kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
naskia na Urusi imeomba membership 😀 😀Hii habari ya Finland kujiunga na NATO mbona imepoa Sana Jamani Pro NATO Kuna nn? Yaani imekuwa ya kawaida Sana sawa tu na jeshi la Somali kwenda kuisadia Kongo kupambana na M23 wakati wenyewe wemeshindwa kupambana nnaa alshabab.
nasika Russia na wenyewe wameomba membership 😀 😀[emoji298]️Finland has officially joined NATO. The Land of a Thousand Lakes became the 31st member of the North Atlantic Alliance.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi pia hana sababu Wala mpango wa kuvamia nchi za NATO!Ila iwapo usalama wa Urusi utakuwa hatarini basi walishasema wazi watarespond accordingly!
NATO kutokuwa na shida na Putin au Urusi ni kwasababu wanajua ni kucheza na shilingi chooni!Ingekuwa taifa lingine kama Libya,Iraq,Afghan ndio wamevamia Ukraine basi NATO wasingechelewa kuzifumua hizo nchi na kukamata viongozi wao!
Super power ana special treatment!Ndio maana ni member permanent kwenye security council!
Naona kichwa Cha upepo kingine kimejishikiza kwenye kikobanasika Russia na wenyewe wameomba membership 😀 😀
[emoji28]Hatuongelei Waukraine. Tunajadili madai kuhusu kundi la majenerali wa NATO. Majenerali hawatoweki na hakuna anayeitambua.
Hakuna aliyeleta ushahidi wowote wa kuaminika. Mnaitetea tu kwa sababu mmoja ameleta na wengine wamshangilia.
Stori ni uwongo mpumbavu sana. Nimeona uwongo mzuri zaidi.
[emoji28]kama kidume kweli kiambie kiguse nchi yeyote ile member na NATO kama hatavaa boxer kichwani.
Kwa nini mnatokwa na povu pale nchi zinapojiunga NATO?Kwanini msiwaambie NATO Wakamkamate Putin?Si anahitajika ICC?
Au hako ka warrant ni sawa na tissue paper?
Russia hawezi kuvamia NATO na Wala NATO hawawezi kuivamia Urusi!
H
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kipanya 44 ivi mpo Bakhmut sehemu gani maana mi nishafika Bakhmut nielekezeni jine kuwafata maana jengo la halmashauri ya mji naona lina bendera ya Warusi
Endelea kuwaumbua mkuu [emoji2936][emoji2936][emoji2936][emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mkuu je umeishia matusi makali zaidi?
Unaendelea kuamini stori ambazo ni uwongo dhahiri??? Hakuna jenerali wa Kanada aliyekamatwa huko Mariupol.
Hujajaribu kufuatilia habari zake?
1) Trevor John Cadieu alikuwa luteni jenerali kwenye jeshi la Kanada hadi 2022. Mwezi wa Oktoba 2021 alishtakiwa kuhusika katika kashfa fulani
2) Alijiuzulu kwenye jeshi la Kanada tarehe 5 Aprili 2022 baada ya kunyimwa kupanda cheo
3) Mwezi ule wa Aprili 2022 aliondoka Kanada akaelekea Ukraine alipotaka kujitolea dhidi ya uvamizi wa Kirusi.
Sasa pamoja na propaganda yote uliyosambaza kuhusu Mariupol na Azovstal - hukumbuki kwamba wakati ule Mariupol imeshatekwa na Azovstal imeshaviringishwa pande zote na Warusi?
Lakini mgeni kutoka Kanada aliweza kutembea tu akipita mstari wa mapambano na kuingia kwenye mahandaki wa Azovstal??? Jamani, utoto gani hiyo?
Na ajabu - kama amekamatwa hakuna aliyemwonyesha, kuleta picha zake, . . . .
Kinyume chake amerudi Kanada anapoendelea kujitetea dhidi ya mashtaki onaMilitary leaders told sex misconduct scandal was a PR war | SaltWire
The Canadian military’s senior leadership was advised the sexual misconduct crisis was a battle for public opinion and those who raised concerns were ...www.saltwire.com
Uwongo unaojulikana kitambo - kwa nini unaendelea kuusambaa (pia kuamini???)?
Hili ni pigo kubwa kwa utawala wa dikiteta;Finland ajiunga NATO, sasa NATO ni umoja wa kujihami ulio na nguvu kubwa Duniani.
Finnish and NATO flags flutter at the courtyard of the Foreign Ministry before Finland's accession to NATO, in Helsinki, Finland [Lehtikuva/Antti Hamalainen via Reuters]
Finland has joined NATO in a historic shift that brings an official end to the Nordic nation’s principle of neutrality.
Jens Stoltenberg, head of the world’s largest military alliance, hailed the move as on Tuesday as “a good day for Finland’s security, for Nordic security and for NATO as a whole”.
Aisee Mnatia huruma kupita Kiasi. Sasahivi mnatafuta pa kukamatia. Yaani visentensi kuwa vya mbona Russia alisema hivi lakini ni hivi, mbona Russia alisema ukivaa shati jeusi atakupiga lakini hajakupiga.Russia is too weak,wameisha mchungulia.
FINLAND is newest NATO ally.
Vitisho vya Russia kama mkijiunga tutawashughulikia vimepuuzwa
What next?Sweden
Finland ndo ameshakuwa member wa NATO hivyo [emoji28][emoji23]Baada ya hapo waende Frontline kule meat grinder bukhumut.
Ramani hii hapa, maumivu yakizidi muone daktari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]Hii habari ya Finland kujiunga na NATO mbona imepoa Sana Jamani Pro NATO Kuna nn? Yaani imekuwa ya kawaida Sana sawa tu na jeshi la Somali kwenda kuisadia Kongo kupambana na M23 wakati wenyewe wemeshindwa kupambana na alshabab.