Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 857
- 2,055
Namchora mwana picha linatoka katuni. Jamaa anajua Hadi anakera.Yaani wewe upo huku Njombe - Tanzania, halafu eti una habari za kina za Moscow kwamba Rais Putin anaishi kwa mashaka kuliko Zele.
Kweli nimeamini punyeto ni kitu kibaya sana.
Yupo sawa kama ni kweli, Ameweka wazi kuwa hausiki kutuma drones zikashambulie Kremlin.Zelensky kameanza kulia Liaπ€£π€£
#BREAKING Ukraine says it had 'nothing to do' with alleged Kremlin drone attack
LoL !π·πΊπΊπ¦βοΈ After today's terrorist attack, there are no options left except for the physical elimination of Zelensky and his clique - Medvedev
Deputy Chairman of the Security Council of Russia Dmitry Medvedev commented on today's attempt by Ukraine to attack the Kremlin. According to him, Zelensky is no longer needed even to sign the act of unconditional surrender.
Sikuwa na maana kwamba ashambuliwe kiongozi.Kwenye vita kuna kitu chaitwa rules of engagement, wazifahamu hizi na zamaanisha nini?
Kuna mwongozo wa chuo cha IIHL yaani International Institute of Humanitarian Law kiko San Remo Italy ambacho hutoa mafunzo kuhusu ROE.
Wana kitabu chaitwa ROE manual au handbook nchi nyingi hutuma wanajeshi kusoma hapo San Remo. Nchi za NATO zenyewe wana copy ya hiyo ROE handbook na hiyo ndo sababu kubwa ya kutoweka ground troops Ukraine zaidi ya SFs.
Hivyo viongozi wa mataifa mengi khasa makubwa hushauriwa na wanafunzi wa San Remo na ndo maana Russia ilipoingia Kiev, wangetaka kummaliza Zelenski wangefanya hivyo.
Ndo maana nimesema huenda habari hizi si za kweli bali yawezekana ni propaganda au information war kati ya Kremlin na vyombo vingine.
Kumbuka video inoonyesha hiyo UAV ikidunguliwa imetolewa na vyombo vya habari vya Moscow na kusambazwa duniani.
Kwahiyo suali lako kuhusu haki ya kushambuliwa na kushambulia kwa viongozi wa nchi nafikiri si sahihi.
mdomo ulimponza kichwa Huyu si alikua anataka rocket za kupiga mosckow, eti leo "we are fight for our territories" Mwambieni arudi nyumbani mheshimiwa raisi mbabe wa Putin [emoji28][emoji28][emoji28]Zelensky ajitetea [emoji23][emoji23]
denies attacking the Kremlin
Zelenskyy denies attacking the Kremlin or Russian President Vladimir Putin.
βWe donβt attack Putin, or Moscow; we fight on our territory,β Zelenskyy told a news conference in Helsinki.
Earlier on Wednesday, Russia accused Ukraine of a failed attempt to assassinate Putin in a drone attack on the Kremlin.
Wahuni hawajui anahusiika au la ila urusi inajua mgomvi wao ni Zele na alishanukuliwa sana akisema anataka rocket za kupiga kremlin sasa leo inakuaje akatae, mwambieni arudi nyumbani mheshimiwa raisi [emoji28][emoji28][emoji28]Yupo sawa kama ni kweli, Ameweka wazi kuwa hausiki kutuma drones zikashambulie Kremlin.
Tatizo zele anapenda sana kuropoka ili kujimwambafy kuonekana anashindana ubavu na urusi kumbe wenzake wanapigana nae si kwa sababu ya kumshinda kwenye uwanja wa vita tu ila wana sababu zao nyingi nyingine, sasa yeye anaona kama anamweza kila siku kuropoka, haya sasa alikuwa anataka rockets za kupiga moscow za kazi gani sasa kama analinda mipaka yake,Hizi drone wanaweza wakawa wametuma urussi wenyewe
π€£π€£π€£Wahuni hawajui anahusiika au la ila urusi inajua mgomvi wao ni Zele na alishanukuliwa sana akisema anataka rocket za kupiga kremlin sasa leo inakuaje akatae, mwambieni arudi nyumbani mheshimiwa raisi [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwamba zele karusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki alafu kalala mbele .π€£π€£π€£π€£Tatizo zele anapenda sana kuropoka ili kujimwambafy kuonekana anashindana ubavu na urusi kumbe wenzake wanapigana nae si kwa sababu ya kumshinda kwenye uwanja wa vita tu ila wana sababu zao nyingi nyingine, sasa yeye anaona kama anamweza kila siku kuropoka, haya sasa alikuwa anataka rockets za kupiga moscow za kazi gani sasa kama analinda mipaka yake,
Tukio la leo ndo limejustify kuwa kumbe nia yake ni kumuua putin sasa asubiri majibu aache kulia lia, na arudi nchini mwake raisi mbabe wa putin.
Kwenye hii Post, kuna comments za warusi huko ni π₯π₯π₯Russian official urges no negotiations with Zelenskyy
The speaker of Russiaβs parliament, Vyacheslav Volodin, demanded using βweapons capable of stopping and destroying the Kyiv terrorist regimeβ in response to an alleged drone attack on the Kremlin on Wednesday.
In a statement posted on Telegram, Volodin said that Russia should not negotiate with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy after the attack, which Kyiv denied.
Da aisee! Nyie watu mna hatari sana.mdomo ulimponza kichwa Huyu si alikua anataka rocket za kupiga mosckow, eti leo "we are fight for our territories" Mwambieni arudi nyumbani mheshimiwa raisi mbabe wa Putin [emoji28][emoji28][emoji28]
Dah!Kwenye hii Post, kuna comments za warusi huko ni π₯π₯π₯
Em imagine hizi ni "pisi kali" zinatoa maoni haya...
View attachment 2608790
Zaidi as we can see kupitia hizi comments, its like Roskies wanahitaji action ngumu zaidi ila utawala unachelewesha mambo π€£.
View attachment 2608814
Vile ambavyo hua tunaona kama Putin ndio mpole kati yao huwa hatukosei... na kingine nilichoki-note ni hizi mambo za "redlines" raia hawazitaki. Wanataka show show π
View attachment 2608823
Kwa kweli mimi nilivosikia kuhusu hili shambulio nilifurahi sana maana nikajua sababu ishapatikana, dk kadhaaa mara nasikia MH raisi yupo Finland kwa safari ya dharula kawaachia msala vichwa maji wenzie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambieni arudi nyumbani MH Rais.
Ha ha haaa.
Raisi kasepa.
Mwisho tutaanza kampeni
"Bring back our president"
Wako viyani,analia nn?Yupo sawa kama ni kweli, Ameweka wazi kuwa hausiki kutuma drones zikashambulie Kremlin.
Mbona Putin anapo fanya ziara bila kutangazwa mnasema anaishi kwa mashaka ndio maana haijatangazwa?Akutangazie ili iweje?
Amekwambia?Putin ana hamu Vita viishe ila hajui mlango wa kuutumia.
Mbona kama wanamkimbia????. ππππWashington leaves it up to Kiev to defend its territory in conflict This was stated by US Secretary of State Anthony Blinken in an open online interview with The Washington Post. "We leave it up to Ukraine to decide how it is going to defend itself and how it is going to try to take back the territory," he said, answering a reporter's question about Washington's position on the attack on the Kremlin.