Ndio Jomba...
That's why kila mda nasema katika watu siwaelewi kabisa yani KAAABISA... ni wana siasa.
Mwanasiasa asye mstaraab anaeza akaua au kudhuru mamilion wasio na hatia katika kumchafua mwenzake kisiasa.
Ajab huyo Hungarian President atapuuzwa kwasabab hajaizungumzia Hasi Urusi na Kuitetea Ukraine...
Na kwa kirefu zaidi taarif yake haitapewa kipaumbele kwenye Vyombo vya habari...
Halafu watakwambia west Kuna uhuru wa habari?
Wanachofanya ni kulazimisha mitazamo Yao kutawala consciousness ya bongo za wanadamu, filamu zao na hadithi zao
Unakumbuka tulivyokuwa wadogo, tulikuwa tunaamini Schwarzenegger mmoja anaweza kupiga jeshi zima.
Ndio tujue wanavyooperate, Mataifa Mengine wakitumia the same trick utasikia wanaanza kulalamika.
Mfano issue ya askari wa kukodi west wameifanya kwa miaka mingi sana na wakitumia hadi askari ambao walikuwa vitani utotoni, je Kuna chombo Cha habari waliripoti?
Atrocious act walizozifanya Afrika, vyombo vyao vimeripoti kimya.
Enslavement inayofanyika kiuchumi kwa Mataifa ya west Africa na Mfaransa ishawahi kuripotiwa, hapana au ndiyo?
Hii ndio kwa eastern part of Afrika na kusini, panakuwa kwa Kasi kuwashinda.
Unilateral sanctions kwa Zimbabwe baada ya kuchukua ardhi toka kwa watu weupe ilikuwa sawa?
Halafu Kuna mtu kama hapa anawasapoti , Mimi nasema hapana.
Hawa jamaa ni washenzi kuliko na siku zote hutangaza mabaya ya wenzao Tena huyatengeneza.
Bado nawatafakari, hivi bila eastern block, sisi Tanganyika tungetoboa kwenye vita ya Kagera. Nawaza tu, hata Nyerere Nelson Mandela hakuwa mtu sahihi mpaka alipokubali demand zao wakafanya shujaa.
Nina mengi nayawaza, huwezi kumsapoti Zelensky kwa kutoa kafara raia wake na kuharibu nchi yake, wakati angeweza kujadiliana na kuyamaliza Kidiplomasia.
Anaetukana aendelee.