LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wamarekani wana satellites, ndege na meli ziko busy zinachunguza vita na taarifa nyingi tunazipata kutoka vyanzo vyao. Ndio wana mambo mengi ya kugawa silaha na kuweka vikwazo
Sababu kubwa ndio wanaotawala vyombo vya habari vingi na hii sababu wameipiga marufu RT na Sputnik News mpaka huku kwetu
 
Hajasambaza Propaganda... Soma mpaka mwisho "....Ryabkov Said"

Au ye NYUNDO YA MOTO ndo Ryabkov [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye ndiye kaichukulia propaganda, Ni uhuru wa mtu kusema haijarishi yuko sahihi au yuko sawa. Tukitaka tuichambue vita vizuri inabidi tutambue kuwa emotions sio mahala pake.

Pili tusimchukulie Russia kama Adui ili tupate upenyo wa kutambua mapungufu ya pande zote mbili na nchi zinachochukua hatua jinsi zinavyokosea au kuwa sawa katika mamuzi yao.

Tuangalie katika factors mbili, ki siasa na Kiusalama na kiuchumi, Utajua Zelensky yuko sawa na upande mwingine yuko wrong. Vivyohivyo kwa Russia.
 
Hata hyo elim ya uchumi ka kweli anayo bas n kiduchu mno... Tena MNO.

Au ka anayo kubwa bas anaifanyia mahaba mpk anatoka nje ya msitari na kuzungumza utooo....
Kabisa. Na elimu ya vitu hivyo siku hizi siyo za kujivunia. Maana unaweza kusoma online na ukajua uchumi.

Vitu ambavyo vinahitaji shule ya kweli ni udaktari, uinjinia na mambo ya fananayo na hayo.
 
Hawakawii, Biden kawaponza sana na mamuzi yake ya hisia, Na yeye katika uongozi wake ame play part kubwa kutibua volcano iliyopoa.

Maneno ya Zelensky yalimgusa sana, Alidai kuwa Nato na EU sio kitu, wamemuacha hawana nguvu juu ya Russia.
 
Ila kiukwel hii inaonesha udhaifu wa Russia
Yani kanchi kama Ukraine kanawasotesha mpaka wametafuta watu kutoka midle east na belerous
Nchi ya pili kwa ukubwa Ulaya.
Nchi ya 22 kwa nguvu za Kijeshi duniani.

Je tuambie wakati ;
USA anaivamia Iraq lilikuwa Taifa la ngapi duniani Kijeshi na kiuchumi
NATO wanaivamia Libya ,lilikuwa Taifa la ngapi.
Tuelezee na kule Afghanistan.
 
Hawakawii, Biden kawaponza sana na mamuzi yake ya hisia, Na yeye katika uongozi wake ame play part kubwa kutibua volcano iliyopoa.

Maneno ya Zelensky yalimgusa sana, Alidai kuwa Nato na EU sio kitu, wamemuacha hawana nguvu juu ya Russia.

Biden ni rais dhaifu mno anakimbilia vikwazo afu anashinikiza kila nchi zimpe russia sanctions. Kama Chelsea watashindwa endelea kucheza soka kuna uwezekano tim zingine zikagoma kuendelea na EPL tusubiri muda utafika.

Wanaweka vikwazo mpaka wanajiwekea na wao wenyewe pia[emoji28][emoji28]
 
US Will move to suspend normal trade relations with Russia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nakwambia we bado sana jomba kwe uchumi... au ka waujua vyema basi mahaba yamekuzidia uwezo wa kufikiri... na sorry ka ntakua nakukwaza kama nimetumia lugha kavu...

USA katika trading zake na Russia anazofanya iko valued to 28Billions dollars according kw data za 2019...

Katika hyo 28Billions Dollars kuna 5.8Billions USD za Exportation na 22.3Billions USD za Importation... Yaaaani ni deficit ya takriban 16.5Billions USD kwa USA.

So mpk apo ushaelewa nani anayemtegemea mwenzake... Haya umempiga marufuku kuleta au kufanya nae biashara ilhali we ndo unaechukua kingi kutoka kwake tofauti na yeye anavochukua kutoka kwako....

Kama hujafanya Alternative ya sehem nyingine ya kuchukulia hicho unachokizuia maana ake inapelekea kufinya Supply, ambayo inaenda kuzaa inflation kwa mtumiaji wa mwisho sio Biden Ofisin...

Je hyo move inamuumiza Mrusi au mpk Marekan mwenyewe? Mrusi atabaki na vitu na vitu vyake alivokuw anavipeleka... Je ye yule aliyekuuwa anapelekewa???
 
Asilimia kubwa ya vitu abidhaa zinazotumika afrika vinatoka Uchina, msijizime data.
 
Uchumi wa kila mtu utatikisika
 
Nchi ya pili kwa ukubwa Ulaya.
Nchi ya 22 kwa nguvu za Kijeshi duniani.

Je tuambie wakati ;
USA anaivamia Iraq lilikuwa Taifa la ngapi duniani Kijeshi na kiuchumi
NATO wanaivamia Libya ,lilikuwa Taifa la ngapi.
Tuelezee na kule Afghanistan.

Shida ya pro NATO wanaamini US ndo kila kitu afu hawajui kama Russia anapambana na NATO pia mle ndani
 
[emoji23] [emoji81] leta zako tuone zaidi mnashmbulia mashule, hospitali, na makazi ya watu warusi wako wakichoka wanaenda kuiba kuku
mmeomba msaada kwa assad na litishenko aibuuu super power ya buza
Usisahau Ukraine waliwapa siraha raia ambao wanajificha maeneo tajwa.

Raia wa Ukraine akishika siraha ,ameruhusu yeye mwenyewe atunguliwe na hakuna kulalamika
 
✅ huitaji PHD kujua hili.
 
Wewe ni kajinga,kwa hiyo importation anayofanya US kutoka Russia itakula kwa nani?

Tunarudi pale pale Tyson na matumla nani ataumia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndo maana nikamuuliza kaisoma mpk mwisho...???

Mwingine kasema na umefikisha kama alivosema haijalishi n Propaganda au sio kinatumika kigezo kipi kuchuja?

Shida bado iko pale pale hum tuna mahaba kiasi kwamba tuko selective na taarifa tunazotaka kusikia...

Kila team inataka taarifa nzuri nzuri za kuwakonga mioyo zao...

Bado sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani kama atakuja na ngojera tena.
 
Huoni maajabu sio?mfano Kaka wa form six kaenda kumpiga mdogo wake wa darasa la tano dogo kapambana halafu jamaa kakimbia kuita masela wake wamsaidie kumpiga dogo hayo huoni Ni maajabu.?
Hii hadithi yako ni baada ya yule dogo kutumwa na kaka zake waliopo chuo kikuu na kuja kumsaidia dogo, kumbe kaka na yeye kaita washikaji zake wa masters level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…