D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
🙏🙏🙏Mkuu 1954 wewe ni mmoja kati ya memba ninaowaheshimu sana humu Jukwaani ni vile TU hatujuani.Dah..an excellent piece of analysis...nimekuandalia birian hapa Vladivostok...jiji ambalo ni mwisho wa reli na bandari Safi na makao makuu ya Pacific fleet...
🤣😂🤣😂 karibu🙏🙏🙏Mkuu 1954 wewe ni mmoja kati ya memba ninaowaheshimu sana humu Jukwaani ni vile TU hatujuani.
Kwa vile Leo ni siku kuu,Mimi ni nani hata nisijongee kwa biriani?
Tena mjini vladvostok?
🙏🙏🙏
Habari njemaUtabiri wa Ukraine kutoweka kwenye ramani ya dunia wazidi kushamili. Mshauri wa Rais wa zamani wa marekani nae kasema Ukraine itatoweka mwaka huu.
Ukraine may cease to exist as a state this year, Douglas McGregor, a former adviser to the Secretary of Defense in the administration of former US President Donald Trump, believes.
“ I don’t know if Ukraine will even exist as a state by the end of 2023. The conditions inside Ukraine are terrible, the losses are terrible ,” the retired colonel said in an interview with presenter Stephen Gardner. “ We [the United States] are simply lying, don't tell the truth ."
According to McGregor, Western media only broadcast versions coming from the intelligence services of their countries. " Ukrainians are winning," "Ukrainians... are still winning, they can still win," and "things are not so good, but they can still win." In the end, we will no longer contact anyone in Kiev , "said the ex-adviser to the head of the Pentagon.
#source:
Join Slavyangrad
@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
The IMF’s loan agreement to Tunisia would cause an economic collapse in the country. Tunis is unhappy with the ridiculous demands. They’re looking to potentially join BRICS as they have less restrictive conditions when it comes to loans.
Habari njemaAmeyataka mwenyewe LGBTQ.
The Biden administration has created a new power bloc. The Moscow-Beijing-Tehran axis. The greatest fear of every American geostrategist. The ruins of years of neocon policy...
Aliyedhalilika ni yule alinyang'anywa ardhi yake halafu hafanyi chochote.
Near?? MmeishaMambo badooooo; tuliaaaa, tuliaaaaa !!
Ukrainian soldiers fire a howitzer D-30 at the front line near Bakhmut, Donetsk region, Ukraine, on April 19, 2023 [Roman Chop/AP
Ina maana huoni urusi anavyochakazwa?!Aliyedhalilika ni yule alinyang'anywa ardhi yake halafu hafanyi chochote.
Mkuu wakati unaenda unipitie mdogo wako nipo ndani ya MARIUPOL new Capital city of the Russian Donbaas Nakusubiri.[emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu 1954 wewe ni mmoja kati ya memba ninaowaheshimu sana humu Jukwaani ni vile TU hatujuani.
Kwa vile Leo ni siku kuu,Mimi ni nani hata nisijongee kwa biriani?
Tena mjini vladvostok?
[emoji120][emoji120][emoji120]
😂🤣😂Mkuu wakati unaenda unipitie mdogo wako nipo ndani ya MARIUPOL new Capital city of the Russian Donbaas Nakusubiri.
😂🤣😂Mkuu wakati unaenda unipitie mdogo wako nipo ndani ya MARIUPOL new Capital city of the Russian Donbaas Nakusubiri.
Tarimo alituwakilisha vyemaHakikisha una kitambulisho Cha taifa la Tanzania,la sivyo ukikutana na WAGNER usije kutusumbia sisi ndugu zako,
Wagner hawana tatizo na sisi Wabongo.[emoji120][emoji123][emoji635][emoji123][emoji1787][emoji2]
Hiki ndicho kilichobakia kwa sasa.Moscow strongly condemns the expulsion of employees of diplomatic missions by Berlin, these actions of Germany defiantly destroy the entire array of bilateral relations
- Russian Foreign Ministry.
kijana unafaa kuwa jasusi langu ndani KGB au nina la kisasa nafkiri unafaham [emoji23][emoji23][emoji120][emoji119][emoji1666]Wapenda haki chini ya kiongozi wetu Putin lazima tuseme ukweli.
Mkuu siku ukitulia fungulia uzi hii,tena weka jukwaa la intelligence ili watoto wasitufuateTuambie ushirikina wao.Urusi sio washirikina kuliko Serikali za nchi za Magharibi mkuu hasa Marekani ambayo zinaongozwa na Lucifer kabisa.Acha utani wewe,the West wanatumia Babylonian Talmud Occult,ambao ni uchawi mbaya sana.
Uchawi ni sayansi na application ya laws za sayansi ndiyo technolojiaWenzetu wakifanya yao mnaita teknoloj sis huku gambosh tukifanya yetu mnaita uchaw