Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama Ukraine ilipopigwa since last year, Tanzania tukatikisika sana kiuchumi hadi Bi Mkubwa akaanzisha pambio la ^hii imetokana na vita huko Ukraine,^ unaweza kuona hapo nchi gani ni kubwa kati ya Ukraine na Bongo.
Anazungumzia ukubwa wa eneo (km za mraba) sio uchumi.
 
Mr Kasyanov left Russia last year and is now highly critical of the Kremlin's actions in Ukraine, despite once working closely with Putin.
Tatizo limeanzia hapa (italic/bold/red). Nchi yako ipo kwenye matatizo, halafu unakimbia nchi yako, na bado unaongea ukitegemea usikilizwe!!

Nadhani huyu aongezwe kwenye kesi hii yawezekana amehusika kuratibu tukio, maana anajua jiografia ya Kremlin.
 
Huyo hana tatizo na Urusi ila ana tatizo na Putin, Jamaa alikimbia nchi kuhofia maisha yake sababu ni mkosoaji wa siasa za Putin ikiwemo uvamizi wake huko Ukraine....
 

Bill Clinton: I knew in 2011 it was 'just a matter of time' before Putin attacked Ukraine​


The FT this morning is carrying quotes from Bill Clinton in which he says that he knew in 2011 it was just “a matter of time” before Vladimir Putin attacked Ukraine.

Citing an appearance by the former US president alongside his wife Hillary, Joshua Chaffin writes:
In the same piece, Hillary Clinton spoke of how the war might come to an end:

=========================

Putin and Russia can never be trusted.
 
US wala hataki vita viishe
 
Who can be trusted? Marekani? wake up!
 
Huyo hana tatizo na Urusi ila ana tatizo na Putin, Jamaa alikimbia nchi kuhofia maisha yake sababu ni mkosoaji wa siasa za Putin ikiwemo uvamizi wake huko Ukraine....
Fikra zako zinaelekea Saudhafrika, mkuu. Hivi unaweza kutenganisha siasa za Putin na Russia. Akili za Kimarekani zimeanza kukumaskinisha, siyo bure.

FYI: Putin anakubalika Marekani kuliko Biden.
 
Fikra zako zinaelekea Saudhafrika, mkuu. Hivi unaweza kutenganisha siasa za Putin na Russia. Akili za Kimarekani zimekuharibu sana.

FYI: Putin anakubalika Marekani kuliko Biden.
Ni sahihi sijawahi kufahamu kwa nini wananchi USA wanamkubali sana Putin, research ndogo Putin ana video fupi nyingi YouTube, ukisoma comments utagundua..
 
Huyu unakuta alikuwa toka kitambo kwenye payroll ya CIA ama M16.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…