Lakini pia Ukraine inatakiwa kuwa makini isije kuta hayo yote ni sinema maana wanasiasa ni watu hatari sana na huwa sio wakuamini hata kidogo.Wagner withdrawal from Bakhmut could be "turning point," Ukrainian military spokesperson says
From CNN’s Olga Voitovych
Wagner’s decision to withdraw from Bakhmut on May 10 could be “a turning point” in the battle for the eastern Ukrainian city, a Ukrainian military spokesperson has told CNN.
Wagner chief Yevgeny Prigozhin said in a Telegram post Friday that his fighters would withdraw from Bakhmut in five days’ time, having taken heavy casualties in the fight for the city. He laid the blame on Russia’s defense establishment for not providing the private military group with enough ammunition and called for the regular army to step in.
However, Cherevatyi said that Wagner’s “incredible losses” were down to its units “acting foolishly, launching constant human attacks” and that Prigozhin wanted to leave because Wagner was close to being destroyed in the fight for the embattled city.
Cherevatyi also claimed Prigozhin was “lying” about his fighters’ lack of ammunition.
Wagner’s mercenaries have been spearheading Russia’s efforts to take Bakhmut.
Cherevatyi said he expects the number of attacks against Ukrainian forces in Bakhmut to decrease if Wagner leaves because regular Russian forces would not be able to “waste personnel” as Wagner did.
=========================
Mgogoro baina ya Wagner na wizara ya ulinzi ya Urusi unafukuta kweli kweli...
Naona kuna mmoja anataka kuonekana bora kuliko mwingine.
Hapa ndio umeuliza nini?Kwanini badala ya kumpinga unamjaji ndugu?
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝Nilidhani namuelewa Mimi peke yangu,kumbe mpo na wengine mnaomuelewa zaidi yangu.Huyo jamaa.
Hao FSB na ndugu zao wote hawafikii uwezo wake wa ukusanyaji, uchakataji na utendaji. Kiintelijensia, kijeshi na kiuchumi.
Huyo jamaa ni specialist wa kivita/kijasusi na ki uchumi. Ana kusanya data kutoka Wikipedia kama main source na viji blogu vya mtandaoni.
Huyo jamaa ni field ajent alieko ndani ya Kremlin, anajua Kila taarifa, mipango na malengo ya Russia.
Ana uwezo wa kukoment comment ndefu akalike Kp the ze zero brain 🧠, himmars, na Fuso. Tena akikoment wanafulahi kweli kweli maana anakujaga na manukuu ya kutosha. Ana wachambulia kuanzia, submarine, aircraft carrier na mimeli mingineyo ya kivita. Tena alivyo kiboko hutoa mpaka qualifications za mimeli vita hiyo, huku aki zi diss za eastern block na kuziproud zile za Mashosti block.
Mwambia anajua kuanzia planed aircraft/six generation na takataka nyinginezo ambazo ni stealth. Ana taarifa ambazo CIA,MI6 Na mapunga wengine hawana. Anajua Kila kitu kuhusiana na mifumo ya anga za mbali, mashine za ulinzi wa anga mashambulizi makubwa ya kati Kwa madogo.
Ana chambua juu ya vifaru magari ya deraya bunduki za mapigo makubwa ya automatiki na rasharasha. Anajua juu ya vitengo utendaji na uwajibishanaji wa idara za kiusalama. He's very complex man on the field.
Anajua juu ya Japani urusi na china,jamuhuri za Korea mashariki ya kati ulaya America na Africa anajua juu ya Kambi za Siri za actic continental na critical bases za mataifa yote combined. Anafahamu na humdanganyi kitu juu ya underground facility za Urusi, Iran na maeneo mengine yenye wababe.
Huna Cha kumueleza juu ya vifaa kinga vya ndege zisizo na rubani na ndege zenyewe, makombora ya masafa marefu Kwa mafupi, mizinga na aina nyingine za milipuko.
Huna Cha kumwambia kuhusu teknolojia na ubora wa teknolojia yenyewe.
Yaani jamaa ni noma na ole wako umpinge. Atakuletea yeye anaziita fact kutoka katika vyanzo vyake anavyo vijua yeye. Yule jamaa ni balaa.
Kwa hiyo hakumpa hiyo zawadi siyo.Vita inasuasua sasa ni mwendo wa kuokoteleza habari. General Petr Pavel alikuwa Chairman wa jeshi la NATO, kachaguliwa mwaka huu kuwa Rais wa Czech Republic
Epukeni kula nyama ya utumbo, huwa zinasababisha fungus kwenye ubongo.Hawa makahaba wa waganer wamepigwa pipe huko Bakhmut mpaka wamekimbia ,mamia ya mizoga ya wapuuz wa Wagner wakiwa wamechinjwa ,Wagner wanaondoka Bakhmut
Pitieni hiyo video mwishoni ,huyo jamaa ni mmiliki wa Wagner group na hiyo video ni alipokuwa kwenye hiyo sehemu Bakhmut mamluki wa waganer wechinjwa kama ng'ombe na anaongea kwa uchungu
Hayo yote umeandika sababu unamuonea tu wivu kisa hakubaliani na mtizamo wako.Huyo jamaa.
Hao FSB na ndugu zao wote hawafikii uwezo wake wa ukusanyaji, uchakataji na utendaji. Kiintelijensia, kijeshi na kiuchumi.
Huyo jamaa ni specialist wa kivita/kijasusi na ki uchumi. Ana kusanya data kutoka Wikipedia kama main source na viji blogu vya mtandaoni.
Huyo jamaa ni field ajent alieko ndani ya Kremlin, anajua Kila taarifa, mipango na malengo ya Russia.
Ana uwezo wa kukoment comment ndefu akalike Kp the ze zero brain 🧠, himmars, na Fuso. Tena akikoment wanafulahi kweli kweli maana anakujaga na manukuu ya kutosha. Ana wachambulia kuanzia, submarine, aircraft carrier na mimeli mingineyo ya kivita. Tena alivyo kiboko hutoa mpaka qualifications za mimeli vita hiyo, huku aki zi diss za eastern block na kuziproud zile za Mashosti block.
Mwambia anajua kuanzia planed aircraft/six generation na takataka nyinginezo ambazo ni stealth. Ana taarifa ambazo CIA,MI6 Na mapunga wengine hawana. Anajua Kila kitu kuhusiana na mifumo ya anga za mbali, mashine za ulinzi wa anga mashambulizi makubwa ya kati Kwa madogo.
Ana chambua juu ya vifaru magari ya deraya bunduki za mapigo makubwa ya automatiki na rasharasha. Anajua juu ya vitengo utendaji na uwajibishanaji wa idara za kiusalama. He's very complex man on the field.
Anajua juu ya Japani urusi na china,jamuhuri za Korea mashariki ya kati ulaya America na Africa anajua juu ya Kambi za Siri za actic continental na critical bases za mataifa yote combined. Anafahamu na humdanganyi kitu juu ya underground facility za Urusi, Iran na maeneo mengine yenye wababe.
Huna Cha kumueleza juu ya vifaa kinga vya ndege zisizo na rubani na ndege zenyewe, makombora ya masafa marefu Kwa mafupi, mizinga na aina nyingine za milipuko.
Huna Cha kumwambia kuhusu teknolojia na ubora wa teknolojia yenyewe.
Yaani jamaa ni noma na ole wako umpinge. Atakuletea yeye anaziita fact kutoka katika vyanzo vyake anavyo vijua yeye. Yule jamaa ni balaa.
Nimeuliza hivi:Hapa ndio umeuliza nini?
Maana hata hueleweki...
Kichapo kipi? Mmerudisha maeneo yapi?Hiki kichapo wanachotembezewa warusi hawatokuja kusahau walahi [emoji1787][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Toka SMO ianze kapewa silaha kiasi Gani,na aina Gani? Na zimeleta mafanikio kiasi?We won ‘powerful reinforcement of weapons’, Zelenskyy says upon return from visits to allies
Speaking on return from visits to Helsinki and The Hague, President Volodymyr Zelenskyy has said in an address he had won “a powerful reinforcement of weapons for our soldiers – on land, in the air and at sea” as a result of talks with allies there.
========================
Hatimaye amerudi tusubiri jibu la lile shambulizo kule Kremlin.