MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Sababu kubwa ndio wanaotawala vyombo vya habari vingi na hii sababu wameipiga marufu RT na Sputnik News mpaka huku kwetuWamarekani wana satellites, ndege na meli ziko busy zinachunguza vita na taarifa nyingi tunazipata kutoka vyanzo vyao. Ndio wana mambo mengi ya kugawa silaha na kuweka vikwazo