LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Masaa 24 kwani unaenda kukomboa mateka?.kuchukua nchi kubwa sio jambo dogo kama unavyofikili.niambie ni wapi marekani alienda mwezi 1 akachukua nchi
Mimi siongelei Marekani apa naiongelea Russia na majigambo yenu, nyie wakati vita inaanza mlisema kwamba mtaiteka Ukrain ndani ya masaa 24 sasa leo hii ata hizi kauli zenu mnaziogopa tena ***** wa UKrain asanten sana kwa kuwavisha shanga hawa maharamia yaani Russia uko Ukrain mmepakatwa
 
Lakini je, wafaham kabla ya Vita hivi teari alikuwa an vikwazo takriban zaidi ya 2700+ in total??? Alikuwa anaishije apo nyuma
Na sasa ni kama wamevidouble vikwazo mpk kufikia zaidi 5400...

Ukiziangalia nchi zinazofatia apo chini yake kwa idadi ya vikwazo...

Kama Irani ambayo ndo alikuwa anaongoza kwa vikwazo before? Ushawah kusikia nje kua kuna maandamano Irani?

Apa me naona ndani ya vikwazo kuna alot of mystery ambazo ata sizipatii chimbuko... Sitaki kuamini mpk kikwazo cha paka wa kirusi kina tija kwenye huo mgogoro....

Na ajab zaidi wanaoisoma number n wao wenyewe kwa kias kikubwa tofauti na Mrusi.

Hivi vikwazo binafs huwa najisemea vingekuwa na nguvu endapo tu "Russia angekuwa anawetegemea wao kwenye vitu vya muhim mathalam nishati vyakula na n.k"

Sas em kaa chini usikie et YouTube imestopisha Op. Nchini kwako... Mara BBC wamevunja mkataba na StarTV kurush matangazo... Mara KFC et wamefunga hotel zao nchini... Who cares by the way? Before KFC ulikuwa huli ww?

Ndo maaana najisemea tu kua kuna vikwazo vina tija unakiona kabisa kweli hii nyundo ila vingine ni "vichekesho" tu....
 
Mwenyewe huwa naona hizi sanction mbona zinaleta hasara kwa hao wenye makampuni pia,imagine MacDonald anafunga migahawa zaidi ya 800 si hasara hiyo!anyway sijajua labda Ni njia za ku sympathize na wahanga
Pale Corporation znapokuwa backed na politicians... Kila kitu kinaenda kisiasa...

Japo kiushabiki watu wanaeza kuona sawa ila akina mangi sie tunaona ni udufwashiii...

Sas em chukulia mfano ka apo unavosema... Kufunga migahawa 800 maana ake unapoteza revenue... Moja kwa moja unapoteza "Gawio" kwa ma'share holders.... Na sio Putin.

Je ukiporomoa mapato Investors watakuelewa kweli?

Apo bora maamuzi yawe yametoka kwao watakaush ila ka ndo "CEO" tu kajiamulia na mihemko yake kimoyo moyo najisemea ana la kujibu kwenye AGM... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hilo jimbo tangu siku ya kwanza ya mwezi 3 mnashambulia mpaka sasa hamjalichukua?

Wakati wewe waona mambo yako kawaida, kiuhalisia kinachoendelea huko Mariupol ni kuwa mji huo mzuri wenye majengo ya fahari umegeuzwa kuwa kifusi/vifusi (vipande vipande vya tofali na mawe pamoja na udongo) na majeshi ya Russia. Zifuatazo ni picha zilizochukuliwa na setilaiti kabla na baada ya mashambulizi hayo

Kabla ya mashambulizi



Baada ya mashambulizi



Kabla ya mashambulizi


Baada ya mashambulizi



Kabla ya mashambulizi


Baada ya mashambulizi


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…