LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Piga Hao mbwa baba mzee putin
 
Aisee hatari sana hii yaani watu mmekuwa siku zote mnaishi kwa furaha na upendo ghafla tu wanasiasa wanabadilisha mitazamo yenu pasipokupenda na kujengeana uhasama mbaya kiasi hiki!
(Hakika siasa mchezo mchafu sana)
 
Vladimir mwakaputini piga Hao mbwa baba
 
Tuelezee kuhusiana na Abramovich na uwekezaji wa Chelsea kilichotokea na ni aina Gani ya uchumi?
 
Hapa mjerumani ataumia zaidi na mfaransa
 
Hii ni reciprocal kuwajibu kiev walioomba Mataifa yenye mtizamo kama wao kwenda kujiunga nao.

Na baadhi ya nchi na Mataifa yameanza kujibu.

Kuanguka kwa Urusi itakuwa gharama kubwa Ulimwenguni.

Nani ataweza kumfunga paka kengele?
China, North Korea, India, au Pakistan
Utagundua hakuna.

Bila Urusi kusimama Uchina atapata tabu
 
Halafu watakwambia west Kuna uhuru wa habari?

Wanachofanya ni kulazimisha mitazamo Yao kutawala consciousness ya bongo za wanadamu, filamu zao na hadithi zao

Unakumbuka tulivyokuwa wadogo, tulikuwa tunaamini Schwarzenegger mmoja anaweza kupiga jeshi zima.

Ndio tujue wanavyooperate, Mataifa Mengine wakitumia the same trick utasikia wanaanza kulalamika.
Mfano issue ya askari wa kukodi west wameifanya kwa miaka mingi sana na wakitumia hadi askari ambao walikuwa vitani utotoni, je Kuna chombo Cha habari waliripoti?

Atrocious act walizozifanya Afrika, vyombo vyao vimeripoti kimya.

Enslavement inayofanyika kiuchumi kwa Mataifa ya west Africa na Mfaransa ishawahi kuripotiwa, hapana au ndiyo?
Hii ndio kwa eastern part of Afrika na kusini, panakuwa kwa Kasi kuwashinda.

Unilateral sanctions kwa Zimbabwe baada ya kuchukua ardhi toka kwa watu weupe ilikuwa sawa?

Halafu Kuna mtu kama hapa anawasapoti , Mimi nasema hapana.

Hawa jamaa ni washenzi kuliko na siku zote hutangaza mabaya ya wenzao Tena huyatengeneza.

Bado nawatafakari, hivi bila eastern block, sisi Tanganyika tungetoboa kwenye vita ya Kagera. Nawaza tu, hata Nyerere Nelson Mandela hakuwa mtu sahihi mpaka alipokubali demand zao wakafanya shujaa.

Nina mengi nayawaza, huwezi kumsapoti Zelensky kwa kutoa kafara raia wake na kuharibu nchi yake, wakati angeweza kujadiliana na kuyamaliza Kidiplomasia.

Anaetukana aendelee.
 
Toka Putin amevamia mpaka leo siku ya ngapi? Mandege yote na silaha zote , mavifaru na kila kitu yuko wapi?
Nchi ngapi zinapeleka silaha na wapiganaji ukraine? Jiulize unadhani Russia wanapigana maraboti? Wale wahuni wa syria wakiingia hapo ukraine ndio tutaona athari kamili za vita.
 
Kuna profit repatriation unalifahamu Hilo?

Na kwenye National GDP ipo included unalitambua Hilo Cha matusi?
 
Inashangaza Vladimir Putin kulalamika vikwazo vya uchumi dhidi ya Urusi siyo halali. Je kuvamia nchi ndio halali? Mzee mzima amelikoroga ,hamna namna zaidi ya kumeza na kushusha na vodka.
Hata Marekani aliivamia Iraq, Panama
Ufaransa aliivamia Libya under pretext ya kuilinda raia.
Je waliwekewa vikwazo vya kiuchumi?
 
Anaonekana huyu jamaa kwenye masuala ya uchumi ni debe tupu.
 
Basi tu me najiuliza kwanini tunashindwa kutafakari kwa utashi wetu na kupokea pokea habari au mtazamo flan kisa flan kasema...

Huo ulimbwetete wa toka utotoni mfano wa anord msemo wako ndo unatugharim mpk ukubwani...

Kuna mda unaeza kujikuta unachukia wanaokuzunguka kwa wale yaliyomo vichwani mwao ila mda mwingine unajisemea nao sio kosa lao... Bali ndo walivyo kua "programmed" kuwaza hivo toka wadogo...

Sasa mbali zaidi huwa najisemea bora sie ila kizazi kinachokuja hiki hiki ambacho kinakwambia "bora kikawe mbwa ulaya kuliko kua tajiri bongo ati mbwa waa ulaya wanaishi maisha mazuri" kaaazi ipo.
 
MOTO UTAWAKA

Kadyrov claims that hundreds of thousands of people are ready to join the ranks of volunteers to participate in Russia's special operation in Ukraine. Galip SV Liwagu View attachment 2146748
Hii vita tusipokuwa makini itapitiliza Ukraine.

Yapo Mataifa mengi hasa eastern Europe ambayo hayana uchumi wa kuweza kuhimili hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…