Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
khaaa hiz ni siraha za ukraine zilizopigwa na urusi. Sasa iweje waseme za urusi ha h ha ha ha wameishiwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siongelei Marekani apa naiongelea Russia na majigambo yenu, nyie wakati vita inaanza mlisema kwamba mtaiteka Ukrain ndani ya masaa 24 sasa leo hii ata hizi kauli zenu mnaziogopa tena ***** wa UKrain asanten sana kwa kuwavisha shanga hawa maharamia yaani Russia uko Ukrain mmepakatwaMasaa 24 kwani unaenda kukomboa mateka?.kuchukua nchi kubwa sio jambo dogo kama unavyofikili.niambie ni wapi marekani alienda mwezi 1 akachukua nchi
Tupe source ama ubaki kimya kama chanzo hunakhaaa hiz ni siraha za ukraine zilizopigwa na urusi. Sasa iweje waseme za urusi ha h ha ha ha wameishiwaa
hii sio kombat ya jeshi ya urusi arafu huyo kapigwa risasi ya mdomo ama? Ha ha ha hapo akili fupi mtadanganywa mpaka basi
Mwanajeshi wa nchi gani? Vita sio jambo zuri
Kama mtu ameomba kujitolea utamkataajeTupo,tulikuwa nje ya mji tumerudi,,,naskia boss wenu kakimbilia Syria kufuata mamluki na anakaribisha watu wengine wakamsaidie?Si alisema Yuko gado ana jeshi imara,tambo zake zimeishia wapi??
Lakini je, wafaham kabla ya Vita hivi teari alikuwa an vikwazo takriban zaidi ya 2700+ in total??? Alikuwa anaishije apo nyumamkuu kwa hivi vikwazo amini baada ya vita jamaa kazi anayo. Vikwazo hivi asilimia kubwa vinagusa maisha ya RAIA wake .
Assume ma origach wote wanataabishwa .
Makampuni ya kigeni yanafungwa (ajira hapo).
Kwa vikwazo hivi atapata pressure kubwa sana kutoka kwa raia wake.
Tupe source yako ya uhakika la sivyo jiandae ukamsaidi nduguyo Puti maji ya shingohii sio kombat ya jeshi ya urusi arafu huyo kapigwa risasi ya mdomo ama? Ha ha ha hapo akili fupi mtadanganywa mpaka basi
kichapo unakipata ukiwa kremlin ya wapi buza au kisiju?khaaa hiz ni siraha za ukraine zilizopigwa na urusi. Sasa iweje waseme za urusi ha h ha ha ha wameishiwaa
weka linki hapaHili jengo ni hotel walikaa wanajeshi wa marekani waliojifanya wa kujitolea inasemekana waliokuwa zaida 100 basi urusi ikafyatua air to surface 1 wamekufa wote usiku wa kuamkia leo
View attachment 2147659View attachment 2147660
Tupe source tuangalie wenyewe la sivyo ,habari za umbea wachie kina Mange kimambi na Juma lokole mzee!!Hili jengo ni hotel walikaa wanajeshi wa marekani waliojifanya wa kujitolea inasemekana waliokuwa zaida 100 basi urusi ikafyatua air to surface 1 wamekufa wote usiku wa kuamkia leo
View attachment 2147659View attachment 2147660
wambie walete silaha zao sie tujibebe burekichapo unakipata ukiwa kremlin ya wapi buza au kisiju?
picha huoni? Acha kuweweseka mtakwishwa ha ha ha haweka linki hapa
Pale Corporation znapokuwa backed na politicians... Kila kitu kinaenda kisiasa...Mwenyewe huwa naona hizi sanction mbona zinaleta hasara kwa hao wenye makampuni pia,imagine MacDonald anafunga migahawa zaidi ya 800 si hasara hiyo!anyway sijajua labda Ni njia za ku sympathize na wahanga
hilo jimbo tangu siku ya kwanza ya mwezi 3 mnashambulia mpaka sasa hamjalichukua?
GANGA ZUMBA tusitupane bhana. Kama kuna deal la kufanya PROPAGANDA na Mimi niunge tafadhali.
Sahih,na hata us ingelikua nchi ya kidemokrasia Bush sr. Bush Jr. Obama na Trump wangekuwa wapo gerezan mida hii kwa matumiz mabaya ya ofisHapa Putin amefanya utumbo.Russia ingekuwa nchi ya kidemokrasia,angewajibishwa!
RussiaMwanajeshi wa nchi gani? Vita sio jambo zuri