Imebidi nimkomalie maana asipozibwa ufa atapasua ukuta huyu....maana mbwa akiskia jina moja kila siku anajua ndio jina lake...na wanachokiamini watu wengi kwa wakati mmoja ndicho kinachokua na nguvu ya utendaji...hivyo siku mojamoja ni kumchania tuu mkeka...akili imkae sawa.naona umeamua kukomaa na huyo jamaa bampa tu bampa tunaomjua hatusumbui tushajua akili yake kashikiwa...na wamarekan
sheria za Kivita za kimataifa huwezi kufanya kitu kama hicho, nafikiri ni video za kutengeneza hizo. Kama mpo kwenye battlefield na askari wa upande wa pili kaonyesha ku- salender basi huruhusiwi kumuua ama kumfanyia dhihaka ama unyanyasaji wowote ule.Askari wa Kirusi Akimchinja Askari wa Ukrein Huku akilia kwa Maumivu na Kuomba Asamehewe Sielewi Alifanya Nini!!
URUSI ashatangaza muda tu kuwa hakutakiwi mikusanyiko ya aina yoyote ile kwenye nchi ya UKRAINE.NATO na kibaraka wao Zelensk wakajua URUSI bado anatania kama mwaka jana[emoji23][emoji23][emoji23].
Wamewapeleka watoto wa watu camp na walimu wao kutoka NATO ila mwisho wao umekuwa mbaya baada ya URUSI kufanya yake mapema.
Mpaka sasa Ukraine awajasema idadi ya vijana waliokuwa camp na idadi ya walimu wa kijeshi waliokuwepo kwenye iyo camp.
R.I.P
Mh!! Mbona kama mask. Au ndio kuzeeka ngozi inakuwa hivyo?
Kwani hii ni Kwa Urusi tu kipindi Cha counteroffensive mbn askari wa Ukraine walifanya hivo Kuna aliyewachukulia hatua?sheria za Kivita za kimataifa huwezi kufanya kitu kama hicho, nafikiri ni video za kutengeneza hizo. Kama mpo kwenye battlefield na askari wa upande wa pili kaonyesha ku- salender basi huruhusiwi kumuua ama kumfanyia dhihaka ama unyanyasaji wowote ule.
Kama ikijulikana ni kweli basi Urusi inajipalia makaa, na tunaamini ni haya ma video ya mitandaoni.
sheria za Kivita za kimataifa huwezi kufanya kitu kama hicho, nafikiri ni video za kutengeneza hizo. Kama mpo kwenye battlefield na askari wa upande wa pili kaonyesha ku- salender basi huruhusiwi kumuua ama kumfanyia dhihaka ama unyanyasaji wowote ule.
Kama ikijulikana ni kweli basi Urusi inajipalia makaa, na tunaamini ni haya ma video ya mitandaoni.
Na kiduku nae kutest mitambobyake ya nyuklia ji desturi yake kila mwezi wamvumilie tu.Military drill kati ya marekani na Korea kusini ni suala la kila mwaka,hiyo ni desturi Yao,bila kusahau Japan,labda kama umeanza kufuatilia hizi issues juzi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani umeambiwa kiduku kavamiwa kwa sababu ya kutest hayo mapipa yake?Na kiduku nae kutest mitambobyake ya nyuklia ji desturi yake kila mwezi wamvumilie tu.
Nmekupata mkuu, kwa nchi kama korea yenye maadui wengi Kiongozi kama Kim ni perfect fit.Ni ile personality ya Kiongozi aliyepo Madarakani Korea kaskazini ambayo sio rafiki kwa michezo ya kisiasa. Ni sawa na kutaka mchezo wa kurushiana mawe ilhali unaishi kwenye nyumba ya Vioo.
Mara zote viongozi ambao huchokozwa sana ni wale wenye "think twice before acting" kwenye mind zao, wale ambao hukubal kujishusha inapobidi na kupuuza inapohitajika kama kupuuza uko kuna faida kuliko kutenda. Viongozi mithili ya akina Putin na Xi ila sio Kim.
Historia pia inachagiza hilo, NKorea ni taifa ambalo hadi kufika hapo walipo wamepitia mengi ambayo huwa hawataki kabisa yajirudie. Wamepitia kila aina ya unyonge na hawajapoa. Zaidi hawapendi kuonekana wanyonge, wana personality ambazo si rafiki kwa michezo ya kisiasa.
Tunaweza sema Kim ni Aina ya akina Medvedev, Kwa taarifa za nyuma ya Pazia yasemekana hata ile Maiden Revolution iliyofanyika 2014 Ukraine ilicheleweshwa hadi mwaka huo kwani ilitakiwa ifanyike kabla ila ikasubiriwa Rais aliyekuepo kati ya 2008 hadi 2012 atoke madarakani.
Ni nani aliyekua madarakani akati huo? hope unamjua, Je Kwanini ilikua hivyo? Nadhani Obama ana siri hiyo kwani anajua mwenyewe alicho kiona kwa Rais huyo enzi hizo alipokua madarakani.
Hivyo maelezo yanaweza kua mengi ila kwa ufupi tu Kiongozi aliye Madarakani hapo North Korea ana Personality ambayo sio Rafiki kwa Michezo ya kisiasa.
Kwahiyo Marekani na Korea kusini zinatawaliwa na vichaa sawa na wanavyomuona N.Korea kichaa...maana wote wanacheza mchezo mmoja wa ukichaa, kama anaejilinda ni kichaa..je anaefanya mazoezi ya kuja kushambulia ni nani?Military drill kati ya marekani na Korea kusini ni suala la kila mwaka,hiyo ni desturi Yao,bila kusahau Japan,labda kama umeanza kufuatilia hizi issues juzi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbe wana kaunafiki kuonekana kama kim ndo anayewachokozaWanajijua wao ndio wachokozi, na raia wao wanaona kweli Japan na S.korea ndio wachokozi wakishinikizwa na US..sasa viongozi wanaogopa kufanya yanayofanywa na N.korea maana wataondolewa madarakani
Idadi inapungua tuu kutokaJana walichinjwa zaidi ya mia nne 🥱🥱🥱🥱View attachment 2588431
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app