Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
.Ukraine walifanya mambo mengi ili kuvuta attention ya west kuwasaidia silaha.
Kama unakumbuka mwaka jana waliibua kashfa ya sexual crimes kwa Russian soldiers badae wakaja kukiri kwamba walikuza ili kupeleka presha wapewe silaha
View attachment 2558327View attachment 2558328
Hatar kwelikweli.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Hatimaye Wanamgambo wa Ukraine wamejisalimisha baada ya kipigo kikali..wamepewa jukumu la kumenya vitunguu swaumu na kuwapikia Wagner Group msosi mtamu.
[emoji635]Russian-DPR reported that 70 militants of the Armed Forces of Ukraine surrendered over the past 2 weeks: About 70 members of the Armed Forces of #Ukraine (AFU) have surrendered over the past two weeks in the #Donetsk People's Republic[emoji973]️
@CheriB2022 @CorkyBottle @BlackrussiantvView attachment 2567726View attachment 2567727View attachment 2567728
Ukute urusi inadukua taarifa za west🚨🚨🚨
Ukisikia Awamu hii wamepanda Mtumbwi wa Vibwengo ndio Hii
Norway Wanalialia na Kuomba Msaada
Nyambizi Sita Zakirusi zilizo na Nuklia Zaonekana Pwani ya Norway Karibu kabisa na Cable za Mawasiliano Na Zile za Internet Barani Ulaya
Nyambizi Hizo zinazunguka tu Pia Eneo hilo kuna Mabomba ya Gesi pia
Serikali ya Norway Haijui nini Chakufanya Mpaka inaomba Msaada kwa Wenzie
Inaangalia tu kwamacho Midude Ikizunguka tu
#Norway #Russia
Norway is crying out for help.
Six Russian nuclear submarines of the fifth generation of the Borei class and the Yassin class besieging communication cables and internet cables for eastern European countries and gas pipelines
View attachment 2568312View attachment 2568313View attachment 2568314View attachment 2568315
Movie linaendelea.🚨🚨🚨

Shuleni kwetu tulikuwa nayo hiyo Bm-21VIDEO
Kuna Askari Mmoja wa Ukrein Aliwahi Kuhojiwa Kuhusu Vita
Jamaa alisema Hawa WAGNER
Nihatari yaani Nikama Mizimu inayo Fufuka haina Uoga Na Anajiuliza Hajui wanapewa Vitugani !!
Angalia Hii video Hawa watu Nihatari yaani Mashine Inatema Rocket yeye nduo kwanza Anapiga Gitaa juu yake
Wana mzuka Balaa
Ndio maana West wana wagwaya hawa watu ni Mizimu
MUNGU IBARIKI URUSI
URAAAAAAAAAAAAAAAAA
View attachment 2559073
Good[emoji95][emoji95][emoji95]Sumy region explosions[emoji95][emoji95][emoji95]
Shemeji yangu analo gari la hivi[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukrainian BTR-80 IFV destroyed, location not known. But could be Bakhmut or Kremmina forest areaView attachment 2559567
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app