Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Poland and NATO allies will hold military exercises near borders with Russia

Poland together with NATO allies will hold military exercises "Zalew-2023" in the area of the Vistula Spit. It borders the Kaliningrad Region of Russia. The tactical exercises are planned for March 27-31, the Polish outlet PAP reports.

The speaker of one of the divisions which will take part in the exercises noted that this is the largest exercise of 2023 with the participation of this military association.

"The military exercises will involve 2.5 thousand Polish and foreign military, about 500 pieces of equipment and watercraft," the statement said.

"The main element of the exercise will be the crossing of the Vistula Spit by Polish and allied units with the support of engineering troops. Also, the issues of repelling a terrorist attack with hostage-taking, reconnaissance activities in the area of the Bay of Gdańsk and the Vistula Spit, actions as a result of chemical contamination of the territory will be practiced," the report adds.

Join our telegram channel for more videos - link in comm

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mazoezi bila kuivamia Urusi ni kupoteza nguvu bure
 
Hawa kwanini wanakua hivi?mbona wivu Sana😠
 
Wamesanda tayari, Russia anagonga ngumi za Pua tu 🤣🤣🤣
 
Simple wanao peleka silaha za kuiangamiza Urusi na watu wake kinara wao ni nani - na hafichi anazungumza kwenye vyombo vya habari mchana kweupe kwamba anataka kumshinda Putin na kuisambaratisha Urusi, anarudia makosa yale yale ya Hitler dhidi ya Urusi kulitokea nini eventually, Napoleon Bonaparte, je na Alexander the Great wote hao makosa yao yalikuwa yanafanana ie lengo lao ni kutaka Urusi kuisambaratisha na wote waliangukia pua.

Ukraine inatumika kwa minajili hiyo hiyo lakini kwa watu ambao hawajui undani wa tatizo la Ukraine wanadanganyika kirahisi kwa kidhani asubuhi moja Putin alikurupuka na kuishambulia Ukraine bila sababu, wakati hiyo si kweli hata kidogo.

Sasa tuje kwenye swali lako la msingi la kusema hivi hizo submarine drones zitalenga au kutegeshewa kwenye pwani ya Taifa gani - jibu ni simple: zitalengwa kwenye taifa ambalo linaonekana kupania kuisambaratisha Urusi na kuuwa viongozi wake wote ikiwezekana, kitu hiki wala hawakifichi wanajifanya eti "wanaisaidia Ukraine" wakati ukweli wa mambo hiyo si kweli hata kidogo.

Nina uhakika Warusi watazisogeza au wamekwisha zisogeza submarine hizo East and West Coasts za Merikani pamoja na Gulf of Mexico wanaziacha chini ya bahari ziki hibernate zikisubili command code kutoka Moscow ku- unleash balaa.

Merikani na wenzake si wamepania kumumaliza Mrusi, sasa wanategemea nini? Kwamba Urusi ataendelea kuwachekea tuu au kuwaogopa, haiwezekani.

Kama Trump ange endelea kubaki madarakani wala haya yasinge tokea hata kidogo, Biden anakuwa driven na chuki binafsi dhidi ya Putin, kila mtu mwenye akili timamu amekwisha liona hilo, si ajabu Biden anaweza kutusabishia WW3 by miscalculation or accident yuko obssesed na Putin sana.
 
[emoji298]️Poland has already built 107 km of a wall on the border with Russia, spokeswoman of the Warmian-Masurian Border Service reported.

This is more than half of the length of the land segment of the border between Poland and the Kaliningrad region of Russia, which is 198 km. The structure will be 2.5 meters high and 3 meters wide.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi kafanya mazoezi na Belarus kwa maandalizi ya second full scale invasion of Ukraine, lakini mpaka Leo hatujui nini kimewasibu [emoji1787][emoji23][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kabla ya invasion Ukraine ilifanyika military build up ya kufa mtu months before West walikemea lakini ndio hivyo leo tupo hapa na hii thread.
 
Ukisema unahisi unakuwa haumtendei haki Zelensky
 
Ukisema unahisi unakuwa haumtendei haki Zelensky
Zelensky ni shupavu sana na ni aina ya viongozi wanaotokea mara moja baada ya Karne nyingi sana. Mawazo ya watu humu ndani yanatoa taswira ni kwa nini Afrika huwa inaongozwa na viongozi Katili, wezi, mbumbumbu miaka kwa miaka huku wananchi wakiwa wametulia tuli kama wananyolewa.

Wanaoiunga mkono Urusi wengi wao mashujaa wao kwa Afrika ni hawa:

1. Mobutu Sese seko

2. Idd Amini

3. Muamar Ghadafi

4. Omary Bongo

5. Omary el Bashir

6. Yoweri Museveni

7. Jonas Savimbi

8. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo

Na kwa Tanzania ni wafuasi sugu wa watu kama vile Sabaya na Makonda!!
 
View attachment 2564106❗️World Should Listen to China's Position on the War in Ukraine to Help Reach a Solution to the Conflict - Spanish Prime Minister Pedro Sanchez

Subscribe to RT
Kuna mama nilimuona ana interfere mkutano wa Blinken sijui alikuwa wapi, anamwambia wewe ni mwana diplomasia unapaswa kupigania amani na mazungumzo kwanza kabla ya chochote. Sasa unaukataa vp mpango wa amani wa China wakati wewe hauji na mpango wako wa amani? Wakamtoa yule mama mule ndani
 
Zelensky hana sifa ya kuitwa kiongozi. Najua utabisha lakini utakuja kulitambua hili mwishoni
 
Zelensky hana sifa ya kuitwa kiongozi. Najua utabisha lakini utakuja kulitambua hili mwishoni
Hapa hatubishani bali ni uwanja wazi wa watu kuweka hoja zao. Kiongozi ni yule anayeongoza wengine kufikia malengo yao. Zelensky siyo tu amekidhi vigezo vya kuwa Kiongozi bali ana sifa za kipekee kuwa kiongozi Shupavu, bora, muadilifu na muaminifu.

Wakati mwingine huwa nawaza ile vita ya Kagera kama ingekuja wakati huu sijui kama ule morali wa kupambana kama zama zile, ungekuwepo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…