Kuishi kwa mashaka haimaanishi haingii ofisini, yuko paranoid kama kawaida ya viongozi wa Urusi. Stalin alikuwa akijisikia anaua yeyote awe mkuu wa usalama au waziri na hilo halikumfanya asiwe anaingia ofisiniYupo vizuri anaendelea na kazi zake.View attachment 2608539
Hatutishwi, leo ni siku ya 435Russia kufanya mashambuzi makali masaa machache yajayo.
Mji wa Kiev umeenda kwenye milio ya tahadhari.
Wakati huohuo mjini Moscow amri ya kukataza kurusha ndege zisizo na rubani UAV imetolewa.
Zelensky yupo Finland leo bila uogaPutin anaishi kwa mashaka kuliko Zelensky
🤣🤣🤣 Kinzahal Haina Nini?Juzi walituma ndege bombers zaidi ya 10 zikatuma makombora 15 tu na kati yake kuna yaliyoshushwa na AD systems. Ndege mbili sio tishio alafu Kinzhal halina maajabu acha kulisifia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥱Inawezekana basi ni false flag kwa malengo fulani ila sio mara ya kwanza kwa drone za Ukraine kushambulia ndani ya Urusi.
.Wewe kama Nani unapanga hivyo? Ukraine hawawezi kumpata Putin subiri sasa utaona kitakachowapata viongozi Wa ukraine.unajua warusi sio wajinga Kwa kuacha kushambulia maeneo kama Bunge au ikulu ya Ukraine ni maeneo nyeti sana.kwakuwa Ukraine wanataka kugusa eneo nyeti kama Hilo subiri uone kitakachotokea.
Wewe jamaa bana!.Putin anaishi kwa mashaka kuliko Zelensky
Kwanini hayupo nchini kwake?walijua walichotaka wafanye ndo akakimbilia Poland ona sasa Ukraine inavyochakazwa huko Kwa ujinga wake.Zelensky yupo Finland leo bila uoga
Putin anaishi kwa mashaka kuliko Zelensky
Zelensky ameshakimbia nchi Nani anaishi kwa mashaka.Putin anaishi kwa mashaka kuliko Zelensky
Au Zele ndio atahamia kwenye bunkerMzee Putin atahamia kwenye bunker hapo hapo Kremlin kulinda usalama wake.
Mbona huyo ziara haijatangazwa?Zelensky yupo Finland leo bila uoga
Nimecheka Sana Huo Mstari wamwishoYaani wewe upo huku Njombe - Tanzania, halafu eti una habari za kina za Moscow kwamba Rais Putin anaishi kwa mashaka kuliko Zele.
Kweli nimeamini punyeto ni kitu kibaya sana.
Na Russia kasema ataamua kupiga mahali popote panapomfaa na kwa muda muafaka. Sina hakika kama amesema ni sehemu ipi atapiga!!! Yaani hapo, Nchi zinazomuhifadhi Zelensiky zijitathimini.Ila Team Upinde Wanakazai kweli kweli sijui hata wanatumia Nini vichwsni mwao!!
Eti Putin anaishi kwa Uoga kuliko Sele!!
Juzi tu hapa Zele kasema Anatembea na Bastola ili?
leo Hayupo Nchini kwake na Tayari Kaongeza Muda wakukaa Ukimbizini Kuliko Ilivyo Tarajiwa Kwanini?
jaribu ni Kutumia hata Hizo 10% ya Akili Kiasi