Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu!Hapani si kuwa niko brainwashed, no!
Ni hivi ratio ya 1:3 nilimaanisha idadi ya walinzi na washambuliaji(yaani washambuliaji wanakuwa wengi) na si idadi ya madhara ya ya mapigano.
Nahisi utakuwa umenielewa sasa!
 
Vi nchi kama Albania, Naulu. hizo nazo nchi mzee?

Eti nchi ina population ya watu 10,834 nayo inapiga kura UN sawa na India. Huu ni upuuzi wa UN.
Inatakiwa Kura moja iwakilishe watu 10,000,000.

Hapa Tanzania tutakuwa na kura 6.
Mkuu,maoni yako ni mazuri.
nimeelewa kile unachotaka maanisha.but kwa utaratibu huu wa nchi moja kura moja busi takwimu zipo sahihi(yaani between US and Russia nani anaungwa mkono zaidi UN)
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Strategic Bombers Carry Out Barents And Norwegian Sea Flights

Two Russian Air Force Tu-160 strategic bombers made scheduled flights to conduct daytime and nighttime refueling exercises over the international waters of the Barents and Norwegian seas.

Northern Fleet and Air Defense Formation MiG-31 aircraft escorted the strategic bombers on the 14-hour flights.

Russian long-range aviation regularly carries out flights over the international waters of the Arctic, the North Atlantic, the Black Sea, the Baltic Sea, and the Pacific Ocean in strict compliance with international airspace regulations.

Subscribe to RT
 
⚡️⚡️⚡️🇦🇷🇨🇳Argentina ditches Dollar to pay for Chinese imports.

Argentina says it'll pay for $1 billion of April's Chinese imports in Yuan instead of Dollar, following April, $790 million of monthly imports will also be paid in Yuan.

Buenos Aires says this will help country's dwindling Dollar reserves⚡️⚡️⚡️
 
⚡️⚡️⚡️Dmitry Medvedev:
"...
One thing must be understood.
Poland - with or without pieces of Ukraine - is already an entity infinitely hostile to us. The presence of Bandera members in the Polish Armed Forces does not make the weather either. And it does not affect the accuracy of Sarmats, Kalibrs and Zircons."⚡️⚡️⚡️
 
Huo ndo upumbavu mwenyewe kwani mbona mataifa mengine yanajiendesha bila hiyo misaada ya wazungu?
Ya kwamba nyinyi waafrika mlikuja duniani kukaa tu na kusubili kusaidiwa na binadamu wengine?

Kwani hayo mabilion ya fedha yanayo ibiwa na mafisadi wa CCM kila mwaka yangekuwa yanatumika vizuri yangeshindwa kuziba pengo la hiyo misaada mnayo pokea kutoka kwa wazungu?
 
The team of the Buk anti-aircraft missile system of Russia’s Vostok (or East) group of forces has repelled three attacks by American HIMARS multiple launch rocket systems (MLRS) of the Ukrainian armed forces in the Zaporozhye direction, destroying nine missiles, chief of the group’s press center Alexander Gordeyev told TASS.
 
Mkuu,unafikiri ataelewa basi?
Mi nakuambia watu kama hawa ndio husababisha waafrika tudharaulike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…