Dunia itashangaa kama Putin ana uwezo wa kuua chumi za nchi za Ulaya na marafiki zao aliwemo US. Tunasubiri angulo la sarafu ya Dollar kwa mara ya kwanza tangu vita vya pili vya Dunia.Hahahahaha mwanzo walihisi Putin hana silaha ila kumbe anazo na uwezo wa kuzalisha nyingi anao. Mkimnyima semi conductors anazalishia Iran 🤣🤣🤣!
Lengo ilikuwa yeye aishiwe silaha sasa kawageuzia kibao NATO na lengo ni kuiangusha Dollar na Dola zao. Kwahiyo hii operation haitaisha hadi Ukraine yote iishe na kuisha kwa Ukraine maana yake ni pigo kwa USA na uchumi wao maana wenye akili washaanza kurudi kwa siri kununua gas na wese la mrusi.
Wejamaa achana na Id yenye Jinalako Kamili humu
Hivi Biden alipokwenda Kyiv kwa nini wale wenye Hypersonic Missiles wasingemdungua!!??
Hahahahah itashangaa mara ngapi na Biden kakiri kuwa wenye dola mabenki bora wazichukue tu maana zinaweza bank nyingi zika collapseDunia itashangaa kama Putin ana uwezo wa kuua chumi za nchi za Ulaya na marafiki zao aliwemo US. Tunasubiri angulo la sarafu ya Dollar kwa mara ya kwanza tangu vita vya pili vya Dunia.
Mashoga wote wanatetea Ukraine. 🤣Halafu kwa kauli hii unadai wewe ni mstaarabu kuliko wamarekani. Yaani mtu unayewaza mambo machafu muda wote unawezaje kuwa ni mstaarab?? Halafu uwezo wako wa kufikiri ni wa kutiliwa shaka, maana unavosema "Nenda na wewe" ni kama tukio endelevu wakati hiyo ni picha iliyodukishwa (Photoshop picture) kitambo sana.
Unataka kutuaminisha kwamba Urusi hakuna mabwabwa? 😀 😀Mashoga wote wanatetea Ukraine. 🤣
Busara za huyo shoga ni sawa na kuamua kuangamiza familia yako na watoto kwa interest za rafiki mchonganishi anayekupambanisha na jirani yako ambaye mmeishi vyema miaka tele na huna uwezo wa kumshinda kwa njama zozote hata za kishetani.
Akiwa na miaka 45 Zelensky amemzidi busara Mzee wa miaka 70, Putin!!
Lini umeona shoga wa Urusi? Hata kama wapo huwa hawasogelei Media na watakuwa kwa uchache sana. Ila ni aghalabu kukutana na ***** wa kimarekani anajiachia mitandaoni na wengine ni viongozi kabisa wa Serikalini.Unataka kutuaminisha kwamba Urusi hakuna mabwabwa? 😀 😀
Hahahahah mwamba anashika shika mali yake 🤣🤣🤣
Kwa sababu dollar ilikuwa ni ishu ila sasa Yuan ndio inaenda kuwa ishu 🤣🤣🤣Angalau serikali ya China inawekeza sana kwa kununua US treasury bonds. Nikielewa vema wanafuata shabaha ya kuwa na thamani ya juu ya US Dollar.
Haya majamaa mawili yalipatikana mtaani katikati ya jiji la Moscow yakilana denda...
Alafu utasikia wajinga kama aina MK254 wakisema Urusi inapigana na Ukraine.Ukweli Umeanza Kujitenga sasa
Ugiriki wanasema Lile Shambulio la Kituo cha NATO Kilichokuwepo Kyive
Chini ya Arhi liliua Dazeni ya Dazen ya Makamanda wa NATO
Wanakuambia Wengi walikuwa Wamarekani
🇫🇲Greek media: dozens of NATO officers are buried in a secret bunker destroyed by "Daggers" in Ukraine
📝According to the Greek portal Pronews, received by the editors from “American sources”, “
💥As a result of the “terrifying blow”, as the article claims, “dozens of NATO officers” were killed.
❓In all likelihood, we are talking about the defeat of the “shadow general staff” of NATO in Ukraine, the existence of which Western officials stubbornly deny.
View attachment 2567554
Kwamba mrusi atashindwa kutengeneza gearbox yake na engine kisa benz na volvo wamejitoa? .Mkuu, Kamaz ni mfano mzuri. Ilianzishwa wakati wa USSR (kwa kutumia mashine kutoka magharibi), baada ya mwisho wa ukomunisti ilikuwa karibu kufilisika, ikajengwa upya na kubadilisha modeli zake.
Daimler ya Ujerumani iliingia kutoka 2008 hii, mwishoni walishika 15%. Gear box zilinununuliwa na baadaye kutengenezwa kwa laiseni ya ZF Friedrichshafen (Ujerumani), Volvo walishiriki pia katika kiwanda fulani.
Urusi ilitafuta sana ushirikiano wa Daimler, walikuwa na mipango kuwapa hadi asilimia 40 za hisa - sasa Daimler na Volvo wameondoka. Nasoma kwamba modeli za kisasa kabisa K4 und K5 hazitengenezwi tena maana zilitegemea vipuli na laiseni kutoka nje.
Wawapige ukuti ukuti tu hadi wilayani Bhakmut 🤣[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️There are reports that Wagner PMC fighters are storming the district administration building and Bakhmut City Council (red circle), the Armed Forces of Ukraine are retreating into the city center from Bakhmutskaya and Blagoveshchenskaya streets[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️.
Muda sio mrefu bendera itapepea kwenye mlingoti wa jengo la halmashauri ya mji wa BakhmutView attachment 2570303
Brilliant - shukrani kwa maoni yaliyo kwenda shule, once again BRAVO-kumbuka vile vile msemo wa kale usemao "HUSIMWAMUSHE ALIYELALA" jamaa wapo kwenye usingizi wa pono kabisa!!Nafuatilia wanachokifanya, nasubiri nione muendelezo na matokeo. Mpaka sasa sijaona effort yoyote serious kutoka US kuilinda $. Ni kama vile hawajashtushwa na hizi agreement au sio material enough to catch their attention. Ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.
Swali zuri mkuu, mimi nilimuhoji swali dogo tu, kwamba,je,anajua Warusi walianza kuunda engine zao za Petrol na diesel kwa ajili ya magari na ndege tokea mwaka gani? Hana jibu, yeye masaa yote anazungumzia jinsi warusi walivyo na uwezo mdogo kwenye masuala ya sayansi na teknolojia, yuko overly obsessed na masuala ya propaganda ambazo anazisikia kutoka kwenye media za CNN,SkyNews etc pamoja na articles kutoka wikipedia ambazo majoroty zimeandikwa deliberately kuisema vibaya Urusi,Uchina na Korea Kaskazini.Kwamba mrusi atashindwa kutengeneza gearbox yake na engine kisa benz na volvo wamejitoa? .
Hapa south afrika zipo nyingi sana hasa truck bongo tuna ziita loriKamaz unaifahamu mkuu
Haya majamaa mawili yalipatikana mtaani katikati ya jiji la Moscow yakilana denda...
Kwani wewe huwa unatoa kwenye vitabu vipi ututumilie mbali na Google.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi taarifa zako uwa unachukuga google acount nini?.nani kamwambia Avtovaz sio mali ya WarusiView attachment 2570393
Nikutumilie screen short za mapro urusi uone jinsi wanavyoburunga.Ana kiswahili kama ana tafsiri maandiko ya kale kwenye vitabu vya dini