kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Putin ana hamu Vita viishe ila hajui mlango wa kuutumia.Kuishi kwa mashaka haimaanishi haingii ofisini, yuko paranoid kama kawaida ya viongozi wa Urusi. Stalin alikuwa akijisikia anaua yeyote awe mkuu wa usalama au waziri na hilo halikumfanya asiwe anaingia ofisini
Masikini Putin [emoji848][emoji848]Putin ana hamu Vita viishe ila hajui mlango wa kuutumia.
Liwe limitengenezwa au ni kweli ni drone kutoka Ukraine. Russia kapata sababu ya kupiga sehemu nyeti kwa silaha nzitoNimeangalia Video Hiyo Kwajuu hiyo Drone nikama Kuna Tukio limeandalia Maalumu
yaani hapa Nahisi Urusi kuna kitu kakiandaa makusudi
Zile taarifa zilizovuja zilisema AD za Ukraine ni dhaifu, ila airforce ya Urusi imeshindwa kuziharibu kabisa....labda wanasubiri offensive ikianza wazishambulie.Juzi walituma ndege bombers zaidi ya 10 zikatuma makombora 15 tu na kati yake kuna yaliyoshushwa na AD systems. Ndege mbili sio tishio alafu Kinzhal halina maajabu acha kulisifia
Wengi hukuza mambo tu kisa anashabikia jambo fualni uhalisia wa jambo husika hautakwi.Hizi ni propaganda ambazo kuna wakakti inabidi uzichambue.
Kwa muda kama wiki mbili au tatui hivi Russia imetoa tahadhari kwamba huko angani kuna UAV zimezagaa.
Ni kweli Ukraine nao wana "saboteurs" ambao moja ya kazi zao ni hizo za kufanya uharibifu.
Jamaa wa FSB leo wamesema wamewakamata hao saboteurs na wanawashikilia kupata info zaidi.
Lakini kiukweli Ukraine haiwezi kumlenga raisi wa Russia moja kwa moja kwa malengo ya kumuua.
Na Russia nao hawawezi kumlenga raisi wa Ukraine Zelenski.
Ndo maana ya "rules of engagement" kwenye vita na hakuna kuvuka mstari mwekundu.
Ila kama taarifa hizi (Ukraine kutumia saboteurs kutumia UAV) ni za kweli basi sasa hivi twaweza kusema vita imefikia "tipping point".
Vinginevyo tuwe makini na propaganda war na information war.
Patriot haziendi kirahisi. Ukraine ilitakiwa itumie Soviet era systems hizo S-300, ina batteries nyingi na ina uzoefu nazo haihitaji training tena na ndege za Urusi hazina mambo mengi sio kwamba utakutana na EW ya Marekani au China.Zile taarifa zilizovuja zilisema AD za Ukraine ni dhaifu, huenda counter offensive ikianza Urusi atatumia huo mwanya kuziharibu....labda kama watamuongezea patroit
Sasa nimejuaje kama haijatangazwa?Mbona huyo ziara haijatangazwa?
Kwenye vita kuna kitu chaitwa rules of engagement, wazifahamu hizi na zamaanisha nini?Wengi hukuza mambo tu kisa anashabikia jambo fualni uhalisia wa jambo husika hautakwi.
Mfano itokezee hilo limetokea kwani matarajio ya kumshambulia mwenzako maana yake wewe mshambuliaji huna haki yakushambuliwa. Ati ndugu hiyo ni haki??
Mkuu naamini hakuna ww3 kutokana TU na ujinga wa zelensky.hakuna.Ww3 loading
Hata vyombo vya habari vimesema kuwa raisi wa Ukraine amefanya ziara nchini Fnirand ambayo haikutangazwa.Sasa nimejuaje kama haijatangazwa?
Akutangazie ili iweje?Hata vyombo vya habari vimesema kuwa raisi wa Ukraine amefanya ziara nchini Fnirand ambayo haikutangazwa.