Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wahindi na wao wanatamani huu mgogoro uendelee

 
Namwomba Mungu nisife mpaka nishuhudie kuanguka kwa marekani
 
Daraja la Chernihiv lashambuliwa na kombora kutoka kwenye ndege aina ya SU-34.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Hakika Urusi sio Zimbambwe
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa Nati wapo 31 wanashindwa nini kuingia Ukraine kusaidia? Nato ni muungano wa nchi waoga kweli.. wanadhani wakiwa wengi ndio watamshinda urusi.
Vita ni mikakati na teknolijia, sasa subiri Nato wapeleke vikosi Finland tutapata majibu hapa hapa...
NATO kwanini wasiogope wakati wameshakiri wenyewe kwamba Panasonic missiles hawawezi kujikinga nayo
 
Source: Reuters, mtu unategemea nini kutoka kwenye source ambayo inajulikana kwa miaka mingi kwamba hulka zao ni rabid Russian haters tangu october revolution ya 1917, the hatred even became worse when the entire Romanov family were excuted by Bolsheviks in July 1918, kumbuka Reuters ni kampuni ya Uingereza iliyo anzishwa kwenye miaka ya 1850s.

Kumbukeni vile vile kwamba Mkewe Tzar Nicolas alikuwa ni mjukuu wa Queen Victoria, tangu kuuwawa kwa mjukuu wa Queen Victoria pamoja na Tzar Nicholas ambaye alikuwa mumewe na watoto wao wote. Tangu mauuaji hayo yafanyike huko Urusi, basi ukoo mzima wa Familia ya kifalme ya huko Uingereza, Serikali za Uingereza na raia wengi wa Uingereza walijenga chuki kubwa sana dhidi ya utawala wa Urusi na raia wake. Hivyo Reuters ambayo ni kampuni ya Uingereza haiwezi kuzungumza kitu chochote chema kuihusu Urusi.
 
Wachina wamemkomesha huyu majnuni wa kikee

After Ursula lectured China China throws Ursula into a common passenger line at the airport while leaving China - not through a VIP exit The German press noted that the President of the EC Ursula von der Leyen faced a real diplomatic humiliation as her ID was checked
 

Acha kudanganya Obama Rais wa kipindi hiko alikiri walifanya makosa kumwua Gadaffi na anakiri walikosea sana wewe unakuja kuleta habari gani hapa?? ulikuaga na akili saivi nawewe ushakua brainwashed huna utofauti na kipanya.
 

Punguza kukogoogle nimeamua kukupa like maana mpaka sasa huna hata like.
 

WEST wanatia AIBU kwa sasa.
 
US Ready For War With China — Congressman

US Congress would authorize a direct military confrontation with China if Beijing launched an attack against Taiwan, House Foreign Affairs Committee Chairman Michael McCaul told Fox News on Friday evening. The Texas Republican representative was talking from Taipei during a three-day bipartisan delegation visit to the self-governing island.

American lawmakers would consent to put boots on the ground if people in the US support the measure, McCaul said, without elaborating on how exactly such support would be measured. “If communist China invaded Taiwan, it would certainly be on the table and something that would be discussed by Congress and with the American people,” he said, adding that “if the American people support this, the Congress will follow.”

However, McCaul insisted that a “conflict is always a last resort” and described the US delegation’s visit as a way to “provide deterrence to China.”

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
BRICS Carries Greater Economic Weight Than G7 — Study

The BRICS group, comprising the world’s five major developing economies, has overtaken the Group of Seven (G7) by making up a larger share of the global gross domestic product (GDP) based on purchasing power parity, data compiled by Acorn Macro Consulting, a UK-based macroeconomic research firm, shows.

According to the findings, the bloc of BRICS countries, Brazil, Russia, India, China, and South Africa, contributes 31.5% of the world’s GDP. Meanwhile, the G7, consisting of the US, Canada, France, Germany, Italy, Japan, and the UK, and considered the most advanced economic bloc of countries on the planet, add up to 30.7%.

The gap between the two groups is expected to grow, analysts say, as China and India are experiencing robust economic growth, and more countries are interested in joining BRICS.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kiev’s Losses Will Be A ‘Horrible’ Number — Ukrainian Diplomat

Ukraine will reveal the extent of its “horrible” losses once its conflict with Russia is over, Vadim Pristaiko, Kiev’s ambassador to the UK, said in an interview.

Asked by the British tabloid The Daily Express to comment on casualties among Ukrainian military personnel and civilians, Pristaiko said, “It has been our policy from the start not to discuss our losses.”

“When the war is over, we will acknowledge this. I think it will be a horrible number,” he added.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…