kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
You nailed it!! Ngoja mazombi wa Putin waje kutema nyongoNi muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.
Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na BakhmutView attachment 2573261
Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapaView attachment 2573266Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.
Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingiView attachment 2573267
Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadaeView attachment 2573269
Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibikaView attachment 2573270
Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamaniView attachment 2573271
Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na ploughView attachment 2573274 Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.
Training na doctrines za Russia kwenye minefields (ni zilezile za Soviet Union ambazo Ukraine inazijua), mbinu za Ukraine, mines za kisasa zinazotolewa na NATO vimefanya Russia iwe na performance mbaya ikikutana na mines na itumie muda mwingi kupata gains.
Kwasasa counteroffensive sio rahisi kwa Ukraine hata raisi wa Ukraine ameshakiri hilo.Ni muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.
Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na BakhmutView attachment 2573261
Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapaView attachment 2573266Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.
Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingiView attachment 2573267
Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadaeView attachment 2573269
Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibikaView attachment 2573270
Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamaniView attachment 2573271
Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na ploughView attachment 2573274 Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.
Training na doctrines za Russia kwenye minefields (ni zilezile za Soviet Union ambazo Ukraine inazijua), mbinu za Ukraine, mines za kisasa zinazotolewa na NATO vimefanya Russia iwe na performance mbaya ikikutana na mines na itumie muda mwingi kupata gains.
Mama wa makalaNi muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.
Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na BakhmutView attachment 2573261
Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapaView attachment 2573266Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.
Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingiView attachment 2573267
Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadaeView attachment 2573269
Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibikaView attachment 2573270
Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamaniView attachment 2573271
Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na ploughView attachment 2573274 Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.
Training na doctrines za Russia kwenye minefields (ni zilezile za Soviet Union ambazo Ukraine inazijua), mbinu za Ukraine, mines za kisasa zinazotolewa na NATO vimefanya Russia iwe na performance mbaya ikikutana na mines na itumie muda mwingi kupata gains.
Ndio maana huwezi kuona Spain kuna maandamano.Russian gas is flowing to Spain "like a river", while neither the Spanish government nor Brussels know how to stop it, writes El Confidencial.
The country increased its purchases of this fuel by 84% since the beginning of the conflict.
In the first two months of this year, the volume of purchased Russian gas increased by 172% compared to the same period last year.View attachment 2573283
Sio psychological games hizi?VIDEO
Wimbi la Wanajeshi wa Ukrein Kugoma Kupigana Na Kusema wanauliwa Sana Linazidi Kuongezeka
Brigedi nyingine hii Imegoma
Aliye Teuliwa Kusema Alikuwa na Hasira sana Alikuwa kavaa Maski
Lakini akaona Aivue ili wamuone Alivyo na Hasira
Anasema "Tumepelekwa kwenye Mapambano Kila Dakika Mtu anakufa kila dakika ni kuuliwa sitaki Tena ,Hatutaki kuuliwa tena Tulio baki hai niwachache kuliko walio uliwa"
Hawa ndio wanao mfanya Zele Kuhofia kuuliwa na Waukrein wenyewe kuliko Warusi
View attachment 2572734
Hahahahah hio statement ishazoelekaPutin akae akijua kwanba hawezi kuachiwa afanye uhuni wake katika taifa huru la Ukraine kwa gharama yoyote ile.
Hahahaha vilianzia Crimea ila kwa mziki wa Bhakmut vitaishia Kyiv kwa Zelensky 🤣🤣🤣 sisi atuwezi kufa tena - Aliskika mgambo mmoja wa UkraineIlisikika sauti ikisema hatutaacha hata mita moja nipo pale nasubiri.View attachment 2572910
Hahahahahah tuliiwaambia jeshi la Ukraine liliisha kabla ya HIMARS ya kwanza haijatua kwenye uwanja wa vita.“The entire [Ukrainian] army that NATO trained between 2014 and 2022… is dead.”
As for the publicized spring offensive: "Recruits are thrown into battle formations after three weeks of training."
Complete disaster.