Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Shambulizi la Kigaidi Dhidi Ya Rais ni Shambulizi dhidi ya Urusi
Wanasema Sasa watatumia Silaha kuzuia Na Kuharibu kabisa utawala wa Kiev
Wamechokoza Pabaya



A terrorist attack against the President is an attack on Russia, said State Duma Speaker Volodin.

"We will demand the use of weapons capable of stopping and destroying the Kiev terrorist regime," Volodin said.
 
.
 
Ila Team Upinde Wanakazai kweli kweli sijui hata wanatumia Nini vichwsni mwao!!
Eti Putin anaishi kwa Uoga kuliko Sele!!
Juzi tu hapa Zele kasema Anatembea na Bastola ili?
leo Hayupo Nchini kwake na Tayari Kaongeza Muda wakukaa Ukimbizini Kuliko Ilivyo Tarajiwa Kwanini?
jaribu ni Kutumia hata Hizo 10% ya Akili Kiasi
 
Na Russia kasema ataamua kupiga mahali popote panapomfaa na kwa muda muafaka. Sina hakika kama amesema ni sehemu ipi atapiga!!! Yaani hapo, Nchi zinazomuhifadhi Zelensiky zijitathimini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…