Mkuu ni hivi kwa ufupi;mkuu tumia kiswahili inatosha hiyo lugha ya malkia ni ngumu na nzito kwako achana nayo .....
Itakua poa km utairudia kwa kiswahiliInawezikana maana si lugha yangu mama!Ila kama hujaelewa post basi naweza rudia kwa kiswahili.nafanyi hivyo ili kufupisha maelezo.
Kwani ni nani anayemiliki hilo eneo
IHiyo video hata 'ki-rat' anaweza kabisa kuitengeneza
una uhakika na hiki ulichoandika?Tena kwenye vita mara nyingi attackers huwa wanakuwa prone na heavy cassualities than defenders.
Yes kilicho baki wanajisifu Kafanya ugaidi tu hawana jipya.🤣🤣🤣😃🤝🤝🤝🤝👏👏👏🇷🇺💪
Kuhusu mashauzi yake!
Marekani anakemewa Kama mtoto aliyedokoa nyama mda huu yaani kafumaniwa mpka amepakwa mafuta yaani mwaka huu marekani kajichanganya.Mwamba wasiri wa Mambo ya nje wa Urusi
LAVROV
Anawaka huko UN
Anasema Hakuna mtu yeyote aliyempa Marekani Haki ya Kuizungumzia Dunia yote kwaujumla
hana haki hiyo
No one gave the US the right to speak on behalf of the entire world community — Lavrov
Ukiwa mbabe raha sana, hii kauli anaitamka akiwa kwenye ardhi yao hao viranja wa mchongo na hawana la kumfanya!Mwamba wasiri wa Mambo ya nje wa Urusi
LAVROV
Anawaka huko UN
Anasema Hakuna mtu yeyote aliyempa Marekani Haki ya Kuizungumzia Dunia yote kwaujumla
hana haki hiyo
No one gave the US the right to speak on behalf of the entire world community — Lavrov
Nakumbuka Wana msemo wao "hawatunzi mdomo maana hawana chakula cha kulisha" (sina uhakika kama nimepatia) Ila walikuwa wanamaanisha hawekamati mateka bali Wanawauwa maana hakacha chakula cha kulisha mateka, lakini nadhani kauli hii imekuja baada ya urusi kubaini wanaopigana sasa hivi ni mamluki na Siyo Askari ya UkraineUkikamatwa na WAGNER umeumia.
-------
Don't take prisoners anymore," -Evgeny Prigozhin.
This was said after he found out in a radio conversation that the AFU units killed a wounded Wagner soldier whom they imprisoned.
"Expect no prisoners from now on on the Bakhmut front".