LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Unaambiwa zaid ya wapiganaji 16000 kutoka seheme mbali mbali za dunian wameandika barua za kujiunga na jeshi la urusi


Kuna watu wanahasira sana na inchi za magharibi wameona huu ni muda wa kumaliza hasira zao
Ukimaliza hapo kiongozi kaangalie Game of Thrones kwa utulivu hasa action za wale wa kaskazini na king wao
 
Em nikuulize swali juu ya swali... Biashara ni nini.

Af nielezee serikali inanufaika vipi na hizo biashara... Af nikuulize tena hizo biashara zinafanywa na Roboti au binadam...

Na kama ni binadam hao binadam hawana Uraia au wanaishi Taifa ya sayari nyingine?

Jomba kila biashara ina Mmiliki hata n "Corporate" ambayo inajulikana ka "Legal entity" ina wamiliki. Hao wamiliki ni binadam wanaishi ka unavoish wewe na sio State Less bali wana Uraia wa Mataifa yao.

Narudia tena Raia wa Marekan kaja apa kaanzisha kampuni au kaajiriwa... Kwenye faida inayopatikana au mshahara anaopata analipa kodi nchini kisha analipia kodi nchini kwake kwasabab ya mfumo wa kodi ambao ni wa Kiraia.... "citizenship based"

Af kingine uwe unafikira nje ya Box... Dunian Tupo zaidi ya Billion 7.8 kati ya hao Wamarekan wapo Mil320 ka sikosei... Haya makampuni makubwa tunayoyasikia yangeishia ndani ya mipaka ya America yasingekua apo tunapoyaona...

Never ever... Ukumbuke biashara unafanya na watu so katuni au simba porini. Unafanya na watu so kuvuka mipaka nie ya mataifa mengine kama unahtaji kikubwa ni lazima.
Huyu jamaa ni empty set huu upande nakwambia.
 
Kuna profit repatriation unalifahamu Hilo?

Na kwenye National GDP ipo included unalitambua Hilo Cha matusi?
Profit repatriation inategemea na sheria zenu kama zinaruhisu,pia acha ushamba, investment haiwi included kwenye GDP bali kwenye GNP.

Huna cha kuniambia kwenye economics,ndio fani yangu hiyo.

Hasira za kibano 👇

Screenshot_20220312-155236.png
 
Profit repatriation inategemea na sheria zenu kama zinaruhisu,pia acha ushamba, investment haiwi included kwenye GDP bali kwenye GNP.

Huna cha kuniambia kwenye economics,ndio fani yangu hiyo.

Hasira za kibano 👇

View attachment 2147943
Economics siku hizi ni fan!? Duh!! Mzee hebu kaa kwa kutulia.
 
Hakika... Af na hio mindset ya kujisemea kua Marekan yupo sahih kwa kila kitu ndo inayotuponza...

Inakuwa ka tunacheza beat lake mda wte akinuna bas wote tunune na akicheka bas itulazimu wote tucheke hata tupo kwenye matanga.

Me kilio changu bado kipo kwa Raia tu anayesulubiwa kisa maamuzi ya mtawala wake anayeshinda ofisini.

Mfano vile bei ilivopanda ya mafuta kiasi ambacho itapelekea na bidhaa kupanda pia inamuasiri biden au Raia wa kawaida wa Marekan....

Haya hayo makampuni yanayoondoka Urusi yanamuadhib Putin au Raia wa kirusi ambae huenda alikuwa ndo mlisha familia yake nyumban kwake.

Apo sasa wajiuliza hivi "Do they care about us????" [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Zelensky kuna watu wanamwona Shujaa... Ila binafs bado najiuliza amekubali vipi kutumika huku chini akiwaumiza Raia wake kwenye Vita vsivomhusu kabisa.

Dunia ya leo achlia mbali kizazi cha bongo Fleva hiki cha 2000... Ukieka siasa na ushabiki pemben hakuna asiyejua vugu vugu la itikadi na sera kati ya Mashariki na Magharibi.

Kukamata Upande ni kujiweka kua target ya upande mwingine... Yani simple like that...

Damn Politics [emoji706]
Umedadavua vyema sana , kama mawazo yangu yalivyo?

Shida pale kiev Kuna Manationalist na Neo Nazi ambao ndio wameishikilia serikari.

Zelensky alivyoingia alianza na sera ya kupunguza tension mpaka ikafikia hatua ya kubadilishana wafungwa.

Makundi yenye msimamo yakamtishia kumuua halafu kilichokuja kutokea!
Jamaa alibadili kila sera yake na kuungana na other extremists mpaka kuwatambua Kundi kama Azov batallion.

Muda mwingine naamini sio yeye anayeendesha serikari pale.
 
The West cuts off the media in order to prevent a point of view different from its own from being heard, Ryabkov said. Galip SV Liwagu View attachment 2147891
Unasambaza tena propaganda. Hakuna anayezuliwa kuangalia vituo vya kirusi, vyote vinapatikana online. (analialia kwa sababu satelaiti zilifuta runinga ya kirusi - ambayo ilikuwa na watazamaji wachache, maana muda wote ilionekana kama propaganda)
 
Brother urusi taifa kubwa sa volunteers wa nini tena mkuu 😛😀[emoji1787][emoji23] yaani ilikuwa pigo moja takatifu kyiv majivu dah ila vita mbaya sana tusikie kwa wengine tu.
Hata Marekani hutumia volunteer, wenyewe wanawaita PMC yaani private military contractor.

Hadi waganda wamewatumia huko Afghanistan.

So usishangae
 
Kwa akili zako fupi unafikiri Ukraine anapigana peke yake mbona hivi vita vingekuwa vimeisha kitambo.

Kama hujui hii ni phase I sasa ngoja warusi wajidai kuteka mji na kuukalia ndio uone phase II itakavyokuwa balaa kwa warusi, hawataweza kustahimili madhila ya (Urban Guerrilla Warfare).
Ndio maana wasyria wameitwa ambao ni mabingwa wa urban warfare.

Putin hajawahi kuwa mjinga.
 
hezbullah ndani ya ukraine mataifa ya ulaya yajiandae kweli kweli

Putin hapa kajua kuwaza mbali sana

Halafu Urusi ni multi ethnic country na pia multi religion yaani hump Urusi Kuna mabudha wengi, wakristo wengi na Waislam wengi na dini za asili wamejaa pia bila kusahau Maatheist wengi.
 
Umedadavua vyema sana , kama mawazo yangu yalivyo?

Shida pale kiev Kuna Manationalist na Neo Nazi ambao ndio wameishikilia serikar...
Wacha hii ya Neonazi.... Mwelekeo huu ulipatikana miaka 12 iliyopita, 2010 walipata kura 10%. Baadaye hawakupata kura tena walipoteza wabunge wote. Ni propaganda ya Putin tu, anayowalisha watu wake..

Unachosema kuhusu batallion ya Azov ni propaganda pia. Asili yake ni migambo ya uzalendo mkali, pamoja na neo-Nazi miaka 10 na.. iliyopita. Wakati wa mashubilio ya kwanza ya Urusi mwaka 2014 walikuwa na mafanikio wakati ule walipokelewa katika jeshi la Ukraine kama kikosi cha pekee. Kwa hiyo wamekuwa wanajeshi wa Ukraine tangu miaka 8. Zjelenski alifanya nini kuhusu hao? Hakuwa mwanasiasa wakati ule.

Zelenski alichaguliwa 2019 na Waukraine 73% katika uchaguzi huru. Walimchagua rais Myahudi. Nionyeshe neo-Nazi atakayemkubali kiongozi Myahudi!!
 
Back
Top Bottom