Fake news, China ka relax masharti ya wheat i
that was this morningFake news, China ka relax masharti ya wheat imports
Taahira Newspaper!This is very important na Putin atajutia View attachment 2131149View attachment 2131151View attachment 2131152View attachment 2131153
Urusi hamuhitaji Mchina ili kumchapa Ukraine.This is very important na Putin atajutia View attachment 2131149View attachment 2131151View attachment 2131152View attachment 2131153
Rudi hapa jukwaani au uko kwenye vikao unajadili vikwazoRussia keshaufyata huko. Kashtukia hatapigana na Ukraine bali atapigana na boss wa dunia US kwa niaba ya Ukraine.
Hii vita jinsi ya Ukraine kushinda bila kupoteza muda ni kugeuza vita kutoka kupambana na jeshi la urusi na kumgeukia Putin na wasaidizi wake. Wamsake Putin tu na wasaidizi wakeUkraine yavunja Daraja kuchelewesha Askari wa Urusi kuteka mji mkuu, wakati huo huo Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa 600 million USD.
Pia Kuna Taarifa za Urusi imepoteza Umiliki wa Uwanja wa ndege waliouteka, na vikosi vya Urusi kushindwa mpakani mwa Beralus.
Why Ukraine hata wakipigwa wanatoa taarifa ila Urusi anaficha
Endelea kujifariji na propaganda mfu......uzuri kwa sasa tunajua kubalance habari ,, tunajua chombo kipi ni cha propaganda za nani.This is very important na Putin atajutia View attachment 2131149View attachment 2131151View attachment 2131152View attachment 2131153
Endelea kujifariji na propaganda mfu......uzuri kwa sasa tunajua kubalance habari ,, tunajua chombo kipi ni cha propaganda za nani.
.
.....
Achana na propaganda za nchi za magharibi hizo.
Trigger watu washamaliza ubwabwa sherehe inaishaView attachment 2131176
Mimi naogopa this May trigger world war 3
Mapaka sasa Putin anaongoza 3 bila,..Ngapi ngapi ukoo mtupe updates
Mbabe putin kama Huna bando tumia freebasics ya Halotel log in JF
Please tunakuhitaji Huku uje ujibu hoja eboooooo!