Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

#Ukraine's rapid recovery depends largely on how quickly the private sector will develop, which requires significant foreign investments.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna Private sector wala foreigner atakubal kuwekeza Ukrain kwakua pale uchumi hamna..yaan hamna kabisaa hata sent itakayorud ndani ya miaka 20 hapo ukrain..nani atafanya huo ujinga kuwekeza pale?
 
Hakuna Private sector wana foreigner atakubal kuwekeza Ukrain kwakua pale uchumi hamna..yaan hamna kabisaa hata sent itakayorud ndani ya miaka 20 hapo ukrain..nani atafanya huo ujinga kuwekeza pale?
naona umeamua kukomaa na huyo jamaa bampa tu bampa tunaomjua hatusumbui tushajua akili yake kashikiwa...na wamarekan
 
dogo akiamka asubuhi tuu kabla haja piga mswaki anaenda kubonyeza kitufe
yaani ashafanya yale makombora kama midoli ..
 
MKUU NITAJARIBU KUKUJIBU KAMA IFUATAVYO;

USA na allies wake wanamuzidi vitu vingi sana NK tena kwa gepu kubwa sana iwe kijeshi, kiuchumi na kisiasa. Kitu pekee kinachomfanya NK kuwa mubabe wao ni umiliki wa nukes na mabomu ya masafa marefu (ICBM) halafu kuwa na kiongozi ambae haogopi kuyatumia hayo madude wenyewe wanamuita Don't care leader au crazy leader, haeleweki kama ukimkorofisha anaweza akayatumia au asiyatumie. Nisawa nawewe uanzishe ugomvi na mwehu alieshika mawe na rungu unadhani kipi kitatokea hata kama nawewe una mawe na rungu kama yeye [emoji23][emoji23]

IKUMBUKWE: huyu huyu dogo Kim Jong Un kiongozi wa ka nchi kadogo, 2018 alimtoa rais wa US (Trump) pale white house mpaka Singapore kwajili ya kwenda kumaliza tofauti zao baada ya dogo kumpiga biti trump kuwa atabonyeza kitufe cha bomu lakufika New york kilichopo mezani kwake[emoji23][emoji23]

KINGINE, tofauti ya North korea na nchi nyingine zinazo miliki madude hatari kama hayo i.e USA, Russia China, India, Israel, UK, France n.k ni moja tu nchi hizo zina viongozi wenye busara na smart wanaojua kutofautisha matumizi ya silaha, wanajua niwakati gani wa kutumia silaha za miaka 50 iliyopita na wakati gani wa kutumia silaha za kisasa pia wanajua wanachokupoteza tofauti na NK ambae anajua hana cha kupoteza sana.

Kama marais wangekuwa wanasajiliwa kama makocha, ukamchukua Putin ukampeleka kwenda kuongoza N.k halafu Kim akaenda Russia hii yenye kila aina ya silaha na mabomu hatari kuliko nchi yeyote ile duniani basi nakuhakikishia kuwa USA&NATO watamuamuru mpambe wao Ukraine asitishe hiyo Vita mara moja kabla Mr mashavu hajaanza kubonyeza batani za mabomu moja baada ya nyingine maana wanajua chizi kakabidhiwa rungu sasa kimachofuata nikichapo cha mbwa mtu bila kujali madhara ya hicho kichapo[emoji23][emoji23].

Mkuu kiufupi hata sisi na umasikini wetu huu siku tukiweza kutengeneza mabomu ya nukes yenye uwezo wa kutoka kambi ya jeshi ya Bulombola-kigoma hadi new york city au ulaya ndani ya dakika kadhaa halafu tukawa na kiongozi aliejizima data kama Kim Jong Un huyo USA na mashoga wake wataishia kubweka wakiwa mbali mno hata tukikamata mabalozi wao tukawachapa bakora na hata majirani wetu wataogopa kuzichapa nasisi.

HIZO NDO SABABU ZA KWANINI DOGO KIM NA N.KOREA YAKE WANAOGOPWA NA USA+MAJIRANI ZAO LICHA VURUGU ZAO ZA MABOMU UKANDA HUO.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bakhmut is under our control, and the remaining units are resisting stubbornly."[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
 
Warusi ni kiboko, wamegundua mtambo hatari wa kielektronik ambao unaweza kuzima setilaiti za adui.
🇷🇺Russia has developed an electronic warfare system with a range of about 36 thousand km - it is capable of "jamming" satellites in geostationary orbit, an informed source told RIA Novosti.

The interlocutor did not give details about the new system, but noted that "the power of its emitters at short range makes it possible not only to suppress, but also to permanently disable the enemy's electronics."
 
Ni ile personality ya Kiongozi aliyepo Madarakani Korea kaskazini ambayo sio rafiki kwa michezo ya kisiasa. Ni sawa na kutaka mchezo wa kurushiana mawe ilhali unaishi kwenye nyumba ya Vioo.

Mara zote viongozi ambao huchokozwa sana ni wale wenye "think twice before acting" kwenye mind zao, wale ambao hukubal kujishusha inapobidi na kupuuza inapohitajika kama kupuuza uko kuna faida kuliko kutenda. Viongozi mithili ya akina Putin na Xi ila sio Kim.

Historia pia inachagiza hilo, NKorea ni taifa ambalo hadi kufika hapo walipo wamepitia mengi ambayo huwa hawataki kabisa yajirudie. Wamepitia kila aina ya unyonge na hawajapoa. Zaidi hawapendi kuonekana wanyonge, wana personality ambazo si rafiki kwa michezo ya kisiasa.

Tunaweza sema Kim ni Aina ya akina Medvedev, Kwa taarifa za nyuma ya Pazia yasemekana hata ile Maiden Revolution iliyofanyika 2014 Ukraine ilicheleweshwa hadi mwaka huo kwani ilitakiwa ifanyike kabla ila ikasubiriwa Rais aliyekuepo kati ya 2008 hadi 2012 atoke madarakani.

Ni nani aliyekua madarakani akati huo? hope unamjua, Je Kwanini ilikua hivyo? Nadhani Obama ana siri hiyo kwani anajua mwenyewe alicho kiona kwa Rais huyo enzi hizo alipokua madarakani.

Hivyo maelezo yanaweza kua mengi ila kwa ufupi tu Kiongozi aliye Madarakani hapo North Korea ana Personality ambayo sio Rafiki kwa Michezo ya kisiasa.
 
Kumbe hawa mashoga huwa wanatufanya sisi hamnazo!! Mwaka huu wamejua hawajui.

The New York Times are worried about Africans not falling for western propaganda, with the usual patronising trope that Africans are less intelligent and don't know what is good for them

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Mnatamaanii China ipeleke silaha ili mumsumbue kuhusu Taiwan.. Putin na Xi ni mababa wawili wenye uchungu wa kweli kusimamia nchi zao utafikiri ni familia zao wenyewe..hivyo kutatua migogoro wanatumia akili ya ujirani mwema, sio hizo familia za uswahilini huko west mtu mmekorofishana anaenda kukodi kigodoro "westen media" wanakuja kwako kukusuta na kukudhalilisha...na kuleta vibaka wakushambulie, mnataman nchi za wenzenu ziwe na vibaka wa kupindua nchi zao...
Mungu awasamehe kwa kweli.
 
UkrainianArmy
As of April 10, 76% of the summer uniforms needed for the Armed Forces of #Ukraine are already in stock at the warehouses.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwamba mmeshaingiza zana za kutosha za "counter-off-show"?....karibuni ulingoni...mtakua na nguvu mwanzoni ila nina hakika dk 30 za kipind cha kwanza mtatamba sana..dk 15 zinazomalizia mtaanza tena kelele za amepewa silaha na china, mara uturuki anamuuzia code ya silaha za west, mara mpigen Iran vikwazo, mara Saudia ipigwe vikwazo kwa kuisaidia urusi kwa manunuzi ya mafuta, mara india ndio mfadhili wa urusi...na mengine meengi..
 
#standwihUkraine
As part of the European Union’s Single Market Programme, the Ukrainian business will receive support for a total sum of EUR 7.5 million from the European Commission.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimeona taarifa moja inasema #Slovakia imepiga marufuku matumizi na manunuzi ya nafaka za Ukrain kwakua zimehifadhiwa na dawa zenye sumu ili zikae mda mrefu bila kuharibika, sumu hizo ni hatari kwa afya ya wana-EU#
 
The Ukrainian government is currently focused on preparing a counteroffensive to liberate its territories from Russian invaders.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mshinde na mchukue maeneo, hamisheni watoto kinguvu, hata wazazi wao wakikataa, watu watakaobaki maeneo hayo piga vilipuzi vya UK vyenye uranium angamiza warusi kwa wingi...mkifeli tuu...EU wanawapiga mgongo..mnabaki na shababi wenu US..nae atawakimbia akimbilie Taiwan maana nyie hamna dili tena..[emoji23][emoji23]
 
Wanajijua wao ndio wachokozi, na raia wao wanaona kweli Japan na S.korea ndio wachokozi wakishinikizwa na US..sasa viongozi wanaogopa kufanya yanayofanywa na N.korea maana wataondolewa madarakani
 
Acheni kuwaua askari wenu..mnaogopa watakua hai wataelezea ulimwengo uovu wenu, ndio maana mnakata viungo vya POW wa kirusi mnauza.
 
Hizo asilimia mmeshatwambia sana ,Leteni tu habari kwamba mmefanikiwa kuwaondoa vijana wakakamavu wa rais zelensiky hapo bakhumut..,ni Hilo tu, nyingine ni mbwembe [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa tumetimua wanazi..na nyie acheni kulipua majengo ya Nchi, au ndio "No one need it"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…