Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanamuita "Russia blogger"
Angekuwa ni mtu wa westerns wangemuita "Journalist' na kelele zingekuwa kubwa kwenye vyombo vyote vya habari.

Hizi ndio double standards tunazosema.
Na ndio maana haya mambo yao ya "International community" yanapoteza maana.
 
India and Malaysia can now trade in Indian rupee

Trade between India and Malaysia can now be settled in Indian rupee in addition to existing modes of settlement in other currencies, the Reserve Bank of India said in a statement.

This initiative is aimed at facilitating the growth of global trade and supporting the interests of the global trading community in Indian rupee, the country's central bank said.

India International Bank of Malaysia, based in Kuala Lumpur, activated the mechanism by opening a Special Rupee Vostro Account through its Corresponding Bank in India.

Subscribe to Russian Market
 
Kilichokuwa kinasubiriwa ni kwamba "Who will open the Pandora box"

Sasa tunaona through SMO, mambo mengi mbali mbali yanafunguka.

Thanks to Russia [emoji635]
 

Halafu mabilionea India na Malaysia wanakuja USA kununua T-Bill and T-Bond kwa USA dollars?
Huwezi shindana na USA kwneye currency,’ ni porojo tu

Russia ina mabilionea wengi sana,wana invest sana kwenye real estate na faida kununua T-bill kwa hela ya kimarekani.

Anyway,haya ni mambo ya kitaalam acha niishie hapa
 
Uchumi, tasnia, hali ya maisha, utaratibu wa sheria na uhuru ndani ya nchi .... Mazishi mengi hasa kwenye maeneo maskini (maana kule walitangulia kuchukua vijana jeshini)
Nani kawaambia uhuru wa Urusi ndani ya nchi ni mmbovu

Vifo kila nchi wanakufa tena wengi kama UKREIN

Uchumi wa Urusi uliombwa msaada gani na urusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…