Exchange Rates" au " main types of Foreign Exchange Rates" si uzitumie kujenga hoja yako? Yaani unauliza ili iweje kama unaijua??
 
Kwani kitu kilichonunuliwa kwa dollar hakiwezi kuuzwa hapa nchi kwa shilingi ya kitanzania? Kuna nchi hazitumii dollar kwenye kuuza ama kununua biashara zao lakini fedha ya nchi husika imeegemezwa kwenye dollar.
"fedha ya nchi husika imeegemezwa kwenye dollar."
Nisaidie ufafanuzi,nimesoma mara mbili mbili sijaelewa Maana ya Huo mstari!
 
Mbona mnaleta leta maneno kama ya mafumbo. Yaani kuamini Urusi haina nguvu mnayoamini inayo ndiyo kosa!!??
Nguvu ya Urusi siyo ya kuamini...bali ni tunaiona "Live" wewe pia unaiona..yaani fikiria, mtaa unaokuzunguka wooote hawakutaki...wamekutenga kama mchawi..maji wamekukatia, barabara wameichimbachimba mashimo ili usipitishe gari, taa wanazpiga mawe hata wanaokuja kukusalimia wanasimuliwa njian kua wewe ni mchawi, hivo wakija wanakuja na wasiwasi..yaan umetengwa,
Aloo sio kwamba kweli una mambo hayo bali ni ukuda wao tuu umewazidi kila kitu wanaona unawatishia amani, lkn maisha yanasonga Mungu kakubariki mchana umechemshiwa kuku na mama watoto, jioni umekula nyama choma na familia yako huku kwao kunanukia maharage yanaungulia jikoni..kuishi kwao ni hadi waibe vya wenzao ndio waishi..

Kama unabisha wajaribu kuipiga Uchina sanction au German au Uk au France km walivyoipiga Urusi alafu tuone kitatokea nn..kama isipofikia ilipo korea kaskazini au cuba..

Kinachowauma hao LGTB ni kushindwa kutia mkono kwenye rasilimali za Urusi...zote zinamilikiwa na serikali..inawauma sana...na kiongozi yeyote duniani anaekua mkali na rasilimali za nchi yake basi anaundiwa zengwe..kama sio kupinduliwa na upinzani basi waasi..na kama uwezekano huo haupo basi atakufa kifo cha kutatanisha
 
Mkuu naona unakazana sana na elimu ya darasani... Fact ni kuwa hujui lolote kuhusu elimu yangu na uzoefu wangu wa biashara nashauri hayo masuala ya elimu ya darasani na uhalisia wa biashara achana nayo tu.
 
Sipo hapa kujibu maswali yako. Kama wewe unajua mambo ya "Foreign Exchange Rates" au " main types of Foreign Exchange Rates" si uzitumie kujenga hoja yako? Yaani unauliza ili iweje kama unaijua??
Huu uzi unasomwa na zaidi ya watu millioni 4.

Haupo hapa kujadili kama upo peke yako ila jadili kwa muktadha wa JF.

Ukiona unashindwa hamia hata TIKTOK huko ukatingishe nyonga.
 
"fedha ya nchi husika imeegemezwa kwenye dollar."
Nisaidie ufafanuzi,nimesoma mara mbili mbili sijaelewa Maana ya Huo mstari!
"Currency Pegging" kwa kiingereza ni kitendo cha nchi fulani kuamua fedha yake ithaminishwe kwa fedha ya nchi nyingine. Kwa ivo kitendo hicho kwa kiswahili kinaitwa "Kuegemeza fedha".
 
Kama huyu mwamba , alijaribu kuzuia rasilimali akapigwa chini mchana kweupe.
 

Attachments

  • VID-20230323-WA0028.mp4
    16.6 MB
Spain joins EU deal to purchase ammunition for Ukraine

"After completing the necessary administrative formalities, the Minister of Defense signed on Wednesday a project agreement for the joint purchase of ammunition within the European Union," the Spanish Ministry of Defense stated.

Thus, Spain became the nineteenth country to participate in the project.

As a reminder, on March 20, the Council of the European Union approved a plan to provide Ukraine with one million artillery rounds for a total of €2 billion.

The agreement was signed by Austria, Belgium, Croatia, Cyprus, the Czech Republic, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Luxembourg, Malta, the Netherlands, Portugal, Romania, Slovakia, Sweden, and Norway.

We are very grateful to the European partners for support! [emoji170][emoji169]

Join our telegram channel for more videos - link in comments


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
"Currency Pegging" kwa kiingereza ni kitendo cha nchi fulani kuamua fedha yake ithaminishwe kwa fedha ya nchi nyingine. Kwa ivo kitendo hicho kwa kiswahili kinaitwa "Kuegemeza fedha".
Kama ni Currency pegging ni kuweka fixed exchange rate ya pesa ya nchi dhidi ya pesa ya nchi nyingine!
Kwenye maelezo yako,sijaona kama hii ni hoja ya utetezi uliokuwa unataka kuumanisha!
Halafu kiswahili chake rahisi inaweza kuwa kusawazisha sarafu!
 
UK defence ministry source. Mbona USA wanasema Ukraine imepata big loss, UK kapigwa mkwara na Mr Putin kama akileta hizo silaha za uranium uko Ukraine kibao kitageuka. Russia naye atatumia silaha za maangamizi.
 

Attachments

  • VID-20230323-WA0016.mp4
    13.1 MB
  • VID-20230323-WA0018.mp4
    5 MB
  • VID-20230322-WA0065.mp4
    11.2 MB
Huu uzi unasomwa na zaidi ya watu millioni 4.

Haupo hapa kujadili kama upo peke yako ila jadili kwa muktadha wa JF.
JF hailazimishi kujibu maswali. Kujadiliana na kuulizana maswali ni mambo mawili tofauti. Silazimiki kujibu maswali ninayoulizwa!!

Niko humu tangu enzi za Jambo forums baada ya kutoka Darhotwire!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…