The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hii excuse itawapeleka The HagueWanajeshi walivua kombatinq kujichanganya na raia. Sasa unazani itakuwaje.
Usilete taarabu shekhe izi habari za kimbea tumekukataza tangia jana andika habari zinazoonyesha chanzo cha habari na sio umekaa umeshiba kahawa alafu unaleta hizi habaro za kimbea kama kina Juma lokole!!Mpaka Sasa Nikolaev, Mariupol, Maliutopol imeshaanguka mikononi mwa Mrusi.
Bado Odessa ili Urusi iwe imeichukua miji yote ya Mashariki na kaskazini mashariki mwa Ukraine.
Bado kiev, Irpin, Dniper ili iwe Ukraine imekamatwa katikati na itakuwa miji yote imeshatwaliwa.
Labda watabaki na LYIV wa kule Magharibi ambao nao umeanza kupigwa maroketi
Hakuna jengo wala mmarekani alikufa au kujeruhiwaNa marekani kaamkia kibano leo huko iraq kambi ya Elbil na majengo ya ubaloz yametekezwa,inasemekana makombora yamefyatuliwa kutoka iran
The Hague ni kwa ajili ya waafrika tulia mpate kipondo cha wastani, heavy mtaishaHii excuse itawapeleka The Hague
Mashoga wana maneno mengi sana ya kujisifiamtambo wa C-RAM umeshindwa kuyatungua makombora ya iran. ha ha ha
Wewe ndo huna akili na una mihemko ya kitoto alama z na v zinatumiwa na vifaa na askari wa Kirusi sawa bwana usilete habari z upotoshaji as if wewe pekee ndo mwenye macho ama maskio na sisi wengine hatuna macho wala maskioAt least act like a grown man uache kukurupuka.... Hyo mihemko haikusaidii zaidi ya kukutia stress tu...
Hicho kifaru cha kwanza kina alama Z???? Kina tifauti na hicho cha pili kilichopakwa Z na wanajesh wenyewe.... Hivi ata sare za jeshi Ukraine unazijua???
Tumien utashi wenu bn acheni hayo mahabba mpaka mnaboa yani
Tumia akili bas jomba narudia tena hyo mihemko haikusaidii kitu zaidi utajikondesha kwaa mawazo....View attachment 2148360View attachment 2148362
Watu wanaongelea C-RAM vipi!?
Wewe ndo mtoto kwa apa sababu unaandika habari za kimbea na upotoshaji alafu madai yako unadhani uko sahihi rekebisha ni umepotosha bhana acha kumtisha mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sibishani na watoto mie... Endelea kubwabwaja tu jomba we usie na shida kichwani. Mwenye akili zako au sio...
Kwanza Juma lokole ndio nani?Usilete taarabu shekhe izi habari za kimbea tumekukataza tangia jana andika habari zinazoonyesha chanzo cha habari na sio umekaa umeshiba kahawa alafu unaleta hizi habaro za kimbea kama kina Juma lokole!!
Mtu akiandika upotoshaji wewe weka ukweli. Mzee mbona simple tu.Wewe ndo mtoto kwa apa sababu unaandika habari za kimbea na upotoshaji alafu madai yako unadhani uko sahihi rekebisha ni umepotosha bhana acha kumtisha mwenzio
Ni kila kitu ndio hata ww maisha yako hayo ya sekwen vitu kibao unawategemea waoMimi natamani akimaliza ukraine amgeukie us unajua hawa wazungu wa europe wnajiona wao ni kila kitu wanyooshwe tuu
Chanzo cha habari yako ni kipi yaani uyo mayor atamuongoza nani na atamtawala nani lete source ama hizi habari za kimbea waachie kina juma lokoleHivi tunaongea Putin ameshamsimika meya mpya wa waUkraine huko Melitopol, Mariupol baada ya kumfuta kazi meya wa Zelensky.
Mwambieni Zelensky naye ajiandae kufutwa kazi, siku zake zinahesabika
View attachment 2148530
Hiii ngoma bado sana kwa mwaka usa ananunua karibia 96% ya potassium fertilizer toka russia akipigwa sanctions je? Ataenda nunua venezuelaVenezuela is Russia's ally, but ready to sell oil to US – minister
Caracas is ready to restore oil trade with the US provided it recognizes legitimacy of President Nicolas Maduro.
Venezuela’s Minister of Foreign Affairs, Felix Plasencia, has said Caracas would be ready to sell oil to the United States again, while remaining “loyal” to Moscow.
Sasa kwanini utake kupotosha mzee!!Mtu akiandika upotoshaji wewe weka ukweli. Mzee mbona simple tu.
Akinunua Venezuela tayari Russia anafaidika.Hiii ngoma bado sana kwa mwaka usa ananunua karibia 96% ya potassium fertilizer toka russia akipigwa sanctions je? Ataenda nunua venezuela
Sasa unaendeleza huo upumbavu wako. Ulikuwa unajadiliana na mwingine sasa unanigeukia mimi? EboSasa kwanini utake kupotosha mzee!!
Inaonekana kama umepaniki sababu mambo hayaendi mlivyokuwa mnadhaniWewe ndo mtoto kwa apa sababu unaandika habari za kimbea na upotoshaji alafu madai yako unadhani uko sahihi rekebisha ni umepotosha bhana acha kumtisha mwenzio