RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,731
- 11,470
Dalili hizo nizipi mkuu?.Kuna kila dalili kuwa Putin anatafuta njia ya kuhalalisha matumizi ya Silaha za Nyukilia kwa Ukraine. Marafiki wa Ukraine wanajua kuwa Ukraine haiwezi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Urusi wakitumia silaha za Nyukilia hivyo wanatumia kila njia kuukwepa mtego wa Urusi isije ikaishambulia Ukraine.
Mkuu sasa adui yako akiwa anazozana na wenzake wewe unafanyaje? vipi bado ile 95% takeover inaendelea? 😀 😀Mkuu yanajizatiti Bakhamut au karibu na Bakhamut?.
Ukrein wanamiliki 2.87% ya Bakhamut, Wagner 89% , sehemu iliyobaki ni neutral ground.Mkuu sasa adui yako akiwa anazozana na wenzake wewe unafanyaje? vipi bado ile 95% takeover inaendelea? 😀 😀
Modern Russia unajulikana vizuri. Kwanza tangu wajitenge USSR population yao haijawahi kufika ya mwaka ule hadi leo. Ni miaka mingi tu inakuwa Russia kwa mwaka wanakufa wengi kuliko wanaozaliwaWewe huijui modern Russia Wala humjui Putin....Endelea kuwa kibaraka was USA na vikaragosi vyake....
Na katika Source of Information nayo-idharau ni "Wikipedia". Iko so biased kwa mlengwa wa upande ambao kila mtu anaujua. Ajab kuna mengine utayakuta hapo hadi unajiuliza hawa huwa wanaandikia wakina nani? Kwa mlengo upi?Ana kusanya data kutoka Wikipedia kama main source na viji blogu vya mtandaoni.
🤣🤣🤣Yaani jamaa ni noma na ole wako umpinge. Atakuletea yeye anaziita fact kutoka katika vyanzo vyake anavyo vijua yeye. Yule jamaa ni balaa.
Modern Russia unajulikana vizuri. Kwanza tangu wajitenge USSR population yao haijawahi kufika ya mwaka ule hadi leo. Ni miaka mingi tu inakuwa Russia kwa mwaka wanakufa wengi kuliko wanaozaliwa
Blackwater iliuzwa na kubadilishwa jina kuwa Academi. Eric Prince ni former Navy SEAL. Blackwater ilikuwa na figisu nyingi na sasa Academi imepotea kwenye matukio na kwa kuwa hakuna vita kubwa Marekani inashiriki basi sasa sio muda wao kupata hela na kujulikana. Ila Eric Prince alileta wazo kampuni ile ipewe silaha zilizopo Afghanistan pale Marekani ikiondoka maana jeshi lisingeenda kuzitumia lakini serikali ikakataa.Umeandika mengi mkuu, vipi na Blackwater na founder wake ERIK PRINCE pamoja na muendelezo wake toka 2009?. Vina uhusiano Gani na utawala wa USA?.
Hapo ni sawa na vifo vya wanajeshi au vifaa 10000 vya Urusi[emoji298]️Ukraine trained 10,000 drone operators as part of the Drone Army project, the Minister of Digital Transformation Mykhailo Fedorov reported.
The Minister added that it is planned to launch 60 strike companies of drones.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi nataka ukipinga useme hii haiko hivi bali iko hivi, badala yake mtu anaandika "hujui" na hasemi wapi sijui na wapi nimekosea, na hasemi anachojua yeye.T14 Armata Jamaa wanakuchukia bila ya sababu. Kama unatumia mitandao kuleta taarifa zako humu tatizo liko wapi? Mbona hata Jamiiforums ni mtandao wa kijamii na watu huwa wanachukua taarifa toka humu na kuzitumia kwingineko??
Pro Russia acheni kubeza hoja za mtu kwa kupambana na yeye bali pambaneni na hoja zake!!
Wagner kuna Nazis wengi tu. Hivi unajua almost nchi zote kubwa duniani kuna Nazis?Na katika Source of Information nayo-idharau ni "Wikipedia". Iko so biased kwa mlengwa wa upande ambao kila mtu anaujua. Ajab kuna mengine utayakuta hapo hadi unajiuliza hawa huwa wanaandikia wakina nani? Kwa mlengo upi?
Mfano kama hapa eti wanakwambia Wagners ni "Neo-Nazism", Wagner na Wanazi wapi na wapi??? 🤔
View attachment 2611065
🤣🤣🤣
Hakuna mtu mwenye chuki nae, lakini Kuna muda taarifa zako zinajipinga kwahio huishia kudharauliwa na watu wengine, Pengine taarifa zake zingekua na mantiki angeacha kutumia hisia kuziwasilisha. Lakini pia atayumbisha watu wachache ambao wako weak kwenye kuchambua taarifa zakweli. Mfano T14 Armata anaamini taarifa zote zenye favor Kwa west pamoja na USA nizakweli nawale wote wanaozipinga siwakweli. Jambo lingine linalofanya watu wampinge Kuna muda anapinga maandishi yake mwenyewe kuwa yasichukuliwe maanani ,aliwahi kusema RUSSIA wanatumia chip za kwenye washing machine kutengenezea vifaa vya kivita. Baadae akasema taarifa hizo zilitolewa na west nayeye sio msemaji wao, sasa hapo lazima adhauraulike.T14 Armata Jamaa wanakuchukia bila ya sababu. Kama unatumia mitandao kuleta taarifa zako humu tatizo liko wapi? Mbona hata Jamiiforums ni mtandao wa kijamii na watu huwa wanachukua taarifa toka humu na kuzitumia kwingineko??
Pro Russia acheni kubeza hoja za mtu kwa kupambana na yeye bali pambaneni na hoja zake!!
Counter offensive tangu mwezi wa pili tunaambiwa inaanza lkn Leo nimwezi watano haianzi. Ngoja tuendelee kusubiri.Mimi nataka ukipinga useme hii haiko hivi bali iko hivi, badala yake mtu anaandika "hujui" na hasemi wapi sijui na wapi nimekosea, na hasemi anachojua yeye.
Pro Russians wenye facts walishaondoka humu baada ya kugundua jeshi lao haliko vile wanavyolipigania. Wewe kila siku unapigania jeshi kusema ni superpower alafu tangu Oktoba 2022 hadi leo Bakhmut wanasumbuana. Sasa subiri counteroffensive ianze
Jamaa kakatwa mkia na Putin sasahivi anatapika nyongo na kujipendekeza kwa maaduiFormer Russian prime minister claims Moscow was behind Kremlin attack
Vladimir Putin's first prime minister, Mikhail Kasyanov, has said he believes yesterday's attempted attack on the Kremlin was a "staged operation".
Speaking to Sky News, Mr Kasyanov said Russia had staged the attack to encourage more people to join the country's military.
"Putin needs this before the Victory Day," Mr Kasyanov said, referring to Russia's annual commemoration of its victory against the Nazis.
Mr Kasyanov left Russia last year and is now highly critical of the Kremlin's actions in Ukraine, despite once working closely with Putin.
He said it was interesting that Moscow was willing to blame Ukraine for the alleged drone attack, as it was an acknowledgment that Ukrainian drones could reach as far as the Kremlin.
Mr Kasyanov warned that we should "expect something more" from Moscow in the coming days, such as another provocation.
https://news.sky.com/story/ukraine-...-claims-12541713?postid=5867202#liveblog-body
Jamaa kakatwa mkia kaamua kutapika nyongo na kujiunga na maadui wa hakiFormer Russian prime minister claims Moscow was behind Kremlin attack
Vladimir Putin's first prime minister, Mikhail Kasyanov, has said he believes yesterday's attempted attack on the Kremlin was a "staged operation".
Speaking to Sky News, Mr Kasyanov said Russia had staged the attack to encourage more people to join the country's military.
"Putin needs this before the Victory Day," Mr Kasyanov said, referring to Russia's annual commemoration of its victory against the Nazis.
Mr Kasyanov left Russia last year and is now highly critical of the Kremlin's actions in Ukraine, despite once working closely with Putin.
He said it was interesting that Moscow was willing to blame Ukraine for the alleged drone attack, as it was an acknowledgment that Ukrainian drones could reach as far as the Kremlin.
Mr Kasyanov warned that we should "expect something more" from Moscow in the coming days, such as another provocation.
https://news.sky.com/story/ukraine-...-claims-12541713?postid=5867202#liveblog-body
Sijafuatilia uhusiano wao upo wazi kwa kiwango gani.