kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Zile za mwanzo zimelambishwa mchanga.The U.S. Department of Defense announced a new security assistance package for Ukraine worth $2.6 billion on April 4.
The package will consist of equipment from the Pentagon's stocks valued at up to $500 million and $2.1 billion worth of military capabilities procured from the industry using the Ukraine Security Assistance Initiative (USAI) funds.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NATO hao au wengine?Tupate matangazo kutoka Kwa wadhamini wetu[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]View attachment 2576909
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NATO ipo mpakani kabisa mwa Supa-pawa pamoja na mikwara yote ile.Tupate matangazo kutoka Kwa wadhamini wetu[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]View attachment 2576909
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halafu mabilionea India na Malaysia wanakuja USA kununua T-Bill and T-Bond kwa USA dollars?
Huwezi shindana na USA kwneye currency,’ ni porojo tu
Russia ina mabilionea wengi sana,wana invest sana kwenye real estate na faida kununua T-bill kwa hela ya kimarekani.
Anyway,haya ni mambo ya kitaalam acha niishie hapa
Putin alishasemaNATO hao au wengine?View attachment 2576912
Russia ni dhaifuPutin apewe tuzo ya kuwa best recruiter wa NATOView attachment 2576948
Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,Halafu mabilionea India na Malaysia wanakuja USA kununua T-Bill and T-Bond kwa USA dollars?
Huwezi shindana na USA kwneye currency,’ ni porojo tu
Russia ina mabilionea wengi sana,wana invest sana kwenye real estate na faida kununua T-bill kwa hela ya kimarekani.
Anyway,haya ni mambo ya kitaalam acha niishie hapa
NATO promotes democratic values and encourages consultation and cooperation on defense and security issues to build trust and, in the long run, prevent conflict. NATO is committed to the peaceful resolution of disputes.Russia ni dhaifu
NATO ni umoja wa kujihami kijeshi, kwan wanajihami na mataifa gan kwenye dunia hii?
zaid kuelekea estern Europe,
hv huwa unatoa nafasi kwa ubongo wako kukushauri kabla ya kuandika hz ngonjera zako humu aisee....yaani ktk watu ambao huwa nashindwa kuwaelewaga ni ww,,, yaani uko full ngonjera..., unaandika as if uko ndani ya Urusi...!!!..aisee...next time ipe nafasi akili kabla ya kutupia humu kila linalokujia kichwani...yaani ni bora hata ya bwana Kipanya yy ashajulikana ni mtu wa namna gani....sasa ww uliingiaga humu na gia za utaalam wa Physics...ukatupiga changa la uso mambo ya hypersonic...blah blah kibao ...kumbe huna unalojua...kila siku utaalam mwingi wa uongo uongo hapa...aisee tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya hii SMO...tunaharibu image zetu sana hapa JF kwa propaganda zisizo kuwa na msingi wowote...!!!Uchumi, tasnia, hali ya maisha, utaratibu wa sheria na uhuru ndani ya nchi .... Mazishi mengi hasa kwenye maeneo maskini (maana kule walitangulia kuchukua vijana jeshini)
Kwa mfano sheria inayokataza kuita vita "vita".Nani kawaambia uhuru wa Urusi ndani ya nchi ni mmbovu
Vifo kila nchi wanakufa tena wengi kama UKREIN
Umedadavua vyema..,hata kutokuwepo migogoro miongoni mwa hayo mataifa ya NATO ni mafanikio tosha!NATO promotes democratic values and encourages consultation and cooperation on defense and security issues to build trust and, in the long run, prevent conflict. NATO is committed to the peaceful resolution of disputes.
No any NATO member has seen a military conflict with another member. Meanwhile, former Soviet block members have seen various wars and invasions.
Kweli kabisa! Mbona umeamua kuitikia propaganda badala ya kutumia vipaji ulivyopewa na muumba wako?..tunaharibu image zetu sana hapa JF kwa propaganda zisizo kuwa na msingi wowote...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Weka statistics Acha kuropokaUchumi, tasnia, hali ya maisha, utaratibu wa sheria na uhuru ndani ya nchi .... Mazishi mengi hasa kwenye maeneo maskini (maana kule walitangulia kuchukua vijana jeshini)