kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hamna dish bovu ilo lishaoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaaah jamani sio kweli!,
Jamaa Yuko vizuri sana bana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hakuna mtu mwenye ubongo mdogo kama wewe hapa jamii forrum.
Nishasema hapa na nitaendelea kusema.Huko Kharkov Kumeripotiwa Milipuko Mikubwa sana
Ndio maana Tokea Majuzi Urusi alikuwa Akishambulia Mifumo ya Ulizi ya Ukrein
tutegemee Moto kuwaka
Umesahau neno "Tafadhali"Ukraine inawaka moto muda huu.maombi yenu yanaitajika[emoji120]
Acha iwake......nilikuwa nafuatilia sana usiku wa kuamkia leo...Ukraine inateketezwa...upo uwezekano wa top leadership ya Ukraine ikawa targetedUkraine inawaka moto muda huu.maombi yenu yanaitajika[emoji120]
Wanasiasa huwa hawauwawAcha iwake......nilikuwa nafuatilia sana usiku wa kuamkia leo...Ukraine inateketezwa...upo uwezekano wa top leadership ya Ukraine ikawa targeted
Hizi picha naziangaliaje? Kwangu hazidisplay[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukrainian 5P85S TEL, part of the S-300PS air defense system was destroyed by a Russian Lancet-3 loitering kamikaze drone.
Near Kherson regionView attachment 2601660View attachment 2601661