Mungu aepushie mbalihapo lazima mtoto amkimbilie mamake !!
Kama yeye mbabe mbona anawatumia wale wahuni Wagner? kwa nini asipambane mwenyewe hadi anakodi kampuni binafsi ya ulinzi, yaani kama sisi hapa tupigane na Uganda afu KK Security wawe mstari wa mbele.
Moto utawashwa sana mwakaa huuHii dunia Ipo Moto sana
Nao Lebanon Wamerusha Rocket nakupiga Kaskazini mwa Galilee Israel
Kazi Ipo
View attachment 2578459
Magari 7000 tumepoteza ila tumepata ardhi yenye rutuba na migodi ya trilioni kadhaa yenye thamani zaidi ya hizo derayaMambo sio rahisi kwa vikosi vya Urusi Na washirika wake huko Ukraine.Mpaka sasa wamepoteza magari ya deraya elfu 7 !
View attachment 2578180
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
- Zelenskiy has said Ukrainian troops face a difficult situation in the eastern city of Bakhmut,but that Kyiv will take the “corresponding” decisions to protect them if they risk being encircled by Russian forces. The Ukrainian president, at a news conference in Poland on Wednesday, said Kyiv’s troops in Bakhmut sometimes advanced a little only to be pushed back by Russian forces, but that they remained inside the city.
Aisee..yaani mpaka Sasa hujui kwanini Russia anawatumia Wagner??!?! Una umri gani Ndugu?!?! Na elimu yako ikoje?!..Russia Yuko kwenye SMO...Vita yenyewe bado....NATO na West wakipeleka waziwazi Askari wao ndipo utakapoliona jeshi la Russia....Kama yeye mbabe mbona anawatumia wale wahuni Wagner? kwa nini asipambane mwenyewe hadi anakodi kampuni binafsi ya ulinzi, yaani kama sisi hapa tupigane na Uganda afu KK Security wawe mstari wa mbele.
Hayo magari mia 700 tuliopoteza wanaweza tupa picha zakeMagari 7000 tumepoteza ila tumepata ardhi yenye rutuba na migodi ya trilioni kadhaa yenye thamani zaidi ya hizo deraya
Ndo keshaiacha Sasa,!
Kama ni ulinzi hata Urusi watamlinda,
Kama Maduro na Assad wanalindwa na Urusi Nini kitashindikana kwa ufalme wa Saudia?
Badilisheni mind set zenu,kua Marekani ndio Kila kitu .
Ww ni Team US uliekolea dawa baada ya kupewa elim na wachambuzi makini hum ndani.Bahati mbaya kwenye hii vita Sina upande, hivi ni vita vya mabeberu ,Mrusi anazuia ukoloni wa Marekani na Marekani anataka kuitawala ulaya yote na kikwazo kilochobaki ni Mrusi. Na huu ni mkakati wa muda mrefu. Ndo maama Marekani hataki wakae mezani wayamalize.anataka amzofishe Mrusi mdogomdogo. Na Mrusi nae kameshituka ndo maama hatumii Sana jeshi na nguvu nyingi baada ya kupata hasara mwanzoni anatumia Wegner anchofanya ni ku clear mwishoni. Mimi nawashauri tuache ushabiki tufutilie matukio Kwa kina bila upendeleo. Kila nchi Ina faida na hsara Kwa afrika. Wote wapo kwaajili ya maslahi Yao.
Hapana mkuu, soma vizuri nilichoandika Sina upandeWw ni Team US uliekolea dawa baada ya kupewa elim na wachambuzi makini hum ndani.
Ila kwasababu umeshakunywa maji ya bendera ya upinde, ndio maana bado huamini kama kweli US hawafai hata kwa kulumangia kwa ustawi wa Africa na jamii zilizostaarabika kiujumla.
Sijajua ni kwa nyanja ipi inayokufanya useme/uone kwamba US wanazo faida kwetu.
Ni kweli huoni ushenzi na uzandiki wao (US with her Allies) dhidi yetu(Africans)?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app