jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Mbona drone zote zinapiga bendera tu kwann?
Lakini kinachonishangaza yeye ametoka kwendakupiga nchi nyengine kwasababu zake sasa anayoyatarajia ni yepi mtu akipata nafasi ya kupimpiga aliyekwenda kumharibia nchi yake..Putin ametoa Amri zelensky na viongizi wote wa Ukraine wauliwe. Ww3 is loading
[emoji635][emoji635][emoji1218][emoji1218][emoji123][emoji123][emoji123][emoji2935][emoji2935][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Ukrain hawana akili, ishu kama sio jambo la kujaribu, hutakiwi kubahatisha kwa Drone, maana failure yake inaenda kusababisha response ya hatari sana, now inaonekana Zelensky anataka kumuua Putin, xo Russia amepata sababu ya kustrike baadhi ya government assets ikiwemo kwa Zelensky, poor him.
Una uhakika?Ukraine hasn't commented on the allegations
Hii hua ipo mpaka flani wanagombea China na India, kule kikinuka walishakubalia hawatumii siraha za moto. Ni mwendo wa ngumi, vifuti, mawe, fimbo,makombeo nk. Mfano mzozo wa hivi karibuni wachina walikuwa na miti ya mianzi ilipigiliwa misumari na zile rungu za cricket zina barbed wire wakawaua askari 20 wa IndiaWapigane kavu kavu bila silaha
Urusi watu wameshamsoma kwamba ni joka la kibisa tu,kwa hiyo wanajipigia wanapotakaO
Una uhakika?