MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
I am very sure kuna wa Nigeria wengi sana watakuwa na wao wamepiga mpunga mrefu sana kupitia hizi donations za Ukraine.Wakuu mnaongeleaje hii ishu iliyojitokeza wiki hii. Ina semekana kuna kikundi cha wanajeshi wa US walienda Ukraine kupiga hela za donations na wamepiga zaidi ya billion 7 za Kitanzania wakijifanya wanashiriki vita front lines kumbe walikuwa wanakula malaya tu na kulewa kwenye makasino Kyiv na Lviv!!
Hardship kwa westerns halafu huku Asia ndio wanapata cheap energy.Kuna watu bado hawaelew maana ya hii SMO .......hii ni ku demilitarize ukrine plus ku buy time ili kuleta economic hardship Kwa EU
Ukibisha jibu swali hili
Kama hypersonic missile za Russia haziwezi kuwa intercepted.......kwanini asivunje ikulu ya zelensky na hizo missiles....ili kumfuta kabisa .......
.the answer is Russia anapigana friendly ili ku buy time[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]
Nukuu
Xi jinping: we're the one driving these changes
Putin: I agree
Je ni changes Gani hizo
Umeweza kusema mimi ni shoga kwa kuwa hao unaowaita madhalimu, wamekupa fursa ya kujificha nyumba ya jina bandia. Mimi hakuna mahali kwenye mjadala huu nimesema natetea ushoga bali naelezea hali halsi bila ya misisimko ya kuonesha niko kwenye kundi kubwa.Wewe utakuwa shoga ndio maana unatetea interest za hao madhalimu wenye wivu na husda ya hali ya juu kwenye maendeleo ya mataifa mengine.
Hapana. Lazima tuwe na muendelezo usioyumba (Consistency)kwenye mjadala. Marekani ndiyo kiini cha mjadala wetu, sasa unapoleta mambo ya Ulaya huoni kama unahamisha goli??Mkuu wewe ni mbabaishaji sana.
Hiyo siku wakijichanganya sisi tz tutakuwa tunaina makombora angani yanapita kwenda southKidume kitashuka kwa mkaburu bila kujali chochote na hakuna shoga wa kumkamata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabisa maana njia ya makombora kwenda south ndo tulipo sisiHiyo siku wakijichanganya sisi tz tutakuwa tunaina makombora angani yanapita kwenda south
Unajua ni namna gani "none flying Zone" inavyotekelezwa? Na ni kipi kilikuwa tofauti katika utekelezaji wa jambo hili huko Libya kiasi cha ,Mkuu muweka bandiko hilo hapo juu, kuwawekea Wakili nguli wa sheria kuwatetea NATO?NATO hawajawahi kuingilia mambo ya Libya. Libya ni ubaguzi na maugommvi ya koo za waarabu ndiyo yaliisambaratisha nchi yao.
KakaAisee ww jamaa ni either umri wako bado mdogo, au uwezo wako wa kuchambua mambo au ufahamu wa issues specially geopolitics ni wa kiwango kidogo mno..!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kilio cha marekani na masheitwani wenzie tulikisikia wote kule QATAR wakililia kufirwaha.Umeweza kusema mimi ni shoga kwa kuwa hao unaowaita madhalimu, wamekupa fursa ya kujificha nyumba ya jina bandia. Mimi hakuna mahali kwenye mjadala huu nimesema natetea ushoga bali naelezea hali halsi bila ya misisimko ya kuonesha niko kwenye kundi kubwa.
Mimi nimekulia mjini. Tangu niko mtoto mpaka sasa najua kwenye jamii yetu kuna mashoga na siamini hao watu wamekuwa mashoga kwa kuwa wameambiwa na Marekani wawe mashoga. Hivi wakati wa Sodoma na Gomora Taifa la Marekani lilikuwepo?
Kitu cha UZUSHI ni kusema kwamba wamarekani wote wanaunga mkono mambo ya ushoga. siyo kweli na nitaendelea kusema kuwa siyo kila mmarekani anaunga mkono ushoga. Na wao wanasema hawaungi mkono ushoga bali wanapigania mashoga kutambuliwa utu wao na haki ya kuishi kama binadamu.
Hivi wanzinzi na mashoga tofauti yao ni nini? Kwa nini vijana wa siku hizi wanapenda sana wanawake wenye makalio makubwa. Wewe hujawahi kusikia watu wakisemwa kwamba wanafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Hao nao wanatumwa na Marekani kufanya hivyo??
Tupe update za Front line huko Ukraine. Maana ndiyo msingi wa Uzi huu.Hapana. Lazima tuwe na muendelezo usioyumba (Consistency)kwenye mjadala. Marekani ndiyo kiini cha mjadala wetu, sasa unapoleta mambo ya Ulaya huoni kama unahamisha goli??
Ni kweli baada ya Ghadafi kuondoka baadhi ya mataifa moja moja ya NATO yaliingia kwenye mgogoro ule. Mleta mada alidai NATO ndiyo ilimuondoa madarakani Ghadafi kitu ambacho siyo kweli.Unajua ni namna gani "none flying Zone" inavyotekelezwa? Na ni kipi kilikuwa tofauti katika utekelezaji wa jambo hili huko Libya kiasi cha ,Mkuu muweka bandiko hilo hapo juu, kuwawekea Wakili nguli wa sheria kuwatetea NATO?
Aisee sikuwahi kudhani kama wazungu ni wajinga kiasi hiki. Yani mijitu ya Ulaya ni kama mizombie tu, mtu anakwambia eri amestaafu akawa anatumia kiinua mgongo chake kusaidia Ukraine. Sijui hawa watu wamelishwa uongo gani kuhusu Russia au labda wanaambia akimaliza Ukraine ataendelea nchi nyingine kama alivyofanya Hitler.I am very sure kuna wa Nigeria wengi sana watakuwa na wao wamepiga mpunga mrefu sana kupitia hizi donations za Ukraine.
Wanaija wapo fasta sana kwenye scheme za namna hii...
Mimi si aina ya mtu wa kutafuta Up dates kuhusu huu mgogoro. Huwa nachangia mijadala ya pembeni ya yatokanayo na mgogoro wenyewe. Maana mambo ya Vita yamejaa propaganda nyingi sana na mimi sitaki kuwa kama Muhammad al Saeed al-Sahhaf (Comical Ali) ambaye alikuwa anaeneza Propaganda za Iraq dhidi ya Marekani wakati wa Vita ya Ghuba!!Tupe update za Front line huko Ukraine. Maana ndiyo msingi wa Uzi huu.
ZitajeUzuri nchi zishasema watamkamata, kama anajiamini aende hizo nchi husika
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app