Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Kuna mhuni Zanzibar kanambia wazungu wengi kama unalife zuri unang’oa watoto wa kizungu[emoji3]
 
Kamshindwa Ukraine atamweza Marekani,Russia saizi yake ni hao akina Georgia,Belarus e.tc,hata poland tu Urusi hafurukuti.

-Drone yenu imepakwa wese hakuna mlichofanya.
-Su zinaruka kwenye base ya US syria hakuna mnachofanya
- Hypersonic imeondoka na makamanda wa US juzi tu hapa hakuna mlichofanya.

US kwa Russia ni mchumba. Endeleeni kupambana na Iran huko Syria.
 

 
Labda Nikuulize swali moja Allen Kilewella, kwa uelewa wako, sababu za huu mgogoro wa Russia na Ukraine ni nini? Kwa maana ya chanzo cha huu mgogoro hasa ni nini? Nini kimepelekea Russia kuanzisha SMO hapo Ukraine?
Hana ubavu wa kujibu kwa ufasaha swali hili lako muhimu....nilichokiona kwenye Uzi huu ni kuwa watu ambao wengi ni pro NATO ni vilaza kupindukia...Yaani wengi wao wanajua tu Russia amekurupuka tu na kuamua kuivamia Ukraine...hawajui kabisa kuwa suala hili ni la miaka mingi na kwamba Ukraine ni chambo tu..
 
Wakuu

Naomba nieleze jambo moja.

Kuna sifa kubwa sana kwa watu wenye kucheza karate au kunfuu.. au michezo ya namna hiyo.

Wanakuwa well composed and mannered.
Wanakuwa wanaweza kusoma move za opponents vizuri sana.

President Putin ni mkufunzi kwenye field hiyo tena katika levels za black belt. Na Ndio maana yuko very composed.

Kabla hii ishu ya SMO haijaanza hapo Ukraine, President Putin ameshaliongela sana ili swala la Ukraine na namna Westerns wanachofanya.

Mwaka juzi kabla ya hii SMO, yeye President Putin alikutana na Biden kule Switzerland. Wakaongea lakini hawakufikia muafaka.

Ndio mziki wa SMO ukaanza.

Watu wa caliber ya Putin ni wachache sana na wako well behaved and calculated kwa wanachofanya.

Hata kwenye hii SMO watu wanaona Putina yupo low sana kwenye kuimaliza Ukraine, lakini hii inatokana na caliber yake na behavior yake. Lakini kuna point ikifika atafanya kweli.

Kwa mfano hii ishu ya UK kupeleka depleted Uranium. Hii ishu UK hatakuja kuthubutu kufanya hata kidogo. Kwa sababu Putin ameshaongea na kutoa redline.
 
There is no way for Russian athletes to compete in the 2024 Paris Olympics or any other major sporting event, as Putin has already introduced not only politics but war crimes into sports.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona tuna ambiwa kila siku kwamba tusichanganye michezo na masula ya siasa - ni lini uliwahi kusikia Merikani na Uingereza zinakatazwa kishiriki kwenye michezo yoyote kutokana na kushiriki kwao kwenye uvamizi wa mataifa yafuatayo:-
*Iraq
*Syria
*Libya
*Yugoslavia
*VietNam
*Laos
*Cambodia
*Grenada
ni lini uliwahi kusikia US&UK zikisishitumiwa au kuzuhiwa zishiriki kwenye michezo.

Sasa huu ni undumila kuwili ambao mataifa mengi Duniani yameanza kuchoshwa nao - hawataki tena mambo ya double standard kwa mambo yanayo husu ustawi wa binadamu wote Duniani - ndio maana majority ya international community wana bank on Putin and Xi wisdom and efforts zao kwamba ndizo zitatumika kutokomeza umangimeza wa mataifa ya magharibi na kwa kuunda Dunia mpya inayo jali na kuheshimu kila Taifa na kila mtu bila ya kujali anatoka continent gani, rangi gani na ana amini mlengo gani - kwa kifupi Putin na Xi wanataka kujali ubinadamu kwanza na sio uwenda wazimu wa NWO au Unipolar World Mungu bariki imani hizo za mabeberu zimeanza kufa kifo cha mende.

Vita hii ya Ukraine ndio itakuwa kichocheo cha kuleta mabadiriko makubwa sana Duniani - masuala ya ukoloni mambo leo yatazikwa 6 feet under, hata kama kutakuwepo ulazima wa kupigana vita ili Dunia iondokane na ukoloni mambo leo wa mabeberu sawa tu - after all Majority ya binadamu Duniano wanawa wasupport Putin na Xi by 100% katika mapambamo yao ya kukomesha udhalimu wa mabeberu hawa.
 
Hakuna dunia isiyo na matabaka. Na kwa taarifa yako ikiondoka Marekani ni lazima litainuka taifa jingine kutawala dunia. Na hilo taifa tuombe Mungu lisiwe Uturuki, Urusi, Irani ama Uchina!! Haya mataifa yakitawala dunia ni lazima tutakumbuka hapa tulipo leo!!
 
Wagner PMC wanakwambia tumeishiwa silaha huku wanakupa kipondo heavily...
Nina wasiwasi huenda hii mission ya kuikomboa Donbas ikawa ndio ya mwisho kwa WAGNER hapo Ukraine baadae watakuja kupambana africa especially Congo, mali na afrika ya kati

Baada ya hapo itapigwa full scale war na red army wenyewe hapo kyiv


Hii kampeni itamalizwa kwa pigo zito mfano wa vita ya pili ya dunia, baada ya hapo kubwa jinga mmoja atarudi matawi ya chini ila ataendelea kuwa na heshima na adabu kwenye huu ulimwengu.

Either america au russia atashikishwa adabu.

Alisikika mpemba aliyeshiba futari.
 
Oya vipi kuhusu Bakhmut wakuu tulikuwa tumeishaizunguka sisi warusi wa mpigi majohe na Wagner tunakwama wapi kuichukua?[emoji2]
SMO is well calculated and all objectives will be achieved.

Tambua kwamba Russia inaweza kurusha kombora 1 tu la nuke pale Kiev na hii SMO ikaisha.

Kwa hiyo kaa kwa kutulia.
 
Oya vipi kuhusu Bakhmut wakuu tulikuwa tumeishaizunguka sisi warusi wa mpigi majohe na Wagner tunakwama wapi kuichukua?[emoji2]
Vita ipo Bakhmut centre kugombea makao makuu ya mji.usijali muda sio mrefu tutatangaza rasmi kichukua mji kwa asilimia 100 japo mpaka sasa tumechukua zaidi ya asilimia 75 ya mji wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…