MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Ukimaliza hapo kiongozi kaangalie Game of Thrones kwa utulivu hasa action za wale wa kaskazini na king waoUnaambiwa zaid ya wapiganaji 16000 kutoka seheme mbali mbali za dunian wameandika barua za kujiunga na jeshi la urusi
Kuna watu wanahasira sana na inchi za magharibi wameona huu ni muda wa kumaliza hasira zao