Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi zile nyimbo za Abram, chalenja na leopadi zimeishia wapi??. Juzi hapa kuna watoto walituambia mafunzo yamekamilika ila hakuna update yoyote. Hizo tanks zimefika field tuone ufanisi wake??
hallow akina wagner sijui mnaniskia Wakizileta hizo abraham sijui ...challenja chomeni moto .....
JamiiForums1447337192.jpg
 
WANAKWAMBIA HILI NI TRELA TU, YAJAYO YANAFURAHISHA.

- [emoji1210] Saudi Arabia: Crown Prince Mohammad bin Salman says he is "no longer interested" in pleasing the United States, "doesn't care" what Biden thinks of him - Wall Street Journal

@Middle_East_Spectatort

Mwaka huu tutashuhudia mengi. Saudia akiingia Brics tu kwisha habari yake yule fedhuli.
 
Hivi zile nyimbo za Abram, chalenja na leopadi zimeishia wapi??. Juzi hapa kuna watoto walituambia mafunzo yamekamilika ila hakuna update yoyote. Hizo tanks zimefika field tuone ufanisi wake??
Sasa hivi wimbo ni Finland kujiunga NATO!Hiyo habari ikipoa watasubiri nyingine!
Kwani unasikia wanaongelea Himars Sasa hivi?
 
Sasa hivi wimbo ni Finland kujiunga NATO!Hiyo habari ikipoa watasubiri nyingine!
Kwani unasikia wanaongelea Himars Sasa hivi?

Mpak sasa dunia imejua,
1. NATO ni umoja wa kujilinda dhidi ya Russia means Russia anaogopwa.
2. NATO mwenye maamuzi ni US tu.
3. NATO ni terrorist group
4. NATO ni kichaka cha US katika kupitisha agenda zake kisiasa, kiuchumi, na utamaduni.
5. NATO ni kwaajili ya banana countries
6. NATO ni dhaifu kwa Russia.
 
Marekani kila siku anamuomba China asiingilie wala kumpa msaada
NATO haina shida na Putin wala Urusi, itakuwa na shida endapo yeye atavamia nchi yoyote mwanachama wa NATO kati ya zile 31.
Kingine elewa kwamba Urusi inapigana na Ukraine na hakuna taifa lolote lile linaweza kuingia vita hii moja kwa moja.

Nchi marafiki wa Urusi ama Ukraine hawazuiwi kusaidia misaada ya kibinadamu ama kijeshi, wasimulie na warusi wenzako wa buza mambo haya.

# In Odesa region, air defense forces destroyed 14 of 17 enemy Shahed-131/136 drones on the night of March 4.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tunachukua na hapa nyinyi furahini Finland kujiunga nato tu.
Ila sehemu zote muhimu Ukraine zina rudi mother land Russia
 
Marekani kila siku anamuomba China asiingilie wala kumpa msaada



Tunachukua na hapa nyinyi furahini Finland kujiunga nato tu.
Ila sehemu zote muhimu Ukraine zina rudi mother land Russia
Msisahau pia kuchukua


Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Cherniiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Izium [emoji56][emoji56][emoji56]



Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]



Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Odessa [emoji56][emoji56][emoji56]


Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]


Blyanklia[emoji56][emoji56][emoji56]


Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Msisahau pia kuchukua


Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Cherniiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Izium [emoji56][emoji56][emoji56]



Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]



Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Odessa [emoji56][emoji56][emoji56]


Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]


Blyanklia[emoji56][emoji56][emoji56]


Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tunataka sehemu za kimkati tu huko kwengine baadae sana tunaangalie maslahi hiyo Operations Ukraine anaighalamia yeye mwenyewe na ndio maana unaona Russia hateteleki ki uchumi na sanctions zenu zote hizo mlizo weka.
 
Mpak sasa dunia imejua,
1. NATO ni umoja wa kujilinda dhidi ya Russia means Russia anaogopwa.
2. NATO mwenye maamuzi ni US tu.
3. NATO ni terrorist group
4. NATO ni kichaka cha US katika kupitisha agenda zake kisiasa, kiuchumi, na utamaduni.
5. NATO ni kwaajili ya banana countries
6. NATO ni dhaifu kwa Russia.
Mawazo yako binafsi hayawezi kuwa ya dunia..... umeandika ushabiki na porojo tu.
 
Msisahau pia kuchukua


Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Cherniiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Izium [emoji56][emoji56][emoji56]



Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]



Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Odessa [emoji56][emoji56][emoji56]


Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]


Blyanklia[emoji56][emoji56][emoji56]


Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Odessa kituo kinacho faata baada ya bakhmut
 
Msisahau pia kuchukua


Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Cherniiv [emoji56][emoji56][emoji56]



Izium [emoji56][emoji56][emoji56]



Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]



Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Odessa [emoji56][emoji56][emoji56]


Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]


Blyanklia[emoji56][emoji56][emoji56]


Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wange anza na Odessa Kwanza.
 

Ukraine war: Who are Russia's war bloggers and why are they popular?​

  • By Vitaly Shevchenko
  • BBC Monitoring
4 hours ago
A billboard in the occupied Ukrainian city of Donetsk, paying tribute to war correspondent Vladlen Tatarsky

IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
A billboard in the occupied Ukrainian city of Donetsk on Tuesday, paying tribute to war correspondent Vladlen Tatarsky

Vladlen Tatarsky, who died in an explosion in St Petersburg on Sunday, was one of Russia's "war correspondents". But who are these bloggers - and why are they popular?

The writers are a loose assortment of people supporting the war in Ukraine and reporting about it, often from the front lines. They have extreme anti-Ukrainian and anti-Western views.

The correspondents - known as "voyenkory" in Russian - usually claim to have specialist military knowledge and access to Russian troops.

Some are embedded with them - and some appear to be fighting alongside them.

The degree of their affiliation with the government varies. Some are employed by Kremlin-controlled media, but others blog on social media - apparently without any links to any media outlet.

A major reason why they are so popular with Russian readers is they often offer more information than official reporting - and also offer a different, more critical perspective without questioning the need for the "special military operation".
Their emergence - after the initial invasion of Ukraine in 2014 - heralded a new chapter of war reporting in Russia.

For many, supporting the war does not necessarily mean supporting the authorities in Moscow - or, in particular, the military commanders conducting the invasion (although President Putin usually escapes criticism).

For example, the commanders were sharply criticised after a Ukrainian missile attack on a building in the occupied town of Makiivka, in which dozens of Russian soldiers died.

War correspondent Semyon Pegov, known as War Gonzo, has more than 1.2m subscribers on Telegram - one of the few major social media platforms not banned in Russia.

After Ukraine attacked Makiivka, he accused the defence ministry in Moscow of "openly trying to dodge the blame".

Another pro-war blogger, Boris Rozhin, who blogs as Colonel Cassad - with 800,000 subscribers on Telegram - accused Russian commanders of "incompetence and inability to comprehend the consequences of war".

Social media accounts linked to the Wagner private military company have been particularly critical of Russia's top brass.

And it's this criticism of the military authorities that makes war correspondents stand out from the all-pervasive Kremlin-controlled propaganda, which routinely embellishes progress of the "special military operation" in Ukraine.

The moments leading up to St Petersburg cafe explosion
Some commentators have argued that Russian military commanders feel threatened by critical war bloggers, and there have been attempts to silence them.

And popular war correspondents employed by traditional pro-Kremlin media tend to be much more accepting of the official line.

One of the most prominent is Alexander Kots, who works for the Komsomolskaya Pravda tabloid.
Responding to the killing of Vladlen Tatarsky, Kots pointed the finger of blame squarely at Ukraine - just like Russian officials did.

"Earth must be set on fire under the feet of any functionary from Kyiv," he wrote. "None of the non-humans waging war with Russia must feel safe."

Such reporters play a key role in constructing the Kremlin's narratives in the media.

For example, it was Yevgeny Poddubny, the war correspondent on Russia's most popular TV station, state-run Rossiya 1, who broke the official silence on Wagner mercenaries' involvement in Ukraine.

Reporting from the ruins of a power station in Donbas in July 2022, he unexpectedly said that the site had been "liberated" by Wagner.

This marked the start of reporting about Wagner in state-run media, which had previously ignored and even denied the group's existence.

Both Kots and Poddubny are subject to Western sanctions for their role in pro-Kremlin propaganda against Ukraine.

Many of the popular Russian social media accounts supporting the war with Ukraine are run anonymously and material they post is often extremely graphic.

One of the most infamous examples is Grey Zone, a Telegram channel affiliated with Wagner, which posted footage of the apparent murder of a "traitor" with a sledgehammer in November 2022.

Russian war correspondents often call for the destruction of Ukraine as an independent state. For example, Yuri Kotenok has called for the annihilation of the very Ukrainian identity.

"Even cancer can be cured, but Ukrainianism - never!" he once said on Telegram. "It's a type of Satanism that can only be destroyed with one thing - fire! All-consuming fire that will cleanse this filth."

Kotenok has more than 400,000 subscribers on Telegram.
 
Mpak sasa dunia imejua,
1. NATO ni umoja wa kujilinda dhidi ya Russia means Russia anaogopwa.
2. NATO mwenye maamuzi ni US tu.
3. NATO ni terrorist group
4. NATO ni kichaka cha US katika kupitisha agenda zake kisiasa, kiuchumi, na utamaduni.
5. NATO ni kwaajili ya banana countries
6. NATO ni dhaifu kwa Russia.
Amina!! Mkuu, tafadhali rudia hii mara 150, itakusaidia kutulia. Imani inashinda Dunia
 
Back
Top Bottom