kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Wavamizi watahifadhiwa humo kabla ya kusafirishwa makwao.Maandalizi ya counteroffensive ya Ukraine yameanza ni pamoja na kuagiza mifuko ya kuwekea maiti sitini elfu
View attachment 2602858View attachment 2602857View attachment 2602857View attachment 2602857
🇺🇦 The ukraine seems to be preparing for their famous counteroffensive: Purchase requirement for 60 thousand body bags.
Don't you forget that CNN always thrives on telling lies/misinformation and disinformation - his master's voice par excellence.CNN wamepoteza ushawishi wameachapisha Propaganda ya kitoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CNN published a piece on Thursday alleging that “Evidence emerges of #Russia’s Wagner arming militia leader battling Sudan’s army”.They claim that satellite imagery shows increased Russian military transport activity between Libya & Syria in the run-up to Sudan’s “deep state” war
Tumia akili kufikilia. Hazimalizwi kivipi wakati kila siku unasikia Ukraine wanapelekewa mizgo mpya?Mkuu!kumbe Russia anaweza piga AD yeyote,sasa mbona hazimalizi maana ndio zinaendelea kumpa changamoto.(tubaki kwenye uharisia propaganda hazitasaidia chechote)
Hivi unajua hata maana ya RECESION kweli au unaimba kama kasuku?Nchi SITA kati ya Saba za G7 Zina uwezekano mkubwa wa kupatwa na mdororo wa uchumi. Nchi hizo SITA ziko na uwezekano wa kuanzia 50% kwenda juu huku member wa Brics hakuna anaefikisha50 % alie karibu ni S . Africa 45% . Kweli vikwazo vyao zinawashughulikia.
View attachment 2603881
Pretty interesting projection made by Bloomberg.
Despite Russia being sanctioned to the moon and back - 6 of the 7 G7 countries are still more likely to face a recession.
In fact, 6 of those G7 countries have a 50% or greater chance of a recession.
On the opposite hand you look at the BRICS countries - not one is projected at above 50% to suffer a recession (South Africa being highest at 45% probability).
So how are the self-sanctions working out for the West?
Sijui hebu nieleweshe si ulisoma peke Yako duniani, kwani mimi ndo nimeandaa hizo data au hujafungua hata picha?! Mwaka huu stress zitawaua, pole mkuu.Hivi unajua hata maana ya RECESION kweli au unaimba kama kasuku?
Mkuu hii counteroffensive ikianza naomba usikimbie humu manake kipigo mtakachopata si Cha dunia hii.Ukraine says it's 'ready' for counteroffensive
Ukrainian Defense Minister Oleksii Reznikov said Friday the military is "ready" to launch a counteroffensive against Russian forces.
"It's up to the general staff and the command," Reznikov said during a press briefing in Kyiv. "We will do it as soon as there is God's will, the weather and the commanders' decision."
A Ukrainian soldier holds his helmet as he rides an APC in Bakhmut, in the Donetsk region, Ukraine, April 26, 2023.Libkos/AP
Ukraine has received Patriot missile defense systems from the United States as well as Germany and the Netherlands. The Ukrainian military has been trained on how to use the systems and "mastered" them within weeks, according to Reznikov.
"The exact number of batteries, I'm sorry, I won't say," he added. "Let the enemy guess."
Meanwhile, Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba urged the world not to consider or call the anticipated counteroffensive "a decisive battle." Speaking at a press conference in Odesa on Friday, Kuleba said the decisive battle is the one that will lead to the liberation of all occupied Ukrainian territories.
=========================
Hatimaye msosi umeshaiva, tukae mkao wa kula muda wowote kuanzia Sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi bado mnamini kuna kitu kinaitwa sijui counteroffensive.Ukraine ishakufa muda tu imebaki ya kwenye makaratasiMkuu hii counteroffensive ikianza naomba usikimbie humu manake kipigo mtakachopata si Cha dunia hii.
Habari njema kwa sisi wa penda haki tukiongozwa na PUT INHello, habari zenu nyote...
Dah ilikua hayawi hayawi sasa hayooo yashakua sijui kitasemwa nini kingine. Wote tumesikia habari kua umoja wa kiuchumi wa BRICS, Tukiwa na maana ya Brazil, Russia, India, China and South Africa imeipiku G7 Countries GDP by PPP... Huh hii habari kwa wafatiliaji naamini is not surprising at all, siku zote ukweli huwa haufichwi bali hucheleweshwa tu.
As a matter of facts, chini hapa ni Top 10 countries by natural resources:
Russia [emoji635] $75 trillion B+
USA [emoji631] $45 trillion W
Saudia [emoji1210] $35 trillion B+
Canada [emoji1063] $33 trillion W
Iran [emoji1130] $27 trillion B+
China [emoji630] $23 trillion B+
Brazil [emoji1054] $22 trillion B+
Australia [emoji1037] $20 trillion W
Syria [emoji1131] $16 trillion B+
Venezuela [emoji1263] $14 trillion B+
Ukifanya ulinganisho hapo team BRICS+ ni about $212 trillion huku collective west ndani ya top 10 ni just $98 trillion.
Kwa wingi wa Natural resources, BRICS+ is creating a new joint global reserve currency ambayo itakua backed by natural resources to replace the USD reserve currency which is backed by NOTHING.
Sasa kwa wale wanaosema global trade will still be in USD in 5 yrs are delusional. Kauli mbiu ni ile ile, ukweli huwa haufichwi bali hucheleweshwa tu. Ni swala la mda tu tutashuhudia mengi mno.
Yet kuna "bidhaa" zimehifadhiwa kwenye vichwa vya ndugu zetu ambavyo viko pegged to Western propaganda bado watapinga as if nothing kimetokea.
Kuna msemo flan wa jamii flan unasema dash dash ila maana ake kwa lugha yetu waswahili ni "Sema ukweli hata kama ni mchungu". Msemo wa kiweledi nahisi ndio alio funzwa Macron na Comrade Xi kiasi cha kuzungumza aliyo yasema baada ya kutoka huko.
View attachment 2582843
PS: Wale walio mtanguliza Mwenyezi Mungu mbele ndio huibuka washindi siku zote. We pray for Multipolarity... we pray for the true Peace ku'exist duniani kote. No more bullying bali respect one another.