D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hawa watu wanatuzidi kwenye swala la uwajibikaji tu ila huku kwengineko wanaonekana wazungu ni vichwa maji.Sasa huyu Zeleboy hajifunzi toka kwa boss wake Biden... mbona anatokwa na povu?
Kwani Chinese ndio wana shida ya kuongea nae?
Yeye ameshapewa 12 points peace proposal..
Pelekeni silaha nyie si mpo 31 na Finland kajiunga juzi.The President of the European Commission called on Chinese President Xi Jinping to help establish a just peace in Ukraine. Ursula von der #Leyen said that #China, as a permanent member of the UN Security Council, has a special responsibility to uphold the basic principles of the UN Charter.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Warusi wanakwambia, wataamini kwamba wanachinjwa pale idadi itakapofikia million 27..,sisi kazi yetu ni kuwachinja tu, hesabu fanyeni wenyewe [emoji28]Vikosi vya Ukraine vyaua wanajeshi WA Urusi 390 Na kuharibu helicopter kwa siku Moja!
Ukrainian defender kill 390 Russian soldiers and destroy helicopter in one day
IRYNA BALACHUK β THURSDAY, 6 APRIL 2023, 08:15
Ukrainian defender kill 390 Russian soldiers and destroy helicopter in one day
Russia has lost over 176,630 soldiers, 7,013 armoured combat vehicles, 3,631 tanks and 292 helicopters in its war against Ukraine.www.pravda.com.ua
Waingie tu bila KifichoPelekeni silaha nyie si mpo 31 na Finland kajiunga juzi.
Vip Ile mikwara ya yule mwendawazimu iliishia wapi[emoji28][emoji1787][emoji2]Pelekeni silaha nyie si mpo 31 na Finland kajiunga juzi.
Vifaa vya kisasa anavyo angekuwa han vita isingechukua muda mrefu. Anavitumia kulingana na uhitaji, mfano walipo leta himar aliongeza vifaa ndo maama hatusikii Tena ubora wa himars.Kwa nini Urusi inatumia kikundi binafsi cha ulinzi (Wagner) kuwasaidie kupigana vita mstari wa mbele? Je Urusi haina vifaa vya kisasa vya vita? tatizo ni nini hasa? ufafanuzi.
Hilo nalo neno, undumila kuwiliHao US wanafiki sana!Kwanini wao wanampa silaha na Israel ambaye amevamia Palestina,kuua watu na kuikalia kimabavu west bank?
Kwanini EU na US wasimpe silaha Palestina Ili amuondoe mvamizi Israel kwenye ardhi ya Palestina?
Ukiwa na akili timamu,ni vigumu sana kuwaelewa US na washirika wao!
Okey boss. Ukiwa na muda endelea na hoja.Mkuu suala la kuliangusha taifa la marekani na ulaya ni process ya muda mrefu si jambo la kukurupuka tu
China anaweza akafanya hivyo wakishirikiana na urusi, India na nchi za kiarabu swali la kujiuliza baada ya kufanya hivyo nini kitafata
Wao kutokana na mipango Yao kiuchumi wanaweza wakayumba kidogo wakakaa sawa, je baada ya kufanya hivyo nchi washirika kama nchi za kiafrika zitaweza kuendana namageuzi hayo????, Ukumbuke baada ya USA na Europe kuanguka super power atakuwa mchina na mrusi, je nchi ambazo anatakiwa kuziongoza zitakuwa katika Hali gani???
Hapa ndipo linapokuja hili suala la kuiondoa dola linahitajika lifanyike taratibu ili wale wateja wakubwa ambao ni serikali lazima ziwe na uwezo wa kujiendesha, yaani ni sawa na dukani kwako kuna jambazi kajichanganya na wateja inabidi ufanye juu chini umalize jambazi bila kuua wateja maana wakifa biashara itakufa maana mnunuzi alishafariki,
Kwa hiyo marekani na ulaya wanatakiwa kuanguka kiuchumi na kiushawishi bila kuleta madhara Kwa mataifa mengine duniani,
Hiyo hoja ndiyo sababu hii SMO kuendelea hadi Leo maana kupitia hii operation ndiyo njia ya kuizuangamiza west
Hebu jiulize kama hii operation mrusi angeimaliza ndani ya miezi mitatu ya mwanzoni Leo hii ufaransa kungekuwa na maandamano?, Mabenki marekani yangefirisika???, Leo hii mmarekani Angelia kumpigia mchina simu???, Saudi Arabia angeweza kumjibu shit marekani????, Tungeweza kuujua na kuifanyia kazi mfumo wa ulipaji kupitia mfumo wa urusi na uchina????
Hii yote imesababishwa na hii operation na jinsi muda unavyokwenda ndiyo urusi anaongeza ushawishi na marekani wanaloose, na dunia inafatilia kila hatua inayopiga hapo Ukraine, ni Kwa jinsi gani mrusi alivyo na huruma Kwa Ukraine na raia, ni Kwa kiwango gani anamdhalilisha mmarekani na kumfanya aonekane kinyago mbele ya jamii
Kuna mengi ya kuelezea kuhusu hii SMO kuchelewa kwake, kitendo cha mchina kukwepa ugomvi baada ya pelosi kwenda Taiwan, na marekani akaingia kichwa kichwa bila kujua athari zake baadae sasa hivi ndiyo kajua kumbe alikosea Ila anakomaa maana mkubwa hutakiwi kulia ππππ
Kuna mengi Ila sina muda wa kuandika kutokana na pilika za kutafuta tonge
Bila kusahau A.K.A mvaa kobasi, Takbirrrr.Vilevile humu ukiwa upande wa Urusi unaitwa muislam.
Wewe usijali toa maoni Yako TU ukiwa huru.
Haitatokea hao niwashindani. Kila mmoja anamwombea mwinzie aangukeNi jambo lisilowezekana kwa Chinese kuwa against na Russians.
Eti wa China waanza ku side na USA dhidi ya Russia... inaingia akilini hiyo? Hawa-hawa USA ambao wamewawekea China vikwazo kibao vya kibiashara na vitisho vya kila siku. Ndio eti China awe upande wake.