Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Hiyo imetoka---watu walikuwa wanatafuta justification na imepatikana...!!! kinachofuata ni kuimaliza vita kwa style ya kata funua...!!!Kusema drone kutoka ukraine hadi moscow sio rahisi itakua imetoka ndani ya urussi
Na leo zele kala kona huko finlandWao ni kumwaga kisago cha kwenda. Yani mwana ukome. 😀😀😀
Uongoo,wewe jamaa ni mnafiki sana,hii inajulikana;Urusi hii 4th Guards Tank Division ndio huwa elite na hutakiwa kuwa na the best tanks in Russian inventory. Ndio wako standby kuzuia armour za adui mipakani na wana reserve yao rasmi ila imepigwa kwenye battles mbili hapo Ukraine.
2nd Guards Motor Rifle, 4th Guards Tank wametimua mbio hapo Kupiansk. Ingekuwa battle ya tatu hiiView attachment 2608505
Counteroffensive is coming ngoja tuone superpower anaperform vipi
Achana na huyo ng'ombe atakupotezea muda mkuuNani kakudanganya?
Basi kama hajahusika basi hastaili Tena kuwa CIC wa Ukraine kwa sababu hana Tena maamuzi ya namna nchi yake ikabili SMO. Apishe ama apishishwe kwa uzembe wake huu!!!Yupo sawa kama ni kweli, Ameweka wazi kuwa hausiki kutuma drones zikashambulie Kremlin.
Mkuu si rahisi Zelensky kuuwawa,nitakukumbusha wakati muafaka(maybe after 1 month)Kwa kweli mimi nilivosikia kuhusu hili shambulio nilifurahi sana maana nikajua sababu ishapatikana, dk kadhaaa mara nasikia MH raisi yupo Finland kwa safari ya dharula kawaachia msala vichwa maji wenzie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Si sahihi(japo walipata baraka za UN) lakini pia si sahihi Russia kuivamia Ukraine(kwa mtazamo wako)Ni sahihi NATO kuipiga Yugoslavia?
Leo imekuwaje wote mnakana? Si tumezoea hata basi likipata ajali huko Urusi mnasema ni jeshi la Ukraine linawalambisha Warusi mchanga?Kusema drone kutoka ukraine hadi moscow sio rahisi itakua imetoka ndani ya urussi
Mkuu wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana kila habari usiyoipenda ukaiita propaganda(i means si kila habari unayoita propaganda ni kweli propaganda)And you believe these nonsense/cheap propaganda!!!
Ok fine!sasa tumbie ukweli ni upi?ili tujiridhishe!Uongoo,wewe jamaa ni mnafiki sana,hii inajulikana;
Wewe ni muongo muongo hivi,unajifanya unajua ila hujui lolote,isipokua uongo;