kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Labda jamaa hana pwaniHivi kwa nini Comrade KIM JONG KILA SIKU ANAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA YAKE KUELEKEA EITHER SOUTH KOREA OR JAPAN lakini sijawahi kusikia japan, south korea pamoja na us wakijaribu kurusha hata jiwe kuelekea pwani ya Kiduku??? View attachment 2587904
Vikosi vya Ukraine vyalipua majengo baada ya kuondoka Bakhmut.sasa sijui wana maana gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikimbizana na kichaa na wewe utaonekana kichaaHivi kwa nini Comrade KIM JONG KILA SIKU ANAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA YAKE KUELEKEA EITHER SOUTH KOREA OR JAPAN lakini sijawahi kusikia japan, south korea pamoja na us wakijaribu kurusha hata jiwe kuelekea pwani ya Kiduku??? View attachment 2587904
Wamekata tamaa wanajua Urusi akishakamata eneo huwa halirudi milele, hivyo wanalipua wakitaka Urusi aje aanze ujenzi upya.Vikosi vya Ukraine vyalipua majengo baada ya kuondoka Bakhmut.sasa sijui wana maana gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha akili hana yule anaripua kweli wakimjaribu hana utaniHivi kwa nini Comrade KIM JONG KILA SIKU ANAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA YAKE KUELEKEA EITHER SOUTH KOREA OR JAPAN lakini sijawahi kusikia japan, south korea pamoja na us wakijaribu kurusha hata jiwe kuelekea pwani ya Kiduku??? View attachment 2587904
Sasa laki mbili ndio kelele zote hizo...tunawachinjaa tunawachinjaa...askari ameapia kifo jeshini, hvyo huchinji warusi, unaua walinzi wa urusi...ni hivyo tu..ila kila mkiwaua ndivyo mnavyopoteza mji..mwishowe Kyv hii hapa..Warusi wa buza wanakwambia wataamini kwamba urusi wanachinjwa pale idadi itakapofikia million 27 🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Natamani iendelee hadi 2043, umri sawa na kule kwa wa taleban, tujue mbivu na mbichi za EU kutetea kiti cha u-NAZI hpo UkrainWar in Ukraine Expected to Continue into 2024, Allegedly Leaked Documents Reveal
A stalemate, in which neither side will achieve a decisive advantage, is described in a leaked document as "the most likely scenario."
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnamuogopa waziri Lav wakati mnajigamba mtamkamata Rais Putin...viroja vya mashogaSergey Lavrov and Russian UN Delegation Denied US Visas
The US has refused visas for the Russian delegation and the Russian Foreign Minister to attend a UN Security Council meeting.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu rais wa Georgia hana tofauti na huyo wazir wa ufaransa, wote wanakimbilia kwa fiancé wao US ndio wanaropoka ushoga wao ili kuleta civil unrest...Former Georgian President Receives Polish Award for Contribution to the Struggle for Freedom
The Lech Kaczyński Prometheus Award, named in memory of the former Polish President who died in a plane crash in Smolensk 13 years ago, was this year made to the imprisoned former President of Georgia
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Infiriority Propaganda, Russia hajawahi kuomba yeyote yule amuuzie silaha za kukimbiza wanazi...zakwake zinamtosha kupiga wanazi-NATO wote pamoja na Ukrain na mashabiki zao wote na zinabakia...[emoji298]️China will not sell weapons to any party involved in the situation around Ukraine, the head of the Ministry of Foreign Affairs of the People's Republic of China, Qin Gang, said. He also added that China will monitor the export of dual purpose goods, the AP reported.
[emoji328]: ReutersView attachment 2587621
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] Mkuu, naona anajitahidi kuwachokoza ili wajichanganye kwenye 18 zake,Hahahaha akili hana yule anaripua kweli wakimjaribu hana utani
Ukraine ina impact gani kwenye masuala ya michezo ya Kimataifa - yaani Merikani imemvimbisha kichwa Zelensky na wasidizi wake, wanazungumza chochote kinacho wajia kichwani - mara ifukuze Russia kutoka umoja wa mataifa, mara....The Ukrainian Ministry of Youth and Sports issued a decree on April 12 banning all official delegations of national sports teams from participating in international competitions where athletes from Russia or Belarus are present.
Learn more: Ukraine bans national sports teams from participating in competitions with Russian, Belarusian athletes
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zelensky alikua anawazia kbs kuwa Jinping akitoka Moscow atatua Kyiv ili aanze kumparapata kidada-dada, akashangaa mjomba kamaliza siku 3 Moscow na simu za Washngton za mikwara hapokei, akakwea pipa nyumbaniii Beijing..China anaiitaji Ukraine kuliko Ukraine anavyoiitaji china,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapa umenena mwanangu kula gwara[emoji109] hapa ndio umetumia ubongo wako wa kuzaliwa, achana na akili za kushikiwa na makakapoa wa ulaya.Zelensiky ana mianya mingi ya kupata mitonyo,,huku World Bank, huku IMF, huku nchi washirika, chenjichenji zinazobaki kwenye zile military packages.., yaani Jamaa akitoka madarakani bila kuwa billionaire naweza kumuaona hamnazo, maana Hela zinatiririka kutoka kila upande
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa basi ile nchi ya Urusi haina tena mfanyibiashara wa Ulaya wala Marekan, na nchi imesimama vizuri kushinda hata kipindi cha Covid, unemployment imepungua sana Urusi, wanajiendesha kwa faida.. Wana rasilimali za kutosha, wananchi wake, raia wamechukua fursa za kazi walizoziacha wageni wa ulaya, zile za taaluma ambazo hazijapata wafanyajikazi wachina wamepita nazo...wahindi ndio usisemeKuhathirika ni hatua ya mwanzo kabla ya kuanguka.., huwezi ukafikia 2 bila kuanza na Moja..,hapo ni kwamba Putin alikuwa anawapa onyo warusi Ili ikitokea wakaanza. Kubeba fedha kwenye magunia Ili kwenda kuemea sokoni,wasiseme hakuwaambia[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app