Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Xi Jinping has shown no signs of changing his stance on Russia's war in Ukraine after talks with Macron - Politico.
Ni jambo lisilowezekana kwa Chinese kuwa against na Russians.

Eti wa China waanza ku side na USA dhidi ya Russia... inaingia akilini hiyo? Hawa-hawa USA ambao wamewawekea China vikwazo kibao vya kibiashara na vitisho vya kila siku. Ndio eti China awe upande wake.
 
Duuj! Umenifanya nicheke. Yaani kawaona kawaona wote poyoyo.
Yaani acha kabisa.

Ni kama vile USA anavyowafanyaga viongozi wa Africa. Anawakutanisha pamoja...wanaongea shida zao kwa wakati mmoja.

Ndio President Xi Jinping alivyowafanya viongozi wa Ulaya. Kawakusanya pamoja... ongeeni shida zenu sasa...

Ni dharau za hali ya juu sana. Kama Biden anadharaulika, sasa sijui wao walitarajia nini.

Huyo Macron sidhani kama atakaa siku zote 3 huko China...maana mwenyeji wake kamuonyesha dharahu sana. Labda alete habari za kuwa kama mtalii tu.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Macron's mission failed: he failed to pull China away from Russia. This is how the European Politico evaluates the results of the French President's visit to China. At a press conference, Macron called on Xi to "unequivocally condemn Russia" - but he openly ignored the idea. This means that the parties remained at their side during the negotiations.
t.me/vicktop55/14336
IMG_20230406_194723.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
"Russia has created a new double-layered armor for advanced models of military equipment that can withstand a detonation of 2kg TNT," the management of the Arzamas Machine-Building Plant reported to Shoigu.
IMG_20230406_195336.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia military. Dmitry Medvedev held an off-site meeting of the working group of the Military-Industrial Commission of the Russian Federation in Kolomna t.me/vicktop55/14330
 
Ufaransa bado kunafuka moshi

[emoji632][emoji110] Protesters disrupted vehicle traffic at #Paris's main airport and police fired clouds of teargas in other French cities as people marched in their thousands in a new round of strikes and nationwide pension reform demonstrations Thursday.

[emoji837] Follow FRANCE 24’s #liveblog for all the latest developments [emoji3593]
 

Poland announced Zelensky's visit to Warsaw ahead of time because it isn't afraid of Russia, official says​

From CNN’s Alex Hardie and Sugam Pokharel

a456059e-0950-4021-98e3-fe96b0d98013.jpg
Lukasz Jasina, Polish military spokesman (CNN)(

Poland announced the visit of Ukrainian President Volodymyr Zelensky to Warsaw a few days before his arrival because “we don't feel so afraid of Russians anymore,” a foreign ministry spokesperson said Wednesday.



Zelensky met with senior Polish officials and signed bilateral agreements on Wednesday during his first official trip to Poland since Russia invaded Ukraine last year.
==========================

Hakuna anayemuogopa tena huyu Supa-pawa wa kuchora pamoja na nyuklia zote alizojilimbikizia.
Sababu kubwa kwa sasa Urusi hana uwezo wa kufanikisha lengo lake liwe la assassination au regime change
 
Back
Top Bottom