Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa ameadhibiwa kwa lengo gani?
Hivi unajua huwezi kudhibiti pasipo kuadhibu.

Hapa umetumia kiswahili tu ila hakuna tofauti.

Nasema hivi richest people in the west na Oligarchy hawana tofauti.
Siyo kweli kwamba kuadhibu ni kudhibiti. Kudhibiti ni hali ya kutumia nguvu ili kuzuia jambo fulani lisifanyike wakati kuadhibu ni kufundisha kwa kutumia nguvu. Siyo kila anayefundishwa anafundishika na siyo kila kudhibiti kunafanikiwa.

Mtu akisema kwamba "nimeyadhibiti maji yaliyokuwa yanapita kwenye kiwanja changu" ina maana ameyaadhibu hayo maji??
 
Libya alikuwa member wa NATO.... Mbona waliweka No Fly Zone?
Mnapojadili mambo msiwe kama kuku aliyekatwa kichwa....
Hakuna haja ya fly zone, kama kubokolewa atabokolewa tu ni suala la muda. We ulijua hii vita itachukua mwaka mzima kabla hajaifanya Ukraine koloni lake kama ilivyo Belaruz.?
Bakhmut kwenyewe anatolewa kamasi mwezi wa 3 huu unaisha mji kashindwa kuuteka hadi kukodi wale wavuta bange Wagner wamsaidie lakini wapi
 
Kuch nehi hogea
 
Maji ni kiumbe hai?
Mbona mfano wako hauna uhusiano na mada tajwa hapo juu?
Mbona unakuwa muongo muongo kama baba yako kule Amerika?
Haya matendo hufuatana, huwezi kudhibiti bila kuadhibu.

Marekani hufanya vyote hudhibiti na kuwaadhibu maoligarchy wake.

Kinachofanyika ni kutafuta terms zitakazo punguza ukali wa maneno.

Kwenye ujasusi wa kiuchumi ni pamoja na kuyatawala makampuni mama ya nchi yako na kuyainfluence kwenye maamuzi mbalimbali.

Ndio maana mengi yalijiondoa Russia, unadhani kwa nini?
 
Tangu wale panya wa NATO wapigwe na kitu kizito cha mrusi kwenye shimo la 80m hali pale Ukraine imekuwa tete sana kwao. Jeshi la Ukraine limegeuka kuwa mgambo wagner group wanajipigia tu wanavyotaka, Zelenskiy kapoteza matumaini, USA&NATO wapo kuomboleza vifo vya watu wao huku wakiwa wamepoteza matumaini

Tujikumbushe kidogo tangu kuanza kwa hii operation Ukraine na washirika wake wamepoteza haya maeneo ambapo kwa upande mwingine ni mafanikio ya Urusi katika SMO yake;

●Kharison
●luhansiky
●Mariupol
●Donetsik
●Zaporizhzhia
●now Bakhmut

Zelenskiy akiendelea kukaza fuvu kwa kuwasikiliza hao bwana wake, na Odessa&Kharkov wanaume wataziongeza kwenye list na kufunga hesabu kabisa huku Ukraine ikibaki kama taifa butu.

Kijeshi tunasema "RUSSIA INAPIGA KWENYE MSHONO"

Mimi nikiwa kama pro-Russia nimewawakilisha pro-Russia wenzangu kutaja mafanikio ya upande wetu (Kwa ufupi) tangu kuanza kwa hii SMO yetu, hivyo basi kwa heshima na tahadhima namkaribisha Pro-NATO&West yeyote atakae wawakilisha wenzake katika kutaja mafanikio ya upande wao tangu kuanza kwa hii SMO.

KARIBUNI PRO-NATO&WEST.
 
Wewe unaweza kumsema mtu kwa kutumia hiyo lugha hadharani? Kwa mfano mzazi ama bosi wako unaweza kumwita hivyo?? Katuna na wala siyo ungwana.
Kama bosi ni ngese kama wewe ulitaka uitwe jina gani?
Upo upande ambao hilo jambo kwao ni sera kuu na wako tayari hadi wakutolee posa kwa mzee wako.
Sasa kama unalifurahia ulitaka sisi tukuiteje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…