Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ™
Urusi ilijipanga sana na iliwapanga OPEC.
Huyo ndio Supapawa mwenye busara.
 
Mkuu unapiga gia kali ya nyuma. Ulidai juu
1) majenerali wa nchi mbalimbali za NATO ziliuawa katika handaki nchini Ukraine
2) Taarifa ziko kwenye Western MEdia

Nilikuomba kuthibitisha madai hayo kwa
a) kutaja majina ya majenerali wa NATO waliotoweka au kutangazwa wamekufa (maana majenerali wanajulikana - kama ungetumia uwongo mzuri ungechagua cheo cha chini...)
b) ulete links za hizo media zilizotoa taarifa.

Sasa huleti majibu badala yake uaanza mahubiri.
 
Mpaka leo Marekani ajui lilitumika kombola gani kupiga ile military bunker maana ngoma ilichimbua zaidi ya mita 200 kwenda chini.hakika ile ilikuwa ni teknolojia ya juu zaidi kutumiwa na Warusi hapa Duniani.

Marekani mpaka kufika hapo alipofika Urusi basi tumpe labda miaka 200 zaidi ndo ataweza kutengeneza kombola kama lile
 
Hakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.

Huo uongo kaambizane kijiweni kwenu. Unaweza taja hata jina moja la General wa NATO aliyeuawa pale Ukraine? Achana na watu 400 uliodai, taja mmoja tu. Na ukitaka kujua ulivyo na uongo wa kitoto, command ya watu 400 inafanya nini, watu 400 wanacommand solar system nzima ama namna gani.

Na Marekani haina mpango wa kupigana na Russia, kwa lipi hasa ililonalo? Kama unataka vita yao si uwaambie Russia ndio waanze. Shamba la gesi na mafuta hilo halimtishi hata South Korea kiuchumi, kijeshi ndio hilo mwaka sasa limeshindwa Ukraine. Na kwa taarifa yako kesho Finland inajiunga NATO sasa jinyongeni kama inakuuma.

Chechens si ni Warusi. Mapigano ya Warusi wenyewe kwa wenyewe ila lawama kwa Marekani? Marekani ina nguvu kumbe hadi ndani ya Urusi inasababisha vita sasa si muipige maana sababu tiyari ipo.
 

Russia anatoa mipango ya kupiga faida wote sio kama US anaangalia maslahi yake tu.
 

We Jamaa bhana, unafikir west watawataja majina??. Ila wale wa Russia walikua wanawataja majina kabisa.
 
Putin anakwambia Wala hakuna kitu serious ambacho amefanya Ukraine kwenye hii SMO!
Yaani mtu anafanya kaoperation halafu Ukraine anasaidiwa kila kitu na mataifa zaidi ya 30 lakini Bado mzani umeegemea upande mmoja!
Ama kweli Urusi sio mchezo!
 

Kuna mtu kapaniki huku kazi ipo.
 
We Jamaa bhana, unafikir west watawataja majina??. Ila wale wa Russia walikua wanawataja majina kabisa.
Mkuu ninachoomba ni kazi nyepesi. Majenerali ni watu wanaofahamika. Majina yanajulikana. Kwa hiyo kama kundi la majenerali liliuawa, baadaye hawaonekani. Kuna ibada kwa ajili ya familia. Huwezi kuficha kundi la majenerali waliouawa.

Ila hadithi hii ni uwongo tena uwongo wa kijinga mno. Ila ukifarijiwa na visa hivyo, uamini tu upate faraja!
 
Who can believe this make believe stories staged managed by a super clown Zelensly - hapo anajifanya kusikitika na kulengwe na machozi - msisahau kwamba Zelensky ni muigizaji mahili - anacho lenga hapo ni kutaka kuhadaa Dunia kwamba Putin ni mega WAR Criminal hivyo ushahidi huu ndio utumike leo leo kamtia mbaroni Putin na kumpeleka kwa Pilato - wanacho sahau ni kwamba Russian Federation is still a Super Power hakuna Taifa au mtu yeyote anaweza kumfanya lolote Putin - ndio maana juzi Biden alipo ulizwa swali kuhusu Putin kishtakiwa, Biden alikwepa kujibu swali unajua kwa nini, anajua vizuri kwamba Marais walio mtangulia nao wana war crime cases to answer especially Bush Jr na Bill Clinton.
 
Mtaongea lugha zote. Urusi haiheshimiki, Finland imetangaza kujiunga mkaikatia umeme mkajitapa humu sijui wataganda lakini wapi
 
Rubani wa Ndege vita Wa Ukrein Akielezea Hali ilivyo Huko Vitani
Anakuambia Urusi kila siku Anabadili Mbinu
Na Kuwavuruga Marubani wa Ukrein
kisha Kuwaweka Kwenye Mtego na Kuwauwa
Anakumbia Kunamuda Inakuja Ndege moja ya Kirusi Na Wao kuiweka kwenye Target Ghafla Zinatokea zingine Mbili hadi Tatu Kisha Ndio Zinashambulia
Yaani Zinatengeneza Mtego Ghafla tu manajikuta Hamna Jinsi yakukwepa!
Anakuambia kwenye Vita kunahali Mbaya sana kwao

β€œThe Russians change tactics all the time, so the war isn’t stable. They make traps. They will send up a Russian jet alone, tricking the Ukrainian pilot into thinking there is only one jet. Then, two or three more will appear either side of it, effectively swarming the Ukrainian aircraft.”
 
Kuna watu wapuuz ila wewe naona utakuwa na mental health issues ,si bure
 
Mtaongea lugha zote. Urusi haiheshimiki, Finland imetangaza kujiunga mkaikatia umeme mkajitapa humu sijui wataganda lakini wapiView attachment 2575489
Kauli ya Putin sio ya bure!Hapo Finland wanaenda kuongezwa kwenye mataifa hatari dhidi ya Russia ikitokea vita between Russia na US au member wa NATO!
Nukes za kwanza zitatua Kwa majirani wa Urusi member wa NATO kwanza kabla US hajafikiwa!
Yaani Kwa jirani wa Russia ambaye hana mgogoro na Russia,ni hatari zaidi kuwa member wa NATO kuliko kuwa neutral!
Sweden na Finland wamekurupuka au kudanganywa na US!
 
Mkuu kunywa maji kwanza hasira zipungue, uandike hoja zako vizuri bila hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…