Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Muulizeni Omar Al-Bashir wa Sudan kama alishwahi kutoka nje ya Sudan tangu RB yake itoke mwaka 2009 na 2010?

Mwaka 2015 alitua hapo Pretoria jaribu kukumbuka nini kilimfanya atoroke usiku wa manane?πŸ˜³πŸ™„
Sijui tuwambie mara ngapi Urusi ni Super Power huwezi kuilinganisha na banana Republic kama Sudan.

Msijidanganye hakuna taifa hata moja wala mtu yeyote anayeweza kumuguza Putin, wataishia kwenye political rhetoric mradi siku ziende.

Halafu hili la kusema eti "Al Bashir" alitoroka usiku wa manane kutoka Afrika kusini habari hizo sijawahi kuzisikia popote, ebu tupatie link ya kuthibitishe tukio hilo kama kweli liliwahi kutokea.
 
Nakubaliana na wewe urusi kawekeza kwenye technologia ya hali ya juu ya kukuona ukiwa mbali na kukupiga akiwa kwake ndo maana bana mda na madrone pamoja na ma navy carrier.
Technolojia za design hiyo sio za kawaida chukulia mfano hypersonic missile ambazo hata nyuklia physics inashindwa kuzi prove.
Mfano mwingine nikuangushwa kwa ile drone ya marekani, kumbe marekani walijua haiwezi onekana Kwenye rada, na ing hit target and run bila kugundulika kwenye rada za mrusi.
Tageti ilikua meli za mrusi zilizoblack sea zinazoongoza mashambulizi ya anga.Lakini kabla drone haijafanya chochote ikanaswa kwenye rada na ikafanywa ilichofanywa.
 
Iko hivi!!

Afrika Kusini ni mwanachama wa ICC.Sheria inamtaka kuwakamata watuhumiwa wote wa ICC wenye arrest warrant.
Mwaka 2015 Omar Al-Bashir alitua Afrika Kusini na serikali ikagoma kumkamata. Watu wakaenda mahakamani kupinga na mahakama ya afrika kusini ikaamuru akamatwe ili bahati tu Al-Bashir aka wa ametoroka.

Putin amekuwa akitetea hii sana hii vita. Ni kwa nini sasa anaogopa kwenda kujitetea mahakamani kama Ruto na Kenyattta walivyojitetea pale ICC?Tutamkamata tu.
Al_Bashir ingawa bado hajafika ICC ( Fugitive) ila anaozea jela kwa maana sheria imeshachukua mkondo wake
 

Sahivi wanaishia Romania. Tuliwaambia blacksea ni mali ya Mrussi.
 
Hahahahah Wagner wanazidi kunifurahisha 🀣🀣🀣 wamemtoa afisa Makombora kama panyabuku shimoni! Huyu ndio alikuwa anachelewesha mchakato Donetsk pumbavu zake. Wampe bakuli la pilipili atafune
 
South Africa hawawezi kumshika Putin nimekaa pale. Ataenda kufanya vikao na ataondoka bila kunguni yeyote kugusa hata shati lake.
 
Kila kukicha Control Control - haya tangazeni ushindi basi ili Dunia ijue Ukraine ipo chini ya himaya ya Urusi.

Mwaka na ushee sasa.
 
⚑️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (26 March 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

πŸ’₯ In Kupyansk direction, the Zapad Group of Forces' artillery and Army Aviation has hit enemy manpower and armour close to Stelmakhovka (Lugansk People's Republic), Dvurechnaya, Stepovaya Novoselovka, Tabayevka, and Sinkonka (Kharkov region).

◽️ Up to 70 Ukrainian troops, one armored fighting vehicle, and four pick-up trucks were destroyed. Moreover, an ammunition depot of the 127th Territorial Defence Brigade was neutralised close to Lukyantsy (Kharkov region).

πŸ’₯ In Krasny Liman direction, Ground-Attack and Army aviation, artillery, and heavy flamethrower systems of the 'Tsentr' Group of Forces engaged the units of the Armed Forces of Ukraine (AFU) close to Nevskoye, Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic), Serebryanka and Grigorovka (Donetsk People's Republic).

◽️ More than 90 Ukrainian servicemen, four armoured fighting vehicles, three motor vehicles, and two D-30 howitzers have been destroyed during the day in this direction.

πŸ’₯ In Donetsk direction, the units of the 'Yug' Group of Forces, aviation, and artillery annihilated over 200 Ukrainian troops, nine armoured fighting vehicles, two pick-up trucks, one Grad MLRS vehicle, two Msta-B howitzers, two D-30 howitzers, one Polish-made Krav self-propelled artillery system, and two U.S.-made AN/TPQ-50 radar systems in the past 24 hours.

◽️ An ammunition depot of the 56th Motorised Infantry Brigade of the Ukrainian Armed Forces has been hit close to Kramatorsk (Donetsk People's Republic).

πŸ’₯ In South Donetsk and Zaporozhye directions, aviation and artillery of the 'Vostok' Group of Forces inflicted fire damage on the AFU units close to Ugledar, Prechistovka (Donetsk People's Republic) and Malinovka (Zaporozhye region).

◽️ The total losses of the enemy in these directions amounted to 60 Ukrainian troops, two armoured fighting vehicles, three motor vehicles, and two D-30 howitzers.

πŸ’₯ In Kherson direction, the fire damage has neutralised over 20 Ukrainian troops, one Akatsiya self-propelled howitzer, and one U.S.-made M777 artillery system during the day.

πŸ’₯ Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Russian groups of forces have neutralised 84 AFU artillery units at their firing positions, enemy's manpower and hardware in 128 areas during the day.

πŸ’₯ Fighter aviation of the Russian Aerospace Forces has shot down one Mi-8 aircraft of Ukrainian Air Force near Dmitrov (Donetsk People's Republic).

πŸ’₯ Air defence forces have intercepted seven HIMARS MLRS projectiles during the day.

◽️ Moreover, fourteen Ukrainian unmanned aerial vehicles were shot down close to Varvarovka, Pshenichnoye, Krasnorechenskoye (Lugansk People's Republic), Kirillovka, Volnovakha, Yasinovataya (Donetsk People's Republic), Tokmak and Balochki (Zaporozhye region).

πŸ“Š In total, 404 airplanes and 225 helicopters, 3,587 unmanned aerial vehicles, 414 air defence missile systems, 8,415 tanks and other armoured combat vehicles, 1,073 combat vehicles equipped with MLRS, 4,440 field artillery cannons and mortars, as well as 9,126 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD
πŸ”Ή @mod_russia_en
 
Muulizeni Omar Al-Bashir wa Sudan kama alishwahi kutoka nje ya Sudan tangu RB yake itoke mwaka 2009 na 2010?

Mwaka 2015 alitua hapo Pretoria jaribu kukumbuka nini kilimfanya atoroke usiku wa manane?πŸ˜³πŸ™„
Ajabu hii,unamfananisha Putin na Bashir?Kweli Rais wa taifa kama Russia unamuweka kwenye level sawa na Rais wa Sudan?Mmeshaambiwa,nchi itakayojaribu kumkamata itakuwa imetangaza vita na Urusi!Ni taifa gani liko tayari kuingia vitani na Urusi kisa kimbelembele Cha kumkamata Putin?
Tumia akili Yako vizuri,western wenyewe wanakwambia hiyo warrant ni symbolic!
 
Muongo.

Ulaya kwa sasa bei ya gesi ni 43$

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…