kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kamaz unaifahamu mkuuMkuu nimeshaelewa unapenda kujivunia utaalamu wako. Umeniambia mara ngapi sina habari?
basi nisaidie kwa utaalamu wako. Naleta hapa chini orodha ya makampuni yanayotengeneza magari nchini Urusi. Niambie moja liliyofanya kazi bila uwekezaji wa nje ya Urusi (au kununua laiseni ya kutoa gari lenye asili ya nje, au kukopi gari la nje).
Car Manufacturers in Russia
Rank Brand Sales Market share Total 1,425,791 100% 1 Renault-Nissan
(includes AvtoVAZ)477,279 33.5% - AvtoVAZ 266,296 18.7% 2 VW Group 156,712 11.0% 3 Kia 149,567 10.5% 4 Hyundai Group 145,300 10.2% 5 Toyota Group 118,685 8.3% 6 GAZ 55,803 3.9% 7 UAZ 48,848 3.4% 8 Mercedes-Benz 43,912 3.1% 9 Ford 42,528 3.0% 10 General Motors 31,737 2.2%
Hajui huyu.anajua Urusi kaanza kutengeneza magari kwa kuomba under lisence kama vile south africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kamaz unaifahamu mkuu
Nafuatilia wanachokifanya, nasubiri nione muendelezo na matokeo. Mpaka sasa sijaona effort yoyote serious kutoka US kuilinda $. Ni kama vile hawajashtushwa na hizi agreement au sio material enough to catch their attention. Ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.China wapo very serious kwenye kuachana na matumizi ya Dollar.
View attachment 2570223
Magari mangapi ya Japan,, Ujerumani,South Korea, Italy, Sweden siki hizo hata za Uchina zinazo tumia umeme wa battery yanaundwa nchini Merikani - hiyo ni issue kweli?? After all 90% ya magari engine zao ni internal combustion (Petrol na Diesel) zipo stirling engines na external combustion kama steam engines etc - nyie mnajua Urusi ilianza kuunda engine za magari na magari, trakta na ndege tokea mwaka gani??Mkuu nimeshaelewa unapenda kujivunia utaalamu wako. Umeniambia mara ngapi sina habari?
basi nisaidie kwa utaalamu wako. Naleta hapa chini orodha ya makampuni yanayotengeneza magari nchini Urusi. Niambie moja liliyofanya kazi bila uwekezaji wa nje ya Urusi (au kununua laiseni ya kutoa gari lenye asili ya nje, au kukopi gari la nje).
Car Manufacturers in Russia
Total 1,425,791 100% Rank Brand Sales Market share 1 Renault-Nissan
(includes AvtoVAZ)477,279 33.5% - AvtoVAZ 266,296 18.7% 2 VW Group 156,712 11.0% 3 Kia 149,567 10.5% 4 Hyundai Group 145,300 10.2% 5 Toyota Group 118,685 8.3% 6 GAZ 55,803 3.9% 7 UAZ 48,848 3.4% 8 Mercedes-Benz 43,912 3.1% 9 Ford 42,528 3.0% 10 General Motors 31,737 2.2%
Sio kwamba US wamekaa tu na wameamua kuiacha Dollar ianguke. Hapana.Nafuatilia wanachokifanya, nasubiri nione muendelezo na matokeo. Mpaka sasa sijaona effort yoyote serious kutoka US kuilinda $. Ni kama vile hawajashtushwa na hizi agreement au sio material enough to catch their attention. Ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.
Naisubir Kwa hamu[emoji16]Hii Documentary ya Bakhmut itakuwa kali sana kama wakitowa.Bakhmut imeondoka na roho nyingi za wanajeshi wa Ukraine
View attachment 2570296
Mkuu, Kamaz ni mfano mzuri. Ilianzishwa wakati wa USSR (kwa kutumia mashine kutoka magharibi), baada ya mwisho wa ukomunisti ilikuwa karibu kufilisika, ikajengwa upya na kubadilisha modeli zake.Kamaz unaifahamu mkuu
Sio kwamba US wamekaa tu na wameamua kuiacha Dollar ianguke. Hapana.
Wanapambana na kugombana na yeyote anayetaka kuiangusha Dollar. Ila sema safari hii amekutana na heavy weights wenzake.
Unajua hizi trade zilizokuwa zinafanyika kwa kutumia dollars ndizo zilikuwa zina necessitate nchi ku hold Dollars au kuwa na investments in terms of dollars ili kuweza ku perform dollars transactions.
Sasa wanapoacha kutumia dollars kwenye business transactions kwa hiyo hata huko ku hold dollars kunaondoka.
Mkuu umejitahidi kupeleka swali linalojadiliwa penginepo. Napendelea kubaki hapa. Je kati ya makampuni yanayozalisha magari kuna mangapo yasiyotawaliwa na makampuni ya nje, au yasiyotegemea laiseni za tekinolojia za nje, au yasiyoendeshwa kwa uwekezaji kutoka nje?Magari mangapi ya Japan,, Ujerumani,South Korea, Italy, Sweden siki hizo hata za Uchina zinazo tumia umeme wa battery yanaundwa nchini Merikani - hiyo ni issue kweli?? After all 90% ya magari engine zao ni internal combustion (Petrol na Diesel) zipo stirling engines na external combustion kama steam engines etc - nyie mnajua Urusi ilianza kuunda engine za magari na magari, trakta na ndege tokea mwaka gani??
Hamna hata habari kwamba Warusi ndio wavumbuzi wa kwanza wa TV camera na TV yenyewe, Radio, Periodic Table na electric bulbs nk, hayo yote huwa hayasemwi na western media masaa yote ni kuwaponda Warusi tu-wana sayansi wengi huwa hawapendi kabisa ujinga huu.
Ndio maana wana sayansi wa Urusi na US ushirikiana sana kwenye mambo mengi na kupuuzia propaganda hizi za kitoto za wana siasa.