Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Sio kwamba hawajui walisemalo ni uongo na ulaghai mtupu na dharau juu, basi tu - hawana hata habari kwamba GDP za BRICS zinazidi hata za so called G7,kuna baadhi ya waswahili wakiona taasisi au shirika lolote lina anzishwa bila ya Merikani kushirikishwa basi wanachukulia kwamba taasisi au chombo hicho haliwezi kufika mbali - nawambieni vyombo vya habari vya magharibi vimefanya kazi nzuri sana kuwa brain wash baadhi ya waswahili na Waafrika in General, uwambii kitu wakakuelewa hata kidogo - baadhi yao wana mawazo ya ajabu sana, wanafiliri bila Amerika Dunia itasimama kuzunguka kwenye muhumili wake, yaani kuna sehemu ya Dunia itakuwa ni mchana tu 24X7 na sehemu nyingine usiku tu 24X7 - wapo ingawa sio wengi lakini wapo!!kuna mwanajukwaa alisema Bric ni umoja wa maskin,
Hii " Panasonic" missile alitengeneza bibi yako ,😄😄😄😄😄😄hahahaaaaaaa panasonikiiii misaili ,nyieeeee😄😄😄😄😄😄NATO kwanini wasiogope wakati wameshakiri wenyewe kwamba Panasonic missiles hawawezi kujikinga nayo
US hatetei waislam wala wakristu, usa anatafuta ndugu wawili wenye ugomvi...anachagua yule asie na haki..anampa pendekezo la kumlinda kwa mda kwa mkopo..then ampe nguvu ya kujilinda kwa kumuuzia silaha kwa mkopo..sasa wewe ukiwa madarakani kazi yako kukusanya kodi kutoka kwa wananchi unaowatawala na kuituma USNa amekuwa akiwatetea sana, hadi wale walio kule China kwenye Camps
Nonsense.....hizo 'like' zinaongeza nini ?Punguza kukogoogle nimeamua kukupa like maana mpaka sasa huna hata like.
Sweden na Finland sasa nao watawekewa idadi ya missiles zinazolenga kambi zao za jeshi kutokea Boda hio...ili NATO atakaerusha chochote urusi kinajibiwa na Nuke...ndio watakaposhtuka hawatasubutu kutupa hata jiwe urusi, na wameingia chama cha ugumu wa maisha kwa raia wa nchi zao na mpango wa kuchangia maendeleo ya US alie bara jingine.Tupate matangazo kutoka Kwa wadhamini wetu [emoji56][emoji56][emoji56]View attachment 2580126
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanakula misele kuonyesha kua hali ni shwari, chocho lolote la majengo ya serikali wanapita kama hivo....hata kisu hawana..means ni safe area, wakandarasi wajiandae kusafiri kwenda kurekebisha majengo.wanaokimbia hao mbn hawana silaha?
Ameshindwa propaganda za kijeshi ameiga propaganda za US za udini...[emoji23][emoji23]Zelenskyy hosts iftar, slams Russian ‘repression’ of Crimea Muslims
Zelenskyy has criticised Russia’s treatment of the Muslim-minority Tatar community in Kremlin-controlled Crimea and vowed to recapture the peninsula from Russia during a first official state iftar.
“Russia’s attempt to enslave Ukraine … began exactly with the occupation of Crimea, exactly with repressions against Crimean, Ukrainian and Crimean Tatar freedom and of Crimean Muslims,” he told Ukrainian Muslim leaders and ambassadors from Muslim countries.
The Tatar community, which accounted for 12-15 percent of the two million Crimea residents, largely boycotted the 2014 vote.
“There is no alternative for Ukraine, or for the world, other than the de-occupation of Crimea. We will return to Crimea,” Zelenskyy said, before handing out awards to several Muslim Ukrainian servicemen.
Zelenskyy, speaking at a mosque outside the centre of the capital, announced that Ukraine was beginning a new tradition of hosting an official iftar, the meal breaking the daily fast during the holy month of Ramadan.
Uchumi wa US sio halisi kama unavyoaminishwa na dollar paper zake duniani mkuu..ni uchumi uliojikopesha resorces za dunia badala ya uchumi uliojiwekeza kwenye resorces za ndani za United States.Duh
Sifa kubwa ya T-Bill ambayo ni hati fungani inayo tolewa serikali ya USA ni kuwa ukinunua lzm ulipwe sababu uchumi wa USA ni mkubwa sana kuwa defaulty.
Uchumi wenye GDP 26 trilion kwa mwaka na makao makuu ya makampuni karibu yote makubwa hauwezi kuporomoka!
China na Saudia na Moscow mabilione wake excess capital zao watanunua T-BOND za USA sababu wana uhakika wa usalama wa pesa yao.
Hata sijui kuanza kutumia currencies zao ni porojo za mitandaoni tu,wote watanunua T-bill kwa US dollar.
Tujadili uchumi wa nchi hizi,nipo tayari
Daaah Kwamba china haiitambui EUWachina wamemkomesha huyu majnuni wa kikee
After Ursula lectured China China throws Ursula into a common passenger line at the airport while leaving China - not through a VIP exit The German press noted that the President of the EC Ursula von der Leyen faced a real diplomatic humiliation as her ID was checked
View attachment 2582413
Hakuna kitu kama hicho fatilia hiyo miaka aliyofundisha halafu ingia Wikipedia uone miaka hiyo Putin alikuwa wapiAmeishi na kuendesha mafunzo ya wapigania uhuru pale Bagamoyo.
Mjinga TU yulekuna mwanajukwaa alisema Bric ni umoja wa maskin,
uchaguzi ujao hatoboi huyu jamaaMacron anavyoitamani simu ya putin lakini mzee wa kremlin anaendelea kumpotezea.
Macron alifanya ujinga wa hali ya juu sana,
Nilikuwa namsikiliza Mwamba Putin Akihutubia
kiukweli Jamaa Anavutia Sana Kwa Hotuba Zake Huchoki Kumsikiliza
Dodoso lake Kawakumbusha
wasitegemee Kuishinda Urusi kwenya Vita kamwe kamwe na Bado hawajaamua Kweli Kupigana
kwani Muda upo
Pia Kazungumzia Suala la Ushoga
Anasema Ni Jambo la Ajabu Mungu Kaumba Jinsia Mbili mke na Mume/Mwanamke na Mwanaume
haya wanayo yaleta West niyakupinga sana
Na Wao Hawapendi kuingiia Uhuru wa Watu lakini kwahili Hawata kubari lazima Walinde watoto wadogo na Hatari hii