Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siku akiondoka utasemaje? Nina uhakika kwa huu ujinga anaojazwa na marekani, ipo siku atatoweka
 
Zelensky ni kiongozi mpumbavu sana, na anataka aonewe huruma na dunia nzima kwa upumbavu wake.
Zelensky anapambana na wapumbavu wa dunia wanaodhani uendawazimu ni kitu cha kusifiwa. Mwendawazimu kadhani anaweza kuweka vibaraka wake Kyiv aliposhindwa kazusha vita ya kipumbavu kabisa. Zelensky amekuwa ni kama daktari kwa wendawazimu waliotopea kwenye ulevi wa madaraka.
 
Kutoondoka Ukraine ndio uaminifu?
Before war Ukraine ilikuwa ni most corrupt country in Europe siuoni uaminifu hapo.

Donetsk sio watu wake? Mbona amekuwa akiwaua kwa past 8-9 yrs mfululizo?

Aondoke alafu malengo ya marekani yatakamilika namna gani?

Njoo na hoja zingine ndugu Allan sio hizi.
 
Daktari analialia kila siku kuomba msaada. Wewe kweli kiazi
 
Siku akiondoka utasemaje? Nina uhakika kwa huu ujinga anaojazwa na marekani, ipo siku atatoweka
Hata kuwa mtu wa kwanza kutowesha na wendawazimu wenye akili za kikatili kama Hitler. Unaweza kujiuliza ilitokeaje Hitler akaweza kuangamiza wale mamilioni ya watu wakati dunia inaangalia? Kumbe kuna wapumbavu waliokuwa wamamshangilia Hitler!!
 
Tupe data za uchumi wa nani unashuka na wa nani unapanda na wanani upo sawia (inabidi sasa tukuandikie kwa lugha ya idhaa ya bbc landani ili utuelewe, mzungu utakijua tuu kiswahili vzr...kazana)
 
Kama haupo kwenye kundi la wenye akili huwezi kuwatambua walio na akili. Inawezekana Russia wanaona Zelensky hana akili, lakini hata wao wanajua ndani kabisa ya nafsi zao, kuwa jamaa ni shupavu, muadilifu na muaminifu kwa wananchi wake!!
Acha kumpamba ujinga mwenzako Mr. Zele bhana..anaushapavu gani? Ujinga tu...kasababisha hasara kubwa na isiyolipika kwa Mali za nchi na maisha ya raia wake. Halafu Leo unaibuka na kuanza kusifu upupu.
 
Hicho chama "Democratic " ulichotaja humu ni Cha wakongomani? Imenibidi niingilie tu, huku kulishana ujinga hapana. We bwana mdogo usiwe namna hiyo..Hilo jina lako sio LA watu wajinga wajinga.
 
Pata bahati siku moja uingie chumba cha upasuaji (theatre) uone jinsi madaktari wanavyoomba vifaa vya kufanyia operesheni. Lakini ukiwa daktari wa machizi unadhani utaacha kuomba msaada toka kwa watu kuja kukusaidia kuwashika machizi??
Huo ndio uchizi. Daktari wa ukweli kabla ya kufanya oparation, anaakikisha kila kitu kipo sawa, yaani kama vile PUTIN dakitari wa ukweli. Amewekewa vikwazo vyote unavyovijua lakini uchumi wake unazidi kupaa. Madakitari machizi yalioweka vikwazo ndio yanayoumia
 
Hicho chama "Democratic " ulichotaja humu ni Cha wakongomani? Imenibidi niingilie tu, huku kulishana ujinga hapana. We bwana mdogo usiwe namna hiyo..Hilo jina lako sio LA watu wajinga wajinga.
Cha wamarekani. Kwa ivo kwani Republican wanaopinga ushoga wao siyo wamarekani?? Ushoga siyo sera ya nchi ya Marekani bali huwa ni sera ya serikali ya Marekani pale serikali ya nchi hiyo inapoongozwa na Democratic. Usijadili kitu kama unakijua wakati hukijui!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…